Watoto wengi au wachache?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wengi au wachache??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Apr 9, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wengi nakutana nao na kitu kimoja nakigundua ni kuwa
  watu wengi bado wanaamini kuwa na watoto wengi ni baraka au
  utajiri wa aina fulani.....
  matokeo yake watu wengi wanazaa watoto wengi na suala la matunzo
  linakuwa ama ni mzigo mkubwa au wana sacrifice sehemu kubwa ya maisha yao
  ili tu kuwapa watoto wao maisha ya kuaminika hasa elimu na gharama zingine.....

  swali ambalo nikiwauliza watu na majibu wanayonipa ni ajabu sana ni hili....
  je ni lazima kuwa na watoto?????
  tunakuwa na watoto kwa malengo gani hasa?????
  kwa nini watu wengi wana prefer kuwa na watoto wengi???(i mean kuanzia wawili)?????

  je watu wakishauriwa wasizae au wazae mtoto mmoja wengi hawakubali.why???????

  je unaamini watoto wengi ni mtaji utakaokuja kukusaidia hapo baade?why???
  je ukiamua kutokuwa na watoto ni hasara?????hasara ipi???????

  je watu wasiokuwa na watoto hupata tabu gani
  hapo baade????

  mimi binafsi naona watu wengi wenye watoto wanapata tabu na kuwapa tabu pia hao watoto..
  pia muelekeo wa dunia na idadi ya watu inavyoongezeka..
  its high time watu wakaamua kuwa na mtoto mmoja tu kila familia.
  na wengine washauriwe kutozaaa kabisa......

  binafsi naamini watu wengi wangeishi vizuri zaidi kama wasingekuwa na watoto
  au wangekuwa na mtoto mmoja au wawili......

  nyinyi mnaonaje???????????????
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu.
  Jamii hutegemea wewe mwanaume au mwanamke katika kipindi fulani cha maisha uwe na watoto au mtoto kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuendeleza jina/ukoo.
  Idadi ni uchaguzi binafsi. Kuwa nao wengi - wanafurahisha kuwaona lakini majukumu ya kuwalea/kuwatunza ni makubwa.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  but hukujibu hapo swali.....
  na kuhusu idadi.hivi kila mtu akisema ni uamuzi wake binafsi
  swali ni hili...
  wakati idadi ya watu inaongezeka.resources ni zile zile....
  mfano vyanzo vya maji ni vile vile,ardhi ni ile ile......leo watanzania tuko 41.
  soon tutakuwa milioni 65,but maji na ardhi ni ileile.umenipata?
  uwezo wa kuzalisha chakula ni ule ule au unapungua........????????
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hivi mtu kama OPRAH WINFREY ALIEKATAA
  KUWA NA WAOTO WALA KUOLEWA UTAM DEFINE VIPI?
  KAKATAA BARAKA?????????
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Wewe Boss
  Hili swali lina majibu mengi kutegemeana na interest ya mtu/watu.
  Demographers watakujibu tofauti na Pro-Lifers, maskini atakujibu tofauti na tajiri, Layman/Illiterate atakujibu tofauti na mweledi/msomi.

  Kwa vigezo tofauti utapata majibu tofauti. From demographic point of view- kweli huwezi kuzaa tu wakati vyyanzo vya resources haviongezeki. Lakini pia ukijifanya huzai au nchi ikakazania sana kupunguza idadi ya watu..kumbuka population pyramid inatakiwa i balance ili watu wabebanane kwa maana ya kusupport nguvu kazi, kulipa kodi, n.k. Kama mkiacha kuzaa na kufika siku moja idadi ya watu ni ndogo mno - wazee wengi wasioweza tena kufanya kazi watapewa support na nani kwa mfano? Matokeo yake ndio kujikuta mnavamiwa na foreigners kama ilivyo kwa nchi kadhaa za Ulaya sasa hivi. Angalia Uholanzi kwa mfano - wameacha kuzaa na matokeo yake waturuki waliohamia kama vibarua na huku wakizaa kama wametumwa ndio watakuja ku dominate; labda wachukue hatua za mkusudi. Ndio maana Ulaya kuna incentives za kuwashaiwshi watu wazae.
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Aliyekwambia Oprah ALIKATAA KUZAA NANI?
  Kasome Biography yake kisha uje tuongee.
   
 7. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #7
  Apr 9, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Oprah hajakataa kuzaa ila hana muda wakukuza mimba na kuzaa,tunamuombea kwa Mungu afanye hayo maamuzi yake ya kuacha shwo zake labda anaweza akaamua kuwa na ujauzito ili azae kama watu wengi wanavyomuombea huyu tajiri wa kike!!!!!!
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Nakuja.....
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  The Boss sijaelewa kama unalenga sana tusizae au??
  For me naona kama watoto watatu wanne itakuwa zawadi nzuri sana mungu akinipa ..
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  What matters is the financial abilities of the parents in question. Hakuna sababu ya kuzaa watoto wengi kama kipato hakiruhusu!.....ni msalaba kwa ndugu na jamaa zako!
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280

  hahahaha bwana PJ ni dhawadi
   
 12. m

  mgololafinyonge Member

  #12
  Apr 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yah ni muhimu kuangalia your financil ability ,lakini kama your financially capable why not to have watoto wengi?
   
 13. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu una uhakika na unalo nena?? Oprah hajakataa kuzaa ... infact alishawahi pata mimba na kuzaa akiwa na miaka 14 lakini mtoto wake huyo akaja kufariki muda mfupi baadae .... kama sijasahau ni kipindi hiki alichokuwa katika madhira mbali mbali kama vile ya kubakwa etc etc. Yeye anadai kwamba anawapenda sana watoto na ndiyo maana akajenga shule ile ya watoto wa kike mayatima ya leadership academy kule S.A ... mwenyewe anaamini mchango wake huo ni sawa na kuwa na watoto tu!
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  I agree there is no point ya kuzaa kama huna uhakika wa kuwapa watoto the best life. Watoto wanaotaabika mitaani, hawana pa kulala wala kula, wamepoteza hope na wazazi wao wanaendelea kuzaa kwa kweli huwa inaniliza everytime isee them. Nionavyo mimi watu wazae according to uwezo walio nao, na si uwezo wa leo tu ukijiona una vipesa vya mboga, think beyond today uone kama unaweza kuwasupport watoto wako hadi wamalize university na wewe pia uendelee kuwa na uwezo wa kuishi kwa pesa yako hadi ufe na si kutegemea watoto.Inapendeza uwe na investment za kutosha ambazo hata ukifa leo kwa ajali au ukikosa kazi au ukipata dhahama yoyote ya kimaisha, waoto waendelee kuishi kwa amani. Inaumiza sana mtu anazaa kila siku wakati hawezi kutunza watoto matokeo yake tunabebeshana mizigo isiyokuwa ya lazima na lawama kibao, guiltness kibao, maana kama ni ndugu yako ana katoto hakaendi secondary kisa pesa hakuna na wewe una kauwezo kadogo ulikojipangia ili kussuport wanao inaleta friction na huruma, na sidhani kama ni fair. Mimi nadhani Kwa kauwezo kadogo nilikonako watoto wawili ni blessing, na nisingependa zaidi maana ntawatesa.
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Especially katika DUNIA ya LEO.

  Bila kuwa na mpangilio na idadi sahihi ya watoto utakuwa unatengeneza kizazi cha machangudoa, vibaka, and the like - Ule usemi wa kila mtoto ankuja na ridhiki yake umepitwa na wakati.
   
 16. p

  prosperity93 Member

  #16
  Apr 9, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  The Boss sijaelewa kama unalenga sana tusizae au??
  For me naona kama watoto watatu wanne itakuwa zawadi nzuri sana mungu akinipa ..[/QUOTE]

  hapa nakuunga mkono, sio lazima tuige idadi kwa kufuata wazungu wanasemaje...kuzaa kama kizazi kipo ni muhimu sana. ikiwa kizee kampani ya wajukuu na kelele zao zinarefusha maisha zaidi kwa bibi au babu...pia watoto ni furaha ndani ya ndoa.
   
 17. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  1. YES....! Mimi naamini kumpata mtoto ni BABAKA kubwa sana, kwa sababu wangapi walihangaika na wanahangaika kuwatafuta hivi viumbe bila mafanikio? Ni ndoa na mahusiano ngapi yamevunjika kwa kisingizio kuwa mmoja hana BARAKA hizi? Ever you celebrated your birthday? If yes, why?

  2. Swala la idadi ya watoto ni makubaliano baina ya wanaozaa, pamoja na majaliwa ya Mungu pia.....! Ulazima wa kuwa na watoto/mtoto halipo, lakini kama wewe unaona halina umuhimu uwe free kabisa, wachinje hata ambao umekwishawapata, if any.

  3. Kama hii hoja imetoka moyoni mwako, basi nakupa pole sana....! Ndugu; inaonekana huna mtoto hadi sasa.....! Tafadhali, tafakari kwanini wahenga walisema "Uchungu wa mwana aujuae mzazi". Utapata jibu halisi.
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Inategemea na uwezo wenu kifedha na commitment yenu ya kuwa na familia ya ukubwa gani.
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Wee Boss una watoto/mtoto?
  Kuzaa muhimu sana hapa duniani, ila inategemea na kipato chako na majukumu uliyonayo. Ila kusema kwamba mtu uamue tu kutozaa hiyo ni kituko, labda kama una matatizo ya uzazi. Mimi binafsi bado sijazaa, ila natamani sana kuitwa mama, na Mungu akijalia nataka niwe na angalau watoto 2 ambao najua nitaweza kuwalea katika maisha mazuri.
   
 20. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
Loading...