Mnafanyaje wenzangu?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Nina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka kusahau.Muda mwingi mko hewani, kila nikichungulia nawakuta hewani,hata sielewi,kazi mnafanya saa ngapi,kunywa saa ngapi,kusali saa ngapi,kula saa ngapi na kukumbatia saa ngapi? yaani hata usiku mpo hewani. NIPENI siri ya ratiba zenu maana mmmh kuendelea nataka na kuacha kulogin JF pia nataka.Naona sina muda kabisakabisaaaa.
 
Hawafanyi log out, kama mimi sina sababu ya ku logout. So ukiona mtu yuko loged in usidhani yupo online.
 
Nina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka kusahau.Muda mwingi mko hewani, kila nikichungulia nawakuta hewani,hata sielewi,kazi mnafanya saa ngapi,kunywa saa ngapi,kusali saa ngapi,kula saa ngapi na kukumbatia saa ngapi? yaani hata usiku mpo hewani. NIPENI siri ya ratiba zenu maana mmmh kuendelea nataka na kuacha kulogin JF pia nataka.Naona sina muda kabisakabisaaaa.

Ndipo ushangae sasa! na wewe wakati ukiwacheki wenzio kuona kama hawajalala unakuwa ukifanya nini?......si unakuwa macho, unakuwa hauendi kusali wala kula wala kulala vinginevyo usingewaona si ndio?
 
Ndipo ushangae sasa! na wewe wakati ukiwacheki wenzio kuona kama hawajalala unakuwa ukifanya nini?......si unakuwa macho, unakuwa hauendi kusali wala kula wala kulala vinginevyo usingewaona si ndio?.HAPO CHACHAAA...........KAZI KWELI KWELI
 
Ndipo ushangae sasa! na wewe wakati ukiwacheki wenzio kuona kama hawajalala unakuwa ukifanya nini?......si unakuwa macho, unakuwa hauendi kusali wala kula wala kulala vinginevyo usingewaona si ndio?
naweza kusema ndio.Sasa si ndio nataka kutumia muda wangu vizuri?
 
hahaaa Tall karibu
si wanasemaga ukienda Roma na wewe u-behave kama warumi??

naona na wewe humu humu tu, hewani 24/7
 
Kila jambo na wakati wake Tall rejea vifungu vya biblia utajua watu wanafanyaje...ni rahisi sana...all the best..
 
hahaaa Tall karibu
si wanasemaga ukienda Roma na wewe u-behave kama warumi??

naona na wewe humu humu tu, hewani 24/7

bht
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Samahani......off topic///HEBU toa caption ya hii photo hapa!!
 
mbona inajieleza B!!!

au mpaka ukashtue ndo uone vizuri??

Ngoja nimcheck yule Bala kwanza!!
..nitarudi. I am starting to like them babies.....naona wanaongelewa sana
Mara shishi.......
 
umcheck Bala tena wa nini kwani hapo humuoni B?

bado wewe tu, shishi kakupita....

kumbe ukoo wetu una mods wawili tayari u and Goeff?? ndo maana mnamchanganya Tall,
hajui mnalala au mna amka!! u r alwys on!!
 
mbona inajieleza B!!!

au mpaka ukashtue ndo uone vizuri??
kama huyo ni mtoto si dori basi kaibiwa mtu hapa: wazazi weusi mtoto mwarabu au mhindi,samahani kama namkwaza mwenye avatar
 
Nina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka kusahau.Muda mwingi mko hewani, kila nikichungulia nawakuta hewani,hata sielewi,kazi mnafanya saa ngapi,kunywa saa ngapi,kusali saa ngapi,kula saa ngapi na kukumbatia saa ngapi? yaani hata usiku mpo hewani. NIPENI siri ya ratiba zenu maana mmmh kuendelea nataka na kuacha kulogin JF pia nataka.Naona sina muda kabisakabisaaaa.
je wewe unapochungulia na kukuta watu wapo hewa huwa unafanya kazi saa ngapi???.OONDOA KWANZA BORITI KATIKA JICHO LAKO NDIPO UTOE KIBANZI KATIKA JICHO LA NDUGU YAKO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom