Kitu kizuri kula na nduguyo

Zemu

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
518
80
Wapendwa wana jf, napenda kuwataarifu mapema kuwa mnamo tarehe 10/07/2010 natajia kufunga ndoa huko tanga katika kanisa la kilutheri la kana, na kisha tafrija itafanyika pale railway club kuanzia saa 2 usiku.ukiwa kama ndugu, jamaa na mwanajf nawakaribisha wote kwani nimekuwa nanyi tangu 2008 na sitakoma kuwa nanyi.karibuni sana.kama kuna mchango wowote wa fedha au mawazo ya kufanikisha tendo hili nipigie kwa simu yangu 0655469931.askanteni sana, na mungu awabariki sana.nawapenda wote.
 
hongera mpwa!.......
YOU HAVE MY SUPPORT

takupigiaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hongera Broda sana!
Umechagua fungu jema- kuoa na kutulia na wako nyumbani!
Kwa ushauri tu, kama una namba ya voda weka hadharani hapo, kuna namna fulani utasaidika!

Maandalizi mema!
 
Mchango wangu wa mawazo ni kujaribu kuwarushusu walau wanaJF watano wakuonjee hicho chakula unachotajia kukabidhiwa ili wapate kutoa comments zao kama kimeiva....! Vilevile nawe uwachague walau vyakula vingine vitano vya aina hiyo uonje na upate kujitolea recommendations na kugrade kufaa chako....! Je, upo tayari?

_____________________________________________________________________
"Do not marry a person that you know that you can live with; Only mary someone that you can't live without...!
 
1.KUNA KWAYA KUKU HAPA DAR,SIJUI NIKUUNGANISHIE WAKAKUIMBIE HALELUYA KUUUU??
2.HALAFU NASIKIA TUPO ZAIDI YA 16,000 HAPA JF, TUKIKUCHANGIA ALFU ALFU TU mmmh, piga hesabu mwenyewe.
3.Minimum ya mchango unaoruhusiwa kupata kadi ni sh ngapi?
4. NA UTARATIBU WA KADI JE?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom