kwa nini mayaya wanapenda kanga laini hasa jioni?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini mayaya wanapenda kanga laini hasa jioni??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 5, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,320
  Likes Received: 5,645
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu si kwamba nina exp ila
  leo nimejaribu kusaliimia ndugu zangu wa karibu kwa kweli
  kila nyumba niliioningia nafunguliwa na dada anawahi kugeuka
  aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  mevaa kanga laini katika nyumba tatu kuna mbili live awakuwa
  na nguo za ndani ingawa wengine yawezekana ni uniform kutokuwa na
  nguo za ndani jion nikimaanisha easy to drop...anyway kama mpo uwannjani
  embu tupen data jamani hizo ni uniform ama kutiana majaribu maana
  huyu shetan
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  biashara asuhi kakaa....jioni..?!!
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Biashara matangazo....na hasa kwa wateja wasioridhika na bidhaa walizonunua kwa hiari yao ndio hao huletewa mpaka chumbani washindwe wenyewe!!:love:
   
 4. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Joto..ila wengine full mitego..
   
 5. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  nimeipenda hiyo
   
 6. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni hao waajiri wao. Wanatakiwa wawatafutie sare za kazi.
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Jioni baba mwenye nyumba anakuwa amesharudi, hivyo ni competition na mama mwenye chake.

  Kwa mabinti wa kazi za ndani walivyo siku hizi hawajatulia, utanunua sare ngapi kwa mwaka? Siku hizi ukibahatika kukaa na binti miezi sita mhhh, hasa kama una watoto wadogo hawataki kabisa! Wamekuwa wasumbufu kiasi kwamba wazazi wameamua kupeleka watoto wao day care centres (at least sasa zipo chache japo ni fedha nyingi sasa inabidi ulipe tu). Nafikiri itafika mahali tutakuwa kama nchi za wenzetu, kuwa ni vema kumpeleka mwanao day care centre acheze na toys na kujifunza kuliko kubaki huko nyumbani akikoromewa na haouse girl ambaye pengine ni drop out na mbaya zaidi analetewa ma unlce ndani wanazini mbele ya mwanao. Nakumbuka enzi hizo watoto wangu walilelewa na wafanyakazi wawili tu (kabila langu) kwa nyakati tofauti kwa kuwa wote walipata wachumba na kuolewa wakitokea kwangu. Watoto wao ni kama ndugu maana mpaka leo wanafika kwetu (bahati nzuri waliolewa DSM na wana maisha mazuri mno, mmoja wana duka la jumla kubwa na mumewe -mtaji niliwapatia na wakautumia vizuri, tena kwa wakati huo ulikuwa mtaji mdogo ila kwa kuwa binti alionyesha interest ya biashara tangu nikiishi naye basi ikawa ndiyo zawadi yake wakati wa ndoa yake, mwingine nilimsomesha tailoring school -ndicho alichoweza, na akawa na tailoring mart/ school registered by VETA na sasa ana duka la nguo na ni mteja Hong Kong) na tailoring alishafutilia mbali kabisa. Ma house girl hawa walikuwa kama mama kwa watoto wangu, hata nikisafiri nje kwa muda mrefu hakuna lililokuwa linaharibika, wanafuatilia watoto shule japo wao walikuwa ni darasa la saba, mtoto akikosa anakaripiwa kama vile ni wake kabisa. Watoto waliwazoea kuliko wazazi. Mpaka leo wanawaita Aunt. Sina watoto wadogo tena, lakini nasema housegirls ni matatizo mnoo na sitegemei kumsaidia yeyote yule tena zaidi ya kumlipa haki yake ya mshahara. Poleni wenye familia changa.

   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,320
  Likes Received: 5,645
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhh guys mko expirience si mchezo
  hawa watu mi nawaogopa sana kuna jamaa mmoja mbezi beach yeye aliletewa yaya kutoka
  kule kwetu singida akapiga mahesabu ya kumtafuna akawa anakula kwa mwezi mara moja
  jamaa yeye anaenda mwanza na dar akaona huu upuuzi akadanganya katoto akakapandisha ndege ya precission hao mwanza...so jamaa akifika anakaa mwezi na nusu miwili anarudi mama anajua mtoto karudi zao singida hhaaaa awa wasingaporeee nawaheshimu kila ukikuta gumzo nyumbani lazima awe katokea singapore---aka singida....kilichoniuma zaidi mkewe ana mtoto wa miezi mi4 hivi sasa unaweza kuimagine anamtoa mtu anaemtunza mwanae anampeleka mwanza kwa ajili ya anyway na kumwacha mwanae na mtoto wakiteseka wanaume mbafuuu kabisa lakini si wote
   
 9. A

  Anold JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Ukiona hivyo mama mwenye nyumba kaa chonjo tena angalia uvaaji wako ukijichanganya tu watu weweeeee!!!! Nyongeza: Ukiona yaya anakuheshimu sana (mama mwenye nyumba) ujue mnakula sahani moja. mnabishaaaaaaaa?
   
 10. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wanapunga upepo
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Inaitwa instant buying hiyo!!:becky:
   
 12. M

  Makfuhi Senior Member

  #12
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mshahara tunaowalipa wa 10,000 kwa mwezi unategemea wanunue nini. Hata hizo laini anapewa na mama mwenye nyumba akifikiri anamkomoa.
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  MMH MMHawa panya awa hawana shukrani hata kdg kuna haus gal mama alikuwa nae alikuwa anampenda zaid yangu na kwa vile alikuwa age yangu basi nilipoanza olevel mama akampeleka na yeye shule bas weeeeeeeeeeeeeeee kiboko yani ilikuw ambwe,mbwe mtaani mbona walimkoma uku home ikifika sa 2 (ndo muda wa mama kurudi kazini) bas anachukua madaftar anayatandaza seblen pale bas mama akija anajua yaap uyu anasoma mimi tena naanza kuchambwa we usomi kaz kunimalizia ela tu wewe mjinga huna uchungu na ela zangu mi nilikuwa sijibu kwa sababu msuli wangu mimi ulikuwa sa 5 asubuhi ivi mpk sa 8 mchana wakati yeye yupo job tena nilikuwa nasomea kwa washkaji akina neema nikirud home mi mziki tu kwa kwenda mbele nilikuwa nampenda bob marlry kufa bas wakawa wanasema uyu anavuta bangi asomi kabisa chek miziki yake basi bwna matokeo kutoka ye akawa na 4 karibu na zero mi nkawa poa basi likamshuka mama na haus gal wake nmanake kam ela za mama alitafuna kinyama manake daily virungu vya ela mimi nikiomba sipewi cz sisomi basi mama akarudsha heshma kdg na yule haus gal akawa anasambaza fikra that nimebahatisha kupata dvsn 2 wananisubiria matokeo ya form 6 bas nikampigia one nzuuri ya 5 akawa hakubali eti chuo sjui km stadisco cz sisomi nkamwambia poa mie nkazama zangu mkandala panapo political sayansi ......dahh SKUIZ TUKIONANA ANATAMAN ANILAMBE adabu na utii .MWSHO WA SIKU AKAANZA KUMTUDHARAU MAMA NA WOTE HM AKAJISUTA KIMOYOMOYO MAMA AKAONA ISIWE TABU NENDA HM SINA MSAADA MWNGNE TULIKAA NAE MIAKA 9 uko songea anatangaza mbofu tu za kutunga juu ya mama dahh roho inaniuma sana cz mama alikuwa anamfanaya mtoto wake mim ndo haus gal
  akaja mwngne mim nkamfanyia mpango akapata kikaz cha kufundisha watoto chekechea kanisan bas baada ya kuzimake siku moja akaamka over nit na kumwambia mama anahama anaendda kujitegemea na mama aliporudi job akumkuta dada akawa ashasepa na akaanza kudanganya kwao kwa nini kaondoka ..........basi TOKEA APO NKAWAFAHAMU AWA BINADAMU YAN HAWANA SHUKRAN HATA KDG WANABOA MBAYA .......NA nikija kuolewa nkakutana na kima km awa ananletea mafyongo NITAMKEKETA kwa meno . ...cz nina machungu nao since then.
  nawasilisha byee
  av a nice day
   
 14. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Siku hizi hata ajira bila kumkingia kizito kibesi hufurukuti so,biashara matangazo
   
 15. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,455
  Likes Received: 2,039
  Trophy Points: 280
  hii quote imejaa utata mtupu na sijaielewa, mwanzo umeonyesha kusifia kuwa umewawezesha mayaya wako mitaji mpaka wamefungua vituo vya biashara vikubwa na wengine kwenda mpaka nje (ingawa nahisi si kweli ni mashauzi tu ya kihaya ya kupenda sifa) sasa mwisho unasema hutaki kusahidia mayaya tatizo ni nn? na mpaka yaya anafuatilia maendeleo ya mwanao shuleni wewe au mkeo alikuwa wapi mpaka mshindwe kufanya hivi vitu muhimu kwa maisha ya wanao?. Ni utata mtupu hii quote na ungekuwa ndio unatoa utetezi mahakamani mbele ya wakili angekubananisha na maswali mpk ungelowa jasho
   
 16. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,455
  Likes Received: 2,039
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa utakuta chupi yenyewe anayo moja ikifika jioni anaifua ili avae kesho asubuhi pia mbunye naya inataka upepo sio kuipigia kufuli mchana na usiku ndio maana ina............. (sorry buttons za laptonga zimegoma kuandika)
   
Loading...