Ni halali kulala na housegirl?

Marigwe

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
228
18
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na wife hajui. Hiyo anasema inampa raha sana. Nini maoni yenu. Je kitendo hiki ni kizuri kwa ndoa yake?
 
Swali lako linanishangaza!Tangu lini kuiba kukawa halali??Jibu sio halali!Mwambie awe na heshima kwa mkewe angalau hata kidogo tu!Maana dharau anayomwonyesha kwa hayo maneno anayosema na vitendo vyake haipimiki!
 
ni kitendo kibovu na kibaya sana katika ndoa yake na asipoangalia itakuja kumletea matatizo makubwa sana! sasa majirani nao wale nini jamani anaweza fikiri anajipendelea kumbe akina naniliu nao wanapiga mdogomdogo, mwisho wa siku mimba ambazo hazieleweki na magonjwa juu,
 
Kwani house girl yuko cheap kiasi hicho? Ashindwe na dharau zake

Ana pepo chafu huyo! , akishindwa kulala na house girl atalala na bintiye.
 
Amuogope Mungu sana sana na kiapo alichokiweka mbele yake,anaona na atamuadhibu.House gals hawana mapenzi mema na mume wa mtu,anaweza kuja hata muua mke wake ambaye naamini anampenda kuliko house girl,na wengine wana pepo wachafu wanawatumia kuiba waume za watu,asifikiri kapata,kapatikana.amuombe sana Mungu,si sifa hiyo ni pepo anamuita kwa huyo housegal.mi nchukia kweli,katika sifa zote mwanaume anajisifia na hili,it shows how low,cheap,assclown he is.:redfaces:
 
Je kitendo hiki ni kizuri kwa ndoa yake?

Hakuna atakayekuunga mkono kwa hii issue nadhani ingekuwa bora ukamuuliza Jamaa akupe point za ku-support huu ulimbukeni na uziweke hapa hizo sababu, hapo ndio tutaweza kudebate vizuri, otherwise hapa utaambulia matusi ya bure....
 
si kumdharau mkewe tuu lizzy bali hata yeye mwenyewe kajidharau kwenda kulala na housegirl.... utakuta hao ndio wale wanaolala na maid wa bar na mizoga yoote ni wao wao,,:whoo::whoo:
Swali lako linanishangaza!Tangu lini kuiba kukawa halali??Jibu sio halali!Mwambie awe na heshima kwa mkewe angalau hata kidogo tu!Maana dharau anayomwonyesha kwa hayo maneno anayosema na vitendo vyake haipimiki!
 
Muulize huyo jamaa mke wake akiliwa na shamba boy itakuwaje, ni raha pia au? Maana tuangalie pande zote zote
 
housegirl mtamu tena ukipata kile ambacho kimekulia kwako kikakomaa harafu nyumba yako iwe ya gate huwa hakiendi magengeni kununua vitu yaani kipo zero grazing yaani we acha tu hasa ukirudi saa tano unakuta kimeshakunywa chai kimemaliza kazi labda kinasubiria mboga ambayo iko jikoni ndo unakuta kimemaliza kufua kimeoga harafu bado kina kanga moja ddah we acha tu kwanza unakikamata kwenye coach basi tu
 
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na wife hajui. Hiyo anasema inampa raha sana. Nini maoni yenu. Je kitendo hiki ni kizuri kwa ndoa yake?
Acha.......! kuzuga wewe ,huyo house girl wako atakuletea balaa ,oa labda mkeo zoba oa Mhehe au Mmeru uone!
 
Kwanza inaonekana huyo jamaa amekwishafanya huo mchezo na housegirl na kakwambia wewe katika kutaka kuhalalisha uchafu wake tu.
Ukiona hivyo ujue nae mkewe hivi karibuni kuna jamaa atambonyeza hivyo nae ajiandae
 
si kumdharau mkewe tuu lizzy bali hata yeye mwenyewe kajidharau kwenda kulala na housegirl.... utakuta hao ndio wale wanaolala na maid wa bar na mizoga yoote ni wao wao,,:whoo::whoo:

lakini mama, kumbuka kuwa hata barmaids nao ni wanawake na wanapaswa kuwa na wenza kama wengine tu!!!!!
 
si kumdharau mkewe tuu lizzy bali hata yeye mwenyewe kajidharau kwenda kulala na housegirl.... utakuta hao ndio wale wanaolala na maid wa bar na mizoga yoote ni wao wao,,:whoo::whoo:

Halafu atahamia kwa wanae, Hg ni sawa na binti yake ashindwe na alegee
 
housegirl mtamu tena ukipata kile ambacho kimekulia kwako kikakomaa harafu nyumba yako iwe ya gate huwa hakiendi magengeni kununua vitu yaani kipo zero grazing yaani we acha tu hasa ukirudi saa tano unakuta kimeshakunywa chai kimemaliza kazi labda kinasubiria mboga ambayo iko jikoni ndo unakuta kimemaliza kufua kimeoga harafu bado kina kanga moja ddah we acha tu kwanza unakikamata kwenye coach basi tu
Too low!
Una maadili weye? Umelelewa na nani? Una mama weye?
Halafu watu kama wewe mnalialia kuwa wake zenu wana affairs! Kwanini asiwe nayo kama mume mwenyewe ni bomu kama wewe!?
 
Mwaambie aache huo mchezo si vizuri kumcheat wife tena nyumbani hapo hapo! Ipo siku atajuta, kitadaka mimba halafu patachimbika hapo nyumbani na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuisambaratisha familia yake. Mwambie atulie na wife wake bwana!
 
housegirl mtamu tena ukipata kile ambacho kimekulia kwako kikakomaa harafu nyumba yako iwe ya gate huwa hakiendi magengeni kununua vitu yaani kipo zero grazing yaani we acha tu hasa ukirudi saa tano unakuta kimeshakunywa chai kimemaliza kazi labda kinasubiria mboga ambayo iko jikoni ndo unakuta kimemaliza kufua kimeoga harafu bado kina kanga moja ddah we acha tu kwanza unakikamata kwenye coach basi tu

Haitashangaza kusikia unakula mayai yako (binti yo)
 
ndio yatakuwa ni hayo hayo wallah maana si kasema apenda akiona huyo maid amuibia mamahouse wakati hajui na bint yake pia hashindwi walla....
Halafu atahamia kwa wanae, Hg ni sawa na binti yake ashindwe na alegee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom