Malezi ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malezi ya leo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Aug 8, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Jirani zangu wawili ambao ni vijana kiumri wana watoto wachanga/wadogo. Wa kwanza aliwahi kuzalishwa na mtoto alipoanza kutembea akampost mkoa kwa babu zake. Yeye anakula raha tu kwa ninavyomwona. Ndio kwanza anasoma ile stail ya 2 in 1 ya sec. Wa pili ni binti yuko chuo kikuu. Ana bwanaake wanaishi wote. Nae anasoma ila sijui wapi. Hawa mtoto wao alipofikisha miezi 3 walimpost kwa bibi hapahapa dar kwa kisingizio cha shule. Malezi ya hawa watoto yanakuwaje? Swali langu ni kuwa kuna ulazima wa kukimbilia kuzaa wakati mambo mengine yamekubana? Tulijadili hili
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  kila mtu ana system yake ya malezi na uzazi, kama walikaa chini na kuamua iwe hivyo na wenyewe wapo happy mimi sioni tatizo hata kidogo

  kupanga ni kuchagua
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kwa nini wazae wengine walee wengine? Sidhani kama hao mabibi walipelekwa kwa mabibi zao wakiwa wadogo
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ukiona hivi ujue ni mimba ambazo hazikutarajiwa.
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Wana sababu zao binafsi hao jirani zako, na hamna haja ya kuzaa kama hujawa tayari kulea!..Mtoto kulea siyo kulelewa!!
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...'insurance' tu hiyo. Hata mimi nilijiwahi na mapeema. Ya nini kusubiria umalize madarasa ilhali elimu haina mwisho? Hakikisha last born wako yupo chuo kikuu kabla hujastaafu, otherwise 'kiinua mgongo' hakitakutosha!
   
 7. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nakubaliana kabisa na wewe kwenye sual la kuwahi, ila ndo mtoto wa 3 mon umpeleke kwa bibi yake!? i dont agree here!!!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 8, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mimba zisizotarajiwa ndio mimba gani hizo? Kwa sababu kama mlikuwa hamtumii kinga au kama mwanamke hayuko kwenye kidonge na mwanaume hajafanyiwa vasectomy mlikuwa mnategemea nini? Heck, kwanza kuna baadhi ya wanawake ambao hupata mimba hata kama wako kwenye kidonge.

  Mimba ambazo hazikutarajiwa ni zile ambazo labda mwanamke alibakwa. Zaidi ya hapo mtu unapojamiiana na mtu mwingine kwa hiari basi uwezekano wa mimba kutungwa na mambo mengine ambayo husababishwa na ngono ni mkubwa. Njia iliyo na uhakika angalau wa 99.9% kama hutaki mimba ni abstinence.

  NB: Hivi kucheza na matoy - vibrator, dildo, vidole, n.k. nako kunahesabikia kama abstinence?
   
 9. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Tatizo sio kuwa happy, tatizo ni kuwa sahihi. Hili ni tatizo, na malezi mabovu yana athari, sio kwa watoto wenyewe tu, bali kwa taifa pia.

  Kwa kifupi, hiii haijakaa sawa. Ukizaa unalea, sio unalelewa.
   
 10. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh,
  hata mie napenda watoto,
  lakini nimeona dada yangu akilea wake..si kazi ndogo atii
  ningependa kuzaa ila mtu akinihakikishia atanisaidia kulea...
  hivi hivi sizai ng'oo...unaweza kufa kwa presha walahi!,
  hao wanaopeleka kwa bibi waache wale starehe,
  hata mie ningefanya hivyo,nile maisha...
  nchi za watu hakuna wa kumpelekea mtoto wako..
  unahangaikaaaaaaaaaaaaaaaa naye mwenyewe,!
  basi tu kwanza mie mwanangu akiwa na mama yangu nitafeel yuko safe...na atapata malezi mazuri kuliko akiwa na housegirl/boy...
  ni njia nzuri ya kumkuza mwanao i think...na sio kuepuka rensponsibility...
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,804
  Likes Received: 83,178
  Trophy Points: 280
  Roselyne ndiyo maana idadi ya wanandoa wasiotaka watoto hasa katika dunia ya kwanza inazidi kuongezeka na nchi nyingine hadi kufikiria kuweka incentives za kuwalipa wana ndoa michuzi mikali ili waamue kuwa na watoto, lakini pamoja na hizo incentives bado birth rates ni ndogo sana.
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kazi ipo. Kitendo cha kusema uhakikishiwe malezi kwani wewe huwezi toa huduma? Upande mmoja ni wewe kuwa huru na kuwa na mtoto. Upande wa pili ni malezi ya mtoto husika. Kwa nini mwanao akuone mgeni kwake? Kuna raha gani mwanao akuite shangazi? Bado mapenzi ya mama na baba ni bora zaidi. Sio kuwa wazazi wako wanafurahia sana kuwa na mjukuu asie na mpangilio. Wanakustahi tu. NN kasema vyema ila ajue kuwa hata kwenye ridhaa ya ngono kuna bahati mbaya. Pia mkuu NN hizo vibrators na punyeto sio abstinance bali ni ngono mbadala
   
 13. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli kabisaa BAK,bado ukiweigh huto tubenefits ambavyo serikali itatoa...
  havitacompensate sleep deprivation,depression,and hardwork inayoassociate na ulezi wa mtoto!
  siwashangai wana-opt kutokuwa na mtoto jamani,
  kuna vitu vingine havinunuliki na pesa atii...
  mnh the way i love my bed,hata unipe shiling ngapi nikae macho siwezi mie :yawn::spy:
   
 14. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  dont be sooo naive,
  its hard kwa dunia ya sasa kwa wazazi kulea watoto wao au kuwa nao 24/7
  i mean utafanya kazi saa ngapi na kama ndio unasoma uzeeni,utasoma saa ngapi?
  wengi tumelelewa na watu baki,housegirl wameplay part kubwa sana katika malezi yetu kama sio ndugu mama mdogo etc
  katika watu wote,wanaofaa kuwa na mwanao,
  bibi na babu still ndio best,watakuwa na uchungu na mwanao kushinda hao watu wengine...
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,804
  Likes Received: 83,178
  Trophy Points: 280
  Ni vizuri umeliona hilo mapema kuliko kuamua kuzaa tu na mtu ambaye unamuona kabisa kwamba hatakuwa na msaada wowote katika malezi ya mtoto/watoto na baadaye kuanza kujuta kwa makosa uliyoyafanya. Hawakukosea waliotunga methali, "kubeba mimba si kazi, kazi kulea."
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  sijakukatalia ila ndo umpelekee mtoto wa miezi mitatu? Subiri basi mtoto afikishe miaka 2 ndo ufanye mambo yako. Kukwepa malezi kisa majukumu ndio u naive
   
 17. Ramwai

  Ramwai Member

  #17
  Aug 9, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  - Huyo nyaningabu ni mtoto au mkubwa?
   
 18. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hapana yeye ni mkubwa ila ni mgonjwa
   
 19. F

  Fanta Member

  #19
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BAK hapo ndipo wengi wetu hatukumbukagi, tunajisahau kabisa na mtu anaona ni rahisi tu si ntabeba tumbo miezi tisa (kwamba kubeba mimba miezi tisa ndio kazi nzito) na baada ya hapo sina shida ntaweza tu kumlea mwanangu (hw damn wrong people are on this)
   
 20. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hao wanawake may be were too busy not taking contraceptions.....
   
Loading...