Nichague yupi?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
For the takribani muongo sasa natafuta shori…..lakini most nimekutana na mashori ambao at the end naona miyeyusho… baada ya kuwa shortlist nikapata hawa….

Denti IFM….mkaliii saana mweupe(rangi zangu) mzuri kweri kweri,sauti saafi,ana huruma ila tatizo lake kila weekend anataka tutoke club na mazaga zaga kama hayo….she like more sex…anakunywa wine tu...story zake ni za shule tu ambazo zikizidi huwa zinaniboa

Banker1….huyu ana busara,kasoma vema,ana mijipesa tatizo lake yu busy sana na ana principal nyiingi kwa kila jambo,hapendi kona kona ….hata sex lazima niandike proposal 3days b4….anasoma magazeti magumu gumu,tv chanel zake ni cnn,eljazeera hapendi uswahili uswahili najua yupo JF….ana wivu wa kichini chini

Shori wa kitaa….huyu hana mpya,hana kazi,hajasoma vema,magazeti anayosoma ya shigongo,kipindi chake leo tena cloudsfm na mirindimo ya pwani timesfm….she is typical mswazi….uzuri wake mkaliiii na ni fundi kitandani…anakunywa beer za kila aina,wine na nk…hana wivu

Banker2…huyu yeye ni expensive sana,ni mtu wa kutoka na viwanja vyake expensive ukitoka lazima uwe na si chini ya kilo….story zake movie,arsenal na man u….uzuri wake analipuka pamba si kitoto….pesa anayo ila nae miezi kama hii keshaishiwa…anakunywa wine tu….ana wivu balaa…

Secretary….nilimpata kwenye internet cafee Fulani mitaa ya ukwelini….yupo kampuni moja kama secretary….muda mwingi yuko facebook,plan zake ni kwenda ulaya ana dream kubwa kubwa lakini hatii juhudi kuzifanikisha..ni motto wa kigogo
K
wa kifupi woote hawa ni wakali weupee….wana push mandinga isipokuwa shori wa kitaa….nichague yupi kati ya hawa….
 
uyu wa aljezeera ndo mzuuri
atakuwa ana kubrash kingereza kdg au km uelewi asi unamuuliza tu
kwaiyo mwana she iz full with daily news,sunday observer ,aljazira...dah pole
siyo issue ye akiwa anafungua the gadian yake pale we fungua gazet lako la utamu au uwaz basi mpango mzimaaa...........
 
Chagua Dent wa IFM Utakuwa una enjoy kila w'end Hu hu huuu!
 
Kwani yule dada yake NaNii basi tena!!

Banker1 ndie anaekufaa.
Mnaendesha maisha kama power couple fulani hivi, of course lzm na wewe una mapesa yako ya kumwaga vile vile
 
Mwalimu heri ya mwaka mpya
 
uyu wa aljezeera ndo mzuuri
atakuwa ana kubrash kingereza kdg au km uelewi asi unamuuliza tu
kwaiyo mwana she iz full with daily news,sunday observer ,aljazira...dah pole
siyo issue ye akiwa anafungua the gadian yake pale we fungua gazet lako la utamu au uwaz basi mpango mzimaaa...........
she's always serious....mie naamini kuwa mtu hawezi kuwa serious muda woote.....ana principal nyingi nae....
 
Kwani yule dada yake NaNii basi tena!!

Banker1 ndie anaekufaa.
Mnaendesha maisha kama power couple fulani hivi, of course lzm na wewe una mapesa yako ya kumwaga vile vile
ndio huyu banker1.....msukuma.....ana masharti nae ukiwa bar anakupangia kiwango cha beer.....
 
bank 1 ndo waukweli we jitaidi kuishi nae hvo hvo mpaka mtazoeana na jitaidi sana kukaa nae muelezane kila mmoja anataka nini kutoka kwa mwenzake...mwisho wasiku freeeesh tu brooo!
 
uyu wa aljezeera ndo mzuuri
atakuwa ana kubrash kingereza kdg au km uelewi asi unamuuliza tu
kwaiyo mwana she iz full with daily news,sunday observer ,aljazira...dah pole
siyo issue ye akiwa anafungua the gadian yake pale we fungua gazet lako la utamu au uwaz basi mpango mzimaaa...........
Rose............... duh
 
Mwalimu habari ya mwaka mpya.

We ni banker?

Heri ya mwaka mpya. Umzima sana?

Mie mwalimu wa chekechea tayari tushapaishwa kwenye thread huko (lol) hapa nampigia kampeni mbeijing na maprinciples yake
 
Chagua Banker namba 1 kaka yangu,mwanamke lazima awe na principal,huo u-busy usikupe shida kwa umri wake inapaswa kuwa hivyo,suala la ku-propose sex 3-4 days before si issue,kama ndo atakavyo fanya hivyo mradi hakunyimi si issue pia.Wivu wa kichinichini una heshima huo hauna tabu.issue ya TV channel kama CNN imenifanya nimpende zaidi,she wants to know what's going on in the world from the best sources.KEEP HER,utatuambia after some years!
 
ndio huyu banker1.....msukuma.....ana masharti nae ukiwa bar anakupangia kiwango cha beer.....
Duh! Yote kwa afya yako tu lakini. Hataki utoke kitambi

Kisha ukizinywa nyingi mkirudi home utashindwa kuendesha game japo uliliomba siku kadhaa nyuma! Utamharibia schedule yake
 
Heri ya mwaka mpya. Umzima sana?

Mie mwalimu wa chekechea tayari tushapaishwa kwenye thread huko (lol) hapa nampigia kampeni mbeijing na maprinciples yake

Hebu cheki na Invii arudishe kale kakitu ketu, unajua nnavokumisi mwalimu wangu?
 
Yo yo Usijikaange chukua huyo wa kitaa maana wewe utamtrain mwenyewe na anaweza kunyoka ukampa mtaji naye akasukuma mandinga!!Hao wengine life ndo maana wanajifanya serious siku wakikutana na mwenye mkwanja ujue wewe yo!amekumwaga mwana!!
 
Mchague shori wa kitaa!!
Kwa kuwa elimu yake ni ndogo, wee ukimuendeleza utapata thawabu kwa mola.
Kwa kuwa yee ni mtaalam kitandani, kwa hiyo wee utaburudika vya kutosha, hautakuwa na wazo la kutoka nnje ya ndoa yako.
Kwa yee anapenda kusikiliza leo tena ya 88.4 clouds fm, atakuwa anakusimulia mambo yanayotokea mitaani kwani wee huna muda wa kuyajua yanayoendelea mitaani, kucha kutwa uko internet cafe, kumbuka kipindi cha leo tena huwa kinaongelea mambo mengi ya mtaani (MUHIMU: Mojawapo ya athari mbaya ya internet ni kuwa walio-adicted na mtandao wanapitwa na mambo mengi katika jamii, wanakosa sosholaizesheni. Bofya hapa: Negative Effects of Internet Usage - Associated Content from Yahoo! - associatedcontent.com)
Kwa kuwa yee hachagui aina ya kinywaji, kwa iwapo itatokea ukafuria hadi ukakosa pesa ya kununua bia, hata gongo yee itamfaa.
Kwa kuwa hana wivu, utapata fursa ya kuhudhuri vikao vingi vya halali na haram, mkeo hatokuuliza ulikuwa wapi, hautapata dhambi za kumuongopea kuwa ulikuwa baa ukicheki mpira wa mani na chelsii. Kwa ufupi utakuwa free kufanya mambo yako.
Kwa hiyo huyo shori wakitaa ndio atakufaa, hao wengine ni kutaka kujipa ugonjwa wa moyo
 
For the takribani muongo sasa natafuta shori…..lakini most nimekutana na mashori ambao at the end naona miyeyusho… baada ya kuwa shortlist nikapata hawa….

Denti IFM….mkaliii saana mweupe(rangi zangu) mzuri kweri kweri,sauti saafi,ana huruma ila tatizo lake kila weekend anataka tutoke club na mazaga zaga kama hayo….she like more sex…anakunywa wine tu...story zake ni za shule tu ambazo zikizidi huwa zinaniboa

Banker1….huyu ana busara,kasoma vema,ana mijipesa tatizo lake yu busy sana na ana principal nyiingi kwa kila jambo,hapendi kona kona ….hata sex lazima niandike proposal 3days b4….anasoma magazeti magumu gumu,tv chanel zake ni cnn,eljazeera hapendi uswahili uswahili najua yupo JF….ana wivu wa kichini chini

Shori wa kitaa….huyu hana mpya,hana kazi,hajasoma vema,magazeti anayosoma ya shigongo,kipindi chake leo tena cloudsfm na mirindimo ya pwani timesfm….she is typical mswazi….uzuri wake mkaliiii na ni fundi kitandani…anakunywa beer za kila aina,wine na nk…hana wivu

Banker2…huyu yeye ni expensive sana,ni mtu wa kutoka na viwanja vyake expensive ukitoka lazima uwe na si chini ya kilo….story zake movie,arsenal na man u….uzuri wake analipuka pamba si kitoto….pesa anayo ila nae miezi kama hii keshaishiwa…anakunywa wine tu….ana wivu balaa…

Secretary….nilimpata kwenye internet cafee Fulani mitaa ya ukwelini….yupo kampuni moja kama secretary….muda mwingi yuko facebook,plan zake ni kwenda ulaya ana dream kubwa kubwa lakini hatii juhudi kuzifanikisha..ni motto wa kigogo
K
wa kifupi woote hawa ni wakali weupee….wana push mandinga isipokuwa shori wa kitaa….nichague yupi kati ya hawa….
Inaonekana wewe suala zima la kupambana na magonjwa ya kuambukiza halipo kabisa katika mtima

wako,wanawake wote hao wanini?

Na inavyoonekana hapa una list ndefu ila tu wengine hukutaka kututajia,kiukweli ni ngumu sana kwako kuchagua

mmoja wapo wa hawa wanawake kwani wote wana vitu ambavyo vina upungufu kwako na ili kuvipata ni lazima

uende kwa mwingine hivyo itakuwa ni vigumu sana kwako kuchagua mmojawapo wa hao wanawake.

Nakushauri tu urudi kwa muumba wako maana shetani anakutumia ipasavyo
 
Back
Top Bottom