Hiki kisa ni cha leo leo.
Nina rafiki zangu wawili ambao ni wafanyabiashara, ivo mara nying huwa nakutana nao weekend kwsbb ninaish mbali na wao ingawa wao mara zote hushinda pamoja kwasbb ya...
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF...
Rafiki yangu kalalamika hajaonana na mpenzi wake tangu mwaka huu uanze wanazungumza kwa sim tu. kila akitaka waonane anasema yuko busy na last year ilikuwa ngumu kupitisha siku bila kukutana
Je...
Samahani wandugu, najua hili si jukwaa la lugha lakini haya maneno nadhani yanahusu sana hapa MMU.
Naomba kwa anayejua anisaidie tofauti ya haya maneno matatu ili niweze kuyatumia ipasavyo;
1...
Huwa sipatagi jibu, hivi ukisha oa mke wa kwanza, then unataka kuoa mke wa pili, tatu
4...... unamwambiaje mkeo uliyenaye? na mke wa kwanza si atakataa tu au wanalazimishwaga nini, maskini...
Mzigo jamani mzigo huu, kuubeba wameubeba wengi wa mwisho sasa umemshinda eti anataka anipasie umemzidi uzito, eti safari imebakia fupi! Nimeshtuka mzigo huu ushakuwa mzito hata hatua moja kwenda...
Kusema ukweli sasa, inakuwa ni vigumu kumpata mchumba umpendaye wa kabila lako; hasa baada ya watu wengi kuhamia mijini na kwenda walikozaliwa kwa matembezi tu (au kugombea ubunge); ni baada ya...
.
1. NI MZIGO??
2. SIYO ESSUE???
3. HAKUNA JIBU SAHIHI??
4. JE KUNA VITU FULANI VIKIPIKWA NA WANNAUME NI BOMBA ZAIDI??
5. JE KUPIKA KWA ZAMU NI INALETA RAHA NAYO KWA WANANDOA??
6. JE KUNA...
Ni kwel kumtambua mwanamke inachukuwa muda kuliko mwanamke kumtambua mwanaume katika mahusiano ndan na nje ya maisha yako hv inasababishwa na nini hii ki2 wana jf
Nina umri wa miaka 67, lakini tangu nikiwa kijana mdogo nikiingia chumbani na mwanamke kavaa kufuli jekundu kitu huwa kinasimama imata kama mnara wa Paris kwa muda wote.
Je wewe umeshawahi...
Huwa natafakari sana hali inavyokwenda; Hivi miaka hamsini ijayo mavazi hasa ya wanawake yatakuwaje, maana kwa sasa ni karibu zaidi ya nusu uchi, kama maziwa wanazuia ili sehemu ndogo tu ya...
Katika kufikiria mwanamke Halisi wa Kiafrica dhahili hujua nini mmewe amfanyie au nini nyumba yake inataka, sasa hapa, mie mwenzenu mama mkwe ndo amekuwa na wasiwasi wa ndoa yangu kati yangu na...
Jamani habr zenu wadada. Naombeni kujua hili, wenzangu ktk maraha waweza mwamaliza mara ngapi yani ile raha ya ukweli huwa inajirudia mara ngp hafu hutaki paguswe tena? Nawasilisha.
Actress Jaime Winstone is warning young people about the risk of getting cancer through oral sex and is promoting a vaccine which can prevent it.
In a new BBC Three documentary the...
Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana.
Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke...
Kuna classmet wangu wa zamani anahitaji ushauri wangu;
yeye aliwahi kuolewa miaka minne iliyopita lakini aliachika kwa kushindwa kupata mtoto.miezi mitatu iliyopita aliolewa tena huku akiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.