Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau Najaribu kuangalia how good or bad love is... Leo nimeona mdada mmoja anatoa machozi ndani ya gari nzuri ya kifahari... nikajiuliza weee nikakosa majibu, kisha nikakumbuka hata masikini nao...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nilimnasa kwa tundu bovu, nilitegesha misosi, mazagazaga kibao, nalo likanasika, likafugika ingawa kwa tabu na maumivu mingi kwangu, Kunguru kila mwanya likipata ujue hutoroka hadi usuke mtego...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi inakuwaje mtoto wa kike anajipiga picha kama hii anaweka kwenye net halafu baadae akiambiwa kuwa anajiuza anang'aka kuwa amevunjiwa heshima!!!Wakati yeye ndiye kaanza kujivunjia Heshimu!! ebu...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hey somebody should explain to me whats love!?in a gud mannerz !
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua. Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hivi jamani hili joto la kipindi hiki mnakabiliana nalo vipi kitandani? ratiba za mechi zinapungua ama kuna positions maalum zinatumika? Nauliza tu..
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau, Leo asubuhi wakati nimetoa mawazo mbali na matukio ya jana ya Arusha, nilifungulia 89.0 FM kipindi cha Early Morning Rise. Topic ya leo ilitoka kwa mwanaume ambaye ana ndoa ya mwaka mmoja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimeambiwa eti mie naiga kupenda(Mapenzi yangu eti ya Kichina), hivi kuna wanaoiga kupenda Jamani? Kuna mapenzi ya Kichina siku hizi?...Sasa nataka kuacha kupenda, Je, nifanyaje sasa kwa wife...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Nataka kujua hili wana JF ili nisimkwaze Partner wangu coz huwa analalamika sijui kulala fresh!!!Nipe hizo Styles Bandugu!!
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!! Kama hujazoea si uache????
0 Reactions
121 Replies
17K Views
ni kwanini wanaume bahadhi tunadanganywa kimapenzi?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hili naamini litamsaidia yeyote! Raha inapatikana wapi kwenye umbo zima la mwanadam? Kunusa? Kuona? Kugusa? ............... ............... Sasa ni kuona wapi? Kugusa wapi? Kunusa wapi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
For the takribani muongo sasa natafuta shori…..lakini most nimekutana na mashori ambao at the end naona miyeyusho… baada ya kuwa shortlist nikapata hawa…. Denti IFM….mkaliii saana...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
nilisikia mahala flani kuna wa-binti wanaitwa "call girls"...! naombeni elimu kuhusu hili tasavali!!:frown:
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia kuwa Kwa wahindi, unaruhusiwa kufunga ndoa na yeyote yule ambaye sio tumbo baba mmoja na wewe. Yaani mtoto wa shangazi, ba mkubwa, ba mdogo n.k wote ruksa. Kwa wamasai...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
W: wants O: one M: Man E: every N: night
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wana JF nisaidieni kuna Demu nimelala nae mwezi wa 5 tarehe 28. harafu mwezi wa 12 ananiambia amejifungua mtoto wangu. Hapo nikipiga hesabu ya miezi naona haifiki 9 kabisa.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tulikuwa tunapiga soga wakati wa kuukaribisha mwaka mpya; moja ya hoja iliyotolewa ilikuwa ni suala la mmoja wetu ambaye alisema kuwa "lazima mke wangu awe msomi bwana, mimi mambo ya kuoa wa...
0 Reactions
71 Replies
12K Views
Back
Top Bottom