Nihisivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nihisivyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Aug 10, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wanaume ni wakarimu saaaana ndiyo maana hupenda kuonyesha upendo kwa wanawake ili tu auonje ukarimu na utamu wake! Si kwamba ni wahuni kwa kutoka kwenye ndoa zao ila au relationship zao ila ni jinsi walivyoumbwa kumuonjesha ukarimu kila mwanamke anayemtamani kumpa ukarimu huo kwa hiyo wadada mtuvumilie sana ni ukarimu tu hasa wa kimapenzi tuliojaaliwa
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  asanteni kwa ukarimu wenu...tutazidi kuwa karibu na nyie
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kweli "unahisi"
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mjisongeshe tu hata kututongoza msisite tu wakarimu sana ukiona umtongozaye kakimbia sijui eti kaacha gari huyo kapungukiwa na ukarimu
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na hisia huwa ni kali:confused2:
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  The following user say thanks for this useful post "funzadume"
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahaahaaaaah eti wakarimu! Na wabakaji nao ni wakarimu?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  kwani si wakarimu?
   
 9. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmmm, ukarimu kaaziii kweli kweli
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ukarimu umewazidi na mbakwaji akianza sikia utamu wa ukarimu hubaki kimyaaaaaa ni wakarimu saaaaaaaaaana:becky:
   
 11. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!! mbakwaji anafurahia ukarimu lol! hata hivyo hizo ni hisia zako binafsi mkuu Kimbweka.

  :A S-confused1:
   
 12. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #12
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ukarimu huu!!! mhh!!!
   
 13. m

  masakia New Member

  #13
  Aug 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila lazima tuwe waangalifu magonjwa mengi masela.
   
Loading...