50%ya kesi za ndoa ni """uzinzi"+""uasherati" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

50%ya kesi za ndoa ni """uzinzi"+""uasherati"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 11, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  Wanandugu nimekaa nikafanya exp yangu ndani ya ndoa na kuangalia watu mbali mbali walioathirikka na ndoa nimeona kesi nyingi zimedondokea kwenye uzinzi uasherati na ufiraji...
  leo hiiniimekuja tusaidiane je haya mambo mbona yameandikwa tangu kwenye vitabu vya dini..watanzania mnaonaje badala ya kumdanganya MUNGU na wazazi wenu pale madhabahuni kwa kugawa soda na vyakula mkaamua kubadilika..ni wakati muafaka wa kusaidiana tuweze kuendelea kuonana hapa jf maana kumbuka tusipokumbushana tunaita kaugonjwa ketu kanyumbani na hivyo siku utakapoondoka hata kukuona kwenye matangazo madogo madogo atutakuona.....embu achanan na haya madhambi ya ajabu ajabu yanakwepeka najua mnaweza sehemu ama kujitete kila mtu kwa muda wake...embu jipanguse nasema jipanguse sasa
   
 2. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,489
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  rrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaah rrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaah me nishajipangusa :confused2:
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hilo neno la kujiexpress mbona umeliweka kwa ukali sana:becky:
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  tenaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,885
  Likes Received: 20,964
  Trophy Points: 280
  UASHERATi au UZINZI ingetosha kufikisha ujumbe kwenye heading/stori yako.....
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani naomba Mods warekebishe hiyo heading.
  Kuna neno moja linanipa kichefu chefu otherwise mada ipelekwe kwenye lile jukwaa la kiutu uzima.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  ok mod msaada
  mi nimeona tuelezane hali halisi wapo wachafu wa matendo hayo atuna budi kuwaficha kwa jina la uzinzi
   
Loading...