haya mambo ya unyumba tuyaachen tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya mambo ya unyumba tuyaachen tu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tunalazimika, Jan 9, 2011.

 1. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hiki kisa ni cha leo leo _nina rafiki zangu wawili ambao ni wafanyabiashara, ivo mara nying huwa nakutana nao weekend kwsbb ninaish mbali na wao ingawa wao mara zote hushinda pamoja kwasbb ya nature ya biashara zao na kwsbb pia ni majirani. sasa leo nimefanikiwa kushinda na mmoja ya hawa marafiki zangu , wakat wa mazungumzo nikawa najaribu kusifia msimamo na mwenendo wa mke wa yule jamaa yetu ambaye leo hatukuwa nae_katika hali ya kushangaza nikaona jamaa ana ni_crush sana na baada ya kubishana kitambo akanieleza kuwa yule shemeji ni mpenz wake na kwamba ni yeye aliyelazimisha uhusiano huo wakat mshikaj huyu mambo yake yalipokuwa magum na kujikuta mshikaj huyu akidaiwa na mume wa huyu shemej huyu@jambo hili halikunichanganya hata kidogo kwsbb ni mambo ya kawaida ila pale aliponiambia eti bila kula ule mtandao wa robo shilingi yaan analia kabisa_sasa nikimuangalia mumewe cdhan lama mtandao huwa au anaweza kuutumia hata cku moja maishan mwake_mwanamke huyu pia ni wale wa kariba ya kutotongozeka_mlioana kaz ipo
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wanaume nao kumbe wambea siku hizi
   
 3. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  aisee mmenikatisha tamaa ya kuoa sio siri.
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Huo sio umbea au ameku touch nini?
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mungu tusaidie,kwa nguvu zetu hatuwezi kuwajua wenye tabia kama hizi........ila wewe uonaye sirini,tupe neema yako.AMEN:embarassed2:
   
 6. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kweli kuna kazi ya ziada ya kumwomba mungu atupe msamaha na kutufungua mioyo yetu tumrudie.
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Alokutuma mwambie hukunikuta
   
 8. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanaume wa siku hizi naona tunashindana nao kwa umbea. wamekubuhu
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wewe bado upo upo sio? Haha umenichekesha sana oa ndugu usiogope
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  samaki mmoja akioza unamtoa unamtupa unaendelea kukaanga wengine....
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Eti rafiki yao kawapa kisogo wanamteta,loo kama si umbea kitu gani
   
 12. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  loooh hii tabia ya kula kamtandao imekuwa kama halali siku hizi......sishangai maana dunia ndio yenda mwisho
   
 13. J

  J Lee Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! huyo jamaa ni mkatili, kwanini anakubal kutembea na mke wa msikaji wake.
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbaya zaidi anamla mtandao. Kweli dunia inafikia mwisho wake mungu atusaidie
   
 15. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  unajua ingekuwa wewe hata yule shemej angekuita chumban ucngekubali kbs mana ana misimamo ni balaa_lakn mshikaj kagonga na mtandao wa mjini, yaan kwa kwel nikasema Hakuna Binadam anaejua mahitaj halis ya mwenzie na Vifua vinabeba mambo meng
   
 16. J

  J Lee Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna inaonekana huyo naye alikuwa akimtamani huyo mwanamke. Haiwezekani kwa mtu mwenye kujiheshimu akakubal kushawishika kihivyo.
   
 17. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mbona avatar yako inaonekana umezeeka, au mliachana na mkeo?
   
 18. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  unajua mambo haya ni magumu na no formula-kuna mdada tupo nae job, mwaka juz alikuwa ujauzito wa mimba kubwa wakati umri wa mimba ni mdogo, that is to say angetakiwa kumkosesha unyumba bwasheee kwa kipindi kirefu sana kwasbb KUNA NAZI, KIFO CHA MENDE na mitindo mingi alikatazwa na wataalam na kwamba angemnywesha maji mtoto. sasa nikamuuliza kitambo chote hicho bwashee atavumilia-mdada akanitolea tube/jelly na kuniambia sasa mambo ndo mazuri zaidi no kulala-kwakwel nilichanganyikiwa, nikasema mbona mtandao huu unaonekana mgeni lakin watu wanakwambia labda kwetu barra tu ndo umechelewa kufika-duh kwa kweli!
   
 19. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kikulacho siku zote ki nguoni au maungoni mwako!
  Fundisho - kaeni chonjo..msiwaweke rafiki zenu karibu na wenza wenu!
   
 20. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  unaweza kujikuta umetupa tenga zima wakaisha maana baada ya kutupa unakuta anayefuatia naye kaoza. Tigo express yourself au twanga kote kote.
   
Loading...