Bro wangu kamegewa wife wake na house boy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Apr 12, 2010.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake.

  Kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi nzito na nzuri kumbe house boy ndo aliye mpa. Wife wa bro amekiri kosa na amekubali kuwa ni kweli ujauzito na wa huyo house boy.

  Bro yupo njia panda anashindwa afanyeje!
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehe!
  mpwaaz bana ISIJE IKAWA NI BIA ZA MARANGU JANA
   
 3. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Heee!
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kosa? hapana, ishakuwa kawaida yao.
   
 5. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  mkuu hiyo kali,bro wako hana haja ya kuomba ushauri ni aibu ilikuwaje?au nayeye ni mtu wa masanga km wewe?kajisahau vipi mpaka houseboy kafanya mambo?hapo hamna jinsi ni kupaki mizigo ya wife na houseboy kisha unawatimua wakaanze maisha mapya km mke na mume basi.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  ngoja nikapige lunch
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Joking?
  Aisee, mbona unatamka maneno mazito hivi juu ya kakako?
  Na kakako alimuoa kwa ndoa huyu mwanamke au ni demu tu anayekuja na kuondoka?
  Weka sawa hii maneno, maana bado ina utata!
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ausikilize tu moyo wake unamwambia nini
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mpwa ni kweli mzee R kamegewa wife wake na mfanyakazi yeye anapo kuja Dar hausiboy anakuwa kidume home wamecheza kamchezo mpaka shemeji mjamzito anasubili siku chache tu ajifungue mtoto .
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu PJ hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
  Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  JF bana, hiyo kitu ndo starter au main coz na wewe mpwaz??

  Jmani huyo my wife wa kaka mbona hivo? yaani mpaka mimba?
  Fide huyo kaka hebu ajichunguze vizuri sio bure wallah!!! duh!!
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  huo ni msala full chali yangu
   
 13. H

  HUBERT MLIGO Member

  #13
  Apr 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Basi tena house boy kesha mzidi ujanja... Solution mshauri bro amwozeshe my waifu kwa house boy...Hee hee hee.
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  ...huyo mke hamfai kakako!
  Subirini mtoto azaliwe, ili mpate ushahidi dhahiri, then...KWAO!
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yaani ni aibu mpaka inapitiliza.
  Yeye ni mfanyabiashara huwa anasafiri toka mkoa kuja Dar sasa akisafiri nyuma shem anajivinjari na hausi boi ananiambia shem amethibitisha kuwa hata ujauzito ni wa huyo dogo. Sasa hapo sijui afanyaje kama kumegewa amesha megewa na mimba juu dah inauma sana.
   
 16. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Inaonekana kaka yako hamrizishi shemejio au anatembea nje na ndoa itakuwaje mpaka wife wake atembee na house boy? au huyo mwanamke muda wote anawaza ngono na kutamani mshipa uwe ndani muda wote
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Yaani mpaka mtoto azaliwe?? biggy masihara hayo
  akazalie kwa tu mengine yatajiseti baada ya hapo!!
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Hivi ndo mkao gan huu tena?....nanihii ameona iko sawa?...hizi si ni sehemu za siri!!!:confused:
   
 19. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hahahaaa mkuu taratibu, na husband naye aki...house girl au external ...naye KWAO sio?
  kaka avumilie tu wakutimuliwa hapo ni house boy, then waanze moja na mkewe, pia bro aangalie alikosea wapi pengine anahitaji kwenda kwa Dr manyuki.
   
 20. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kiongozi hii haijakaa sawa dah!! kwanza mpe kaka yako pole sana!! asee na huyo kaka yako lazima tu atakua amechangia kwa hili maana inawezekana na yeye akiondoka kwenda kwenye biashara zake huko mikoani siku akirudi home hatekelezi vizuri kazi yake may be na yeye huko anakua anapata totoz so akirudi hamu na mkewe hana! So hii ishu inakua ngumu kwa sababu mkewe ana mimba, na hivyo kulea mimba ya houseboy tena? itabidi jamaa aite kikao cha familia zote na atoe uamuzi wake!
   
Loading...