Habari ndg wanajamvi.
Ninashida tema shida muhimu sana.
Naomba mnisaidie Baba yangu anaumwa moyo.
Alienda aghakan hospital baada ya uchunguzi akagundulika anaugonjwa wa moyo. Na alipewa dozi ya...
Jamani watu wanapenda kupiga chabo, it seems wanafaidi indrectly jamaa mmoja alishawahi kuanguka baada ya kumaliza game sawa na mchezaji mpo hapo? Nauliza tu jamani?
Nina madem wanne kwa pamoja ila hawajuani, watatu wanajulikana sana kwa marafiki zangu ni wa hadhi ya juu (wanatoka famila za wafanya biashara.Wa nne anatoka mabibo loyola kwao naamini...
Mtoto wa miaka tisa kajifungua mtoto huko mbalizi mkoani Mbeya.
Alipewa mimba na kaka yake (mtoto wa mama yake mkubwa) mwenye umri wa miaka 18, ambaye alikua akimtishia kwa kisu ili afanye nae...
Not only are more educated women more likely to get married, they are also more likely to stay married, report says.
(CNN) -- The amount of education a person has plays a big role when it comes...
yani uwezi kuamin kandri siku zinavozidi kwenda wasichana wanaojiuza maeneo ya ohio inazidi kuongeka tena biashara inaanza mapema tu mida ya sa moja na nusu hivi ..chakushangaza unamkuta ameka...
Wanajamii,
Nafikiria kuwa na mwenza wa baadae kuitwa 'mamsap', lakini nashindwa kubaini ni namna gani ya kumtambua mjenzi wa kweli.
Maana dadaz yaani hata hujafikiria kwamba UNAMTAZAMIA...basi...
Jamani natafuta kabinti kadogo, kateke, english medium, dot. com ambacho kitakuwa kinaniliwadha kwa kuniimbia nyimbo za blues na swagga za kudeka deka hivi na kunitania tania na vijimambo vingine...
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni...
polen kwa ambayo yamekuwa yakijiri nchini kwetu tangu uteuzi wa wagombea, kuanza kwa kampen, uchaguzi, matokeo na mpaka tarehe 5january_Arusha. Kuna jambo limekuwa likinitatiza kila siku juu ya...
Wadau
Najaribu kuangalia how good or bad love is... Leo nimeona mdada mmoja anatoa machozi ndani ya gari nzuri ya kifahari... nikajiuliza weee nikakosa majibu, kisha nikakumbuka hata masikini nao...
Nilimnasa kwa tundu bovu, nilitegesha misosi, mazagazaga kibao, nalo likanasika, likafugika ingawa kwa tabu na maumivu mingi kwangu, Kunguru kila mwanya likipata ujue hutoroka hadi usuke mtego...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.