imetuila hii kweli?

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
wadau,

Niliona mchungaji flani anaalkia wanandoa katika chakula cha jioni(kinalipiwa, si bure) kwa ajili kutoa elimu kuhusu ndoa. yeye kama yeye kaachika!!

hivi inaingia aikilini kupewa ushauri na nasaha za kuishi vema katika ndoa yenu na mtu ambaye yeye mwenyewe kaachika/hayupo ktk ndoa?!?!

Ni sahihi kulipia elimu hiyo(kupitia chakula) amabayo inaendeshwa na mtu wa kanisa??

Binafsi hainikai akili hata kidogo!!!!:embarrassed1:
 
wanaziita church projects au kwa lugh nyepesi " Ujasiliamali ndani ya kanisa"
 
Si umtaje tu jina ni Mama........., adadai yeye aliachwa na sio yeye aliyemuacha mumewe, na ndo maana mpaka leo anatumia jina la mumewake. kimsingi kama ana wateja ni vema akawahudumia si wajua siku hizi dini imekuwa ni biashara kama biashara nyingine, tatizo hawalipi kodi tu
 
wadau,

Niliona mchungaji flani anaalkia wanandoa katika chakula cha jioni(kinalipiwa, si bure) kwa ajili kutoa elimu kuhusu ndoa. yeye kama yeye kaachika!!

hivi inaingia aikilini kupewa ushauri na nasaha za kuishi vema katika ndoa yenu na mtu ambaye yeye mwenyewe kaachika/hayupo ktk ndoa?!?!

Ni sahihi kulipia elimu hiyo(kupitia chakula) amabayo inaendeshwa na mtu wa kanisa??

Binafsi hainikai akili hata kidogo!!!!:embarrassed1:

Si malipo, ni sadaka jamani!!!!
 
How can you play on the side that you are not in? Mch,Mhe,Prof,Dk, Mama Rwakatare
 
Mbona waathirika wa HIV/UKIMWI wanatoa nasaha kwa wasioathirika? Ujue mtu ambaye yamemkuta anaweza kukufunza vizuri zaidi kuliko pengine yule ambaye hajakutwa na jambo.
 
we leárn through our mistakes..nakubaliana na wewe :glasses-nerdy:
 
kila kitu kinawezekana sioni tatizo la mtu kumfundisha mafunzo ya ndoa wakati yeye ameachika ni kawaida tu nadhani amejifunza kutokana na makosa hivyo anawashauri wengine wafuate njia iliyonyooka

ni kawaida sana hiyo kitu na kwa taarifa yenu tu hata walimu wa shule za msingi na sekondari uwa wanachukuliwa wale watu waliopata alama za chini (div III na VI) na sio wale vichwa na ndio hao hao walimu walioshindwa kufaulu vizuri wanakuwa walimu ni kawaida tu
 
sioni tatizo kama utaipeleka hela kwa mikono yako
mbaya ni pale kimlazimisha mtu kila mtu alipe kadhaa kuna moja ya chr lipo junction ya mwenge huko ndani wana vitu vinaitwa zone kila mwezi wah wa zone wanasema wanakusanya alfu tatu kama una macho angalia alfutatu na ule umati kila mwezi ujue wapi tuko na tunapoelekea
 
kila kitu kinawezekana sioni tatizo la mtu kumfundisha mafunzo ya ndoa wakati yeye ameachika ni kawaida tu nadhani amejifunza kutokana na makosa hivyo anawashauri wengine wafuate njia iliyonyooka

ni kawaida sana hiyo kitu na kwa taarifa yenu tu hata walimu wa shule za msingi na sekondari uwa wanachukuliwa wale watu waliopata alama za chini (div III na VI) na sio wale vichwa na ndio hao hao walimu walioshindwa kufaulu vizuri wanakuwa walimu ni kawaida tu
Nani anawaambia ndoa ina mafunzo!!!
 
wadau,

Niliona mchungaji flani anaalkia wanandoa katika chakula cha jioni(kinalipiwa, si bure) kwa ajili kutoa elimu kuhusu ndoa. yeye kama yeye kaachika!!

hivi inaingia aikilini kupewa ushauri na nasaha za kuishi vema katika ndoa yenu na mtu ambaye yeye mwenyewe kaachika/hayupo ktk ndoa?!?!

Ni sahihi kulipia elimu hiyo(kupitia chakula) amabayo inaendeshwa na mtu wa kanisa??

Binafsi hainikai akili hata kidogo!!!!:embarrassed1:
Inawezekana........pengine keshagundua kilichomfanya aachike.......
 
Back
Top Bottom