Amebadili

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Rafiki yangu kalalamika hajaonana na mpenzi wake tangu mwaka huu uanze wanazungumza kwa sim tu. kila akitaka waonane anasema yuko busy na last year ilikuwa ngumu kupitisha siku bila kukutana

Je amebadili ratiba au amebadili tabia 2011?
 
huyo kabadili tabia mwaka 2011...... ni kazi mdundo tuuu..watu wamesema wanataka maendeleo jamani,,, sasa msilalamike sana.
 
New year resolution yake:Napunguza muda wa kuonana na mpenzi naongeza kwenye mambo yangu.Yani siku tano tu tayari analalamika?Labda mwenzake yupo kwenye harakaki za kuuanza mwaka vizuri.. majukumu au kazi zimeongezeka!Kama anaona kuna tatizo amuulize tu kulikoni!
 
Amemuuliza kulikoni anasema kazi tu. umeongezewa majukumu hapana nimejiongezea muda zaidi wa kukaa kwa ofic
 
Mh..inabd afanye uchunguzi zaidi! kwani hiyo mwaka mpya yenyewe ilimkuta wapi? isije kuwa ni huko ofisini..na mambo yake sasa ni kwa ofc tuuuuu..asije akachakachua
 
Aangalie isije kuwa ofisini kuna zaidi ya kazi baada ya kazi.
 
Sasa si anajijenga zaidi kikazi!Hapo tatizo liko wapi?

Without Love -- dayz are
"Sadday,
moanday,
tearsday,
wasteday,
thirstday,
frightday,
shatterday... so we have to be in Luv everyday...
 
Hili nalo neno maana haishi kumsifia boss wake
Nakumbuka mada moja iliwahi kuja humu JF ya mke wa mtu kwenda ofisini kwa mumewe akiwa na matatizo badala ya nyumbani,sasa naanza

kupata mashaka na mada hii ya leo,uchunguzi muhimu ingawa uwe kiasi si sana maana kuku ukimchunguza sana huwezi kumla>
 
Without Love -- dayz are
"Sadday,
moanday,
tearsday,
wasteday,
thirstday,
frightday,
shatterday... so we have to be in Luv everyday...

Being inlove doesn't necessarily means you have to be around each other every second of the day!Kuongea kwa simu tu kunatosha kuonyesha mapenzi kwa mwenzio...sio mnazongana mpaka mnashindwa kupumua!Muhimu ni mawasiliano!
 
Habari ya leo mama mchungaji?
 
Back
Top Bottom