Ramadhan Kareem!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,845
...haya tena wadau.
msimu wa mavuno umejirudia, mkiniona kimya mjue navuta uradi, kutubia na kuomba maghfira kwa Subhana wa Taala.

Mambo ya Mapenzi kwa sasa mnh! ...
Tutaonana September 10, 2010.:amen::thumb:
 
Sawa mkuu lakini Mapenzi yanaruhusiwa kwa mkeo na ahli zako wa halali...kama ya pembeni pembeni ukiacha uwache kweli na usirejee tena, tupo pamoja mkuu, KULLU AM WA ANTUM BIKHEYR
 
Wishing all Muslim brothers and sisters a happy and blessed Ramadhan....
 
kwa ndugu zangu Waislam woooote... Ramadhan Kareem, sisi sote ni ndugu..
 
Kila la Kheri ndugu zetu... Mungu awape afya na uwezo wa kufunga mwezi mzima na sita pia...

Huu ni mwezi wa maadili
 
ramadhan kareem kwa wote...............wengine tumeshaanza mfungo.

mkiona kimya jueni niko katika harakati za kusaka ftari :confused2:
 
Haya Ramadhani njema,usisahau kuombea Taifa letu TZ na umoja wa JF.
 
mmmh jamani wale wapenzi wanaouza NG'ROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO duh kaeni chonjo punguzeni bajeti mtakula hasara wapendwa wetu wanaenda likizo biila malipo ...msije lia haya wale wa NAMNANI aijui mtafanyaje....kazi kwenu
 
Nawatakia wote wale watakaojaliwa kufunga mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan na sala na maobi yenu yajibiwe na Muumba wetu. Wengi wameuanza mwezi mtukufu rasmi leo na kuna uthibitisho wa kutosha kwamba mwezi uliandama jana.
 
...haya tena wadau.
msimu wa mavuno umejirudia, mkiniona kimya mjue navuta uradi, kutubia na kuomba maghfira kwa Subhana wa Taala.

Mambo ya Mapenzi kwa sasa mnh! ...
Tutaonana September 10, 2010.:amen::thumb:

Saumu MaQbul, Ramadhani Kareem waja JF!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ramadhan kareem kwa wote...............wengine tumeshaanza mfungo.

mkiona kimya jueni niko katika harakati za kusaka ftari :confused2:
wengine hawajaanza leo :confused2: Allah yqbal siyamkum....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom