Jikoki na tIGO

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Lipo tangazo linasema 'ingia mchezoni ujikoki na tIGO' alaf wakati wanasema hivyo kuna wadada wanakuwa wanacheza na kugeuka nyuma kiasi sketi zao zinakuwa zimewaacha wazi kidogo kwa nyuma. Sasa unakuta mpo sebuleni watu wa rika tofauti alaf likirushwa tu vijana wadogo wanakuwa wanarudia hiyo sentensi huku wakicheka...

Sometimes mtu unauchuna lakini kimoyomoyo uanaona aibu...

Kuna na jingine siku hizi linasema

'Konga nyoyo.., twanga kote kote na zantel' dah

Masikini Kiswahili...
 
:A S 100::cell:
 
Me sioni lolote hapo. Ni mawazo ya ajabu tu yametuteka akili zetu.

Kama wewe huwazi mambo ya namna hiyo, wala huwezi ona chochote kwenye hiyo misemo zaidi ya ujumbe uliokusudiwa.
 
Kwenye biashara tena, people don't care about your shyness or family or culture, they care about your what you have in your pocket ili wazichomoe kirahisi. Hahhaha! Tutazoea siku moja.
 
ni akili yako tu ndio ina tafsiri vibaya wala hakuna tatizo

ni sawa na kutangaza tangazo la juisi ya muwa kwa kusema "kama unataka juisi njoo ukamuliwe mtambo ni wa kisasa"
 
Lipo tangazo linasema 'ingia mchezoni ujikoki na tIGO' alaf wakati wanasema hivyo kuna wadada wanakuwa wanacheza na kugeuka nyuma kiasi sketi zao zinakuwa zimewaacha wazi kidogo kwa nyuma. Sasa unakuta mpo sebuleni watu wa rika tofauti alaf likirushwa tu vijana wadogo wanakuwa wanarudia hiyo sentensi huku wakicheka...

Sometimes mtu unauchuna lakini kimoyomoyo uanaona aibu...

Kuna na jingine siku hizi linasema

'Konga nyoyo.., twanga kote kote na zantel' dah

Masikini Kiswahili...

Mkuu usituharibie watoto kwa mawazo yako potofu. Wale watoto bado wako sealed, hawajui mambo hayo unayofikiria.
 
Jikoki.gif
 
Lipo tangazo linasema 'ingia mchezoni ujikoki na tIGO' alaf wakati wanasema hivyo kuna wadada wanakuwa wanacheza na kugeuka nyuma kiasi sketi zao zinakuwa zimewaacha wazi kidogo kwa nyuma. Sasa unakuta mpo sebuleni watu wa rika tofauti alaf likirushwa tu vijana wadogo wanakuwa wanarudia hiyo sentensi huku wakicheka...

Sometimes mtu unauchuna lakini kimoyomoyo uanaona aibu...

Kuna na jingine siku hizi linasema

'Konga nyoyo.., twanga kote kote na zantel' dah

Masikini Kiswahili...
duh! watu mnawaza mbali duh! me naliona kama tangazo la kawaida tu!
 
Back
Top Bottom