Huko Tuendako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huko Tuendako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chapa Nalo Jr, Jan 9, 2011.

 1. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Huwa natafakari sana hali inavyokwenda; Hivi miaka hamsini ijayo mavazi hasa ya wanawake yatakuwaje, maana kwa sasa ni karibu zaidi ya nusu uchi, kama maziwa wanazuia ili sehemu ndogo tu ya chuchu, mapaja na vitovu si kificho tena. Sasa je miaka hiyo ijayo kutakuwa na sehemu katika mwili wa binadamu itakayoitwa sehemu za siri?

  Pili je ni wakati gani unapopata mvuto/hisia za kimapenzi, (tuchukulie mpo nyumbani kwenu, pengine mnakula, au mnaangalia tv au kazi nyingine yoyote kabla ya kwenda kulala/au kabla kabisa ya ngono) ni pale mwenzi wako anapokuwa uchi kabisa au anapokuwa na nguo angalau kidogo(kwa mfano kanga nyepesi kwa mwanamke na bukta kwa mwanaume). Je ni vema kitu kitamu kionekane kiurahisi au iwe kinyume chake?
   
 2. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Wanawake w cku hz ht wavae mabaibui bado wanatamanisha!!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Fashion ya mavazi inajirudia. Watu wa zamani walikuwa wanaficha mbele na matiti kadri siku zilivyoenda wakawa wanavaa nguo tena za heshma. Kwahiyo tutakapofikia system ya kuficha mbele na matiti tu ujue tunakaribia kile kipindi cha kuvaa nguo za heshma
   
 4. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  hisia hazihitaji umuone mtu ni mafeelings tu ambayo
  hayajui mrembo kavaa baibui au yupo mtupu.
   
 5. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Aise kama vile unasema kweli, maana ni kweli fashion hujirudia lakini nadhani ulimwengu huu unapenda vitu vya ajabu ajabu tu.
   
 6. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280

  Lakini si inabidi sehemu za siri zienziwe kwa kusitiriwa ndugu!
   
 7. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  hapa mkuu umenena
   
 8. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahahah........
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Du!
   
 10. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Du! ebwana eeeee!!
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  kama wataisitir hlf mashine kw nje imejichora ki2 c kile kile bora kutembea uchi 2.
   
 12. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Kuhusu hili kuna rafiki yangu toka Arabuni alikuja nitembelea,jinsi alivyokuwa anaona mabinti na wanawake watu wazima wanvyovaa akastaajabu.......alichosema ni kwamba inaonesha huku kwetu hakuna marijali....kwa maana nyingine watu washakuwa mahanisi wa kihisia....lakini wenyewe wanijitetea ni kwenda na wakati......akili ya binadamu ina kasumba mbaya sana,inaweza kuwa inachukia kitu,klakini taratibu kadri siku zinapoenda mazoea hujengeka na mwishowe mapenzi huja badala ya chuki.....hivyo basi zamani watu walikemea sana swala la kutembea wanawake nusu uchi lakini sasa kuna wanaume wengi tu huwanunulia wake zao nguo za ajabu ajabu.....na mwanamke kama anapenda kujistiri mume anamuona kapitwa na wakati! kazi kweli kweli!
   
 13. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280  Hii ni hatari kama baadhi ya wanaume ndio wanaochochea hali hiyo halafu hapohapo jamii ya wanaume ndio wanaonekana kulaumu wanawake kuvaa nusu uchi inakanganya, basi wanaume naomba tusaidie kuokoa maadili please.
   
Loading...