Kwanini baadhi ya wanaume tunadanganya katika mapenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini baadhi ya wanaume tunadanganya katika mapenzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kameja, Sep 19, 2010.

 1. k

  kameja Member

  #1
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwanini wanaume bahadhi tunadanganywa kimapenzi?
   
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  karibu sana.
  kwa nini unahisi unadanganywa? mapenzi ni game, ukiingia huko wewe cheza tu na jitahidi ku-have fun to the maximum. Usiusemee moyo wa mwenzio!
   
 3. BantuGirl

  BantuGirl Senior Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Atakuwa hakukupenda kameja...
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nani kakudanganya
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Jamani msaidieni huyo yamemkuta.


  Kama una ushaidi kwamba unadanganywa basi ujue unawatunzia wenzio, hakuna mapenzi hapo. Labda kama amesepa mara moja kufanya sampling. Ila kama una hisi unadanganywa basi fuatilia ili upate uhakika. Hata hivyo chanzo cha kudanganywa au hisia za namna hiyo unaweza kuwa wewe mwenyewe. Juchunguze pia kwani inawezekana unamkwaza mwenzio.
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Mkuu fanya editing hilo neno maana hata kama kiswahili kimepita kushoto si kwa maneno madogo madogo kama hayo.Na ninadhani linapaswa kusomeka (baadhi).
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  pole sana kaka .. ila umejuaje kama unadangaywa? kwanini ubaki kama unahisi unadanganywa..
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kama imeisha kukutokea au kama bado haijakutokea jifunze kusamehe and move on
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  pole kwa kudanganywa endelea kujaribu
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Karibu!
   
 11. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Karibu jukwaani! Na wewe mdanganye....
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Watoto wa mjini wanasema NGOMA DROO
   
 13. B

  BigMama Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiona unadaganya na wewe fanya hivyo hivyo
   
 14. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Considering experimental data men lie 4-5 times more than women. But women do everything in a more professional way, because they can be proud of having a great oratory skills.Thats why many pauses emerge in a speech and men usually fulfill it with various "hmm", "eee", etc. And women's stream of consciousness is so rapid that they doesn't need to make any breaks.
   
Loading...