Malavidavi ya enzi zetu

Mama Big

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
488
7
61969_442761964109_696474109_4986692_7706433_n.jpg
 
Enzi zetu, hii niliipenda sana, sio sasa hivi uzushi na usanii mtupu, na hizi simu hizi zingejua kusema?
balaa tupu!

Hujambo wewe mama kubwa?
 
Enzi zetu, hii niliipenda sana,
sio sasa hivi uzushi na usanii mtupu,
na hizi simu hizi zingejua kusema?
balaa tupu!

HUjambo wewe mama Kubwa?

Sijambo bacha nakumbuka hiyo barua nilitumiwa enzi zileeeeee
 
siku hizi naona mambo ni kukopi and paste kutoka kwa michuzi tu....
 
Back
Top Bottom