Mimba yatoweka kimazingara-Nimpe ushauri gani dada huyu?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kuna classmet wangu wa zamani anahitaji ushauri wangu;

yeye aliwahi kuolewa miaka minne iliyopita lakini aliachika kwa kushindwa kupata mtoto.miezi mitatu iliyopita aliolewa tena huku akiwa na dalili zote za mimba (kukosa hedhi,kutapika asubuhi,kiungulia,miguu kuvimba,kunenepa,kutokwa maziwa na tumbo kuongezeka ukubwa).jana alikuwa akifanya shopping ya nguo za mtoto,baada ya pitapita zake aliamua kufanya ultra sound kwani alihisi mtoto amepunguza kucheza.

Kilichoshangaza ni majibu ya ultra sound hayakuonyesha kuwepo kiumbe chochote kwenye tumbo lake.alijaribu kurudia ultra sound katika sehemu 3 tofauti but the answer was the same.

Aliangua kilio sana na sasa anahitaji ushauri ni nini amemwambie mume wake?

Wanajf nimshauri nini huyu dada?
 
Kwanza awali alipima na aka prove kuwa anamimba na kama kweli, kuna yafuatayo yaweza kuwa yalitokea
Mimba yawezekana ilikuwa nje ya mji wa mimba then baada ya kuwa imeongezeka kukua ika rupture na kile kitoto kikafa baada ya kuwa kimefuka mwili kama mwili una mechanism ya ku absorb unwanted materials then zikawa absorbed lakini hii ni kwa mimba changa saana na siyo ambayo imeshaanza ku move.

kama hakuwai kutokwa na damu yoyote kwa muda huo then mi sina ushauri zaidi ya pole.

kama alipima na ikwa proved then anaweza kumuonyesha mumewe vipimo na kumuelewesha khali halisi.
 
Mmh, au alikuwa na uvimbe ukawa unakua ka mimba!! jamani namuhurumia sana huyu dada. Je aliwahi kupima kujua kama ni mimba? Na aliwah kuhudhuria clinic! 2juze
 
Mmh, au alikuwa na uvimbe ukawa unakua ka mimba!! jamani namuhurumia sana huyu dada. Je aliwahi kupima kujua kama ni mimba? Na aliwah kuhudhuria clinic! 2juze

kliniki ameenda mara moja,lakini hakupima mimba kwa kipimo cha mkojo(pregnancy test).ultra sound haionyeshi uvimbe wowote.
 
Mmh, au alikuwa na uvimbe ukawa unakua ka mimba!! jamani namuhurumia sana huyu dada. Je aliwahi kupima kujua kama ni mimba? Na aliwah kuhudhuria clinic! 2juze

kliniki ameenda mara moja,lakini hakupima mimba kwa kipimo cha mkojo(pregnancy test).ila kadi ya kliniki anayo.
 
Inawezekana ni false pregnancy hiyo. Wanawake wanakuwa na dalili zote za mimba na pia tumbo hukua kama wana mimba ila si kweli. Mpe pole sana mwambie amweleze mmewe ukweli tu hamna jinsi.
 
Mkuu tusianze kuambiana pana mkono wa mtu anataka ushauri pia not scientifically proved?????????

aende sumbawanga kw wataalamu au km ni mbali atafute ustaarabu w kwenda bagamoyo....huo ndio ushaur wangu
 
hapo pana mkono w m2.wallah tena nakwambia!!

false pregnancy is caused due to changes in the endocrine system of the body leadind to the secretion of hormones which translate into physical changes similar to those during pregnancy. The underlying cause is often mental. Desire to become pregnant can create internal conflicts and changes in the endocrine system.

It happens,so hamna mkono wa mtu ni kumpa moyo tu na pia aende kwa gynaecologist.
 
kliniki ameenda mara moja,lakini hakupima mimba kwa kipimo cha mkojo(pregnancy test).ultra sound haionyeshi uvimbe wowote.
shoping ya nguo za mtoto hajapima mimba kama ipo au la! kwani yuko kijijini sana au?
 
Hakuwa na mimba huyo bwana,hali hiyo huwa inatokea kwa wanawake ambao wanakuwa wanatamani sana kupata mtotot na hawajapata mtoto muda mrefu
 
Hakuwa na mimba huyo bwana,hali hiyo huwa inatokea kwa wanawake ambao wanakuwa wanatamani sana kupata mtotot na hawajapata mtoto muda mrefu

inawezekana hakunayo!sasa issue ni kwamba ataanza vipi kumuambia mumewe?alafu ananiambia mumewe alishaanza kujisifia kazini.
 
false pregnancy is caused due to changes in the endocrine system of the body leadind to the secretion of hormones which translate into physical changes similar to those during pregnancy. The underlying cause is often mental. Desire to become pregnant can create internal conflicts and changes in the endocrine system.

It happens,so hamna mkono wa mtu ni kumpa moyo tu na pia aende kwa gynaecologist.

kuna daktari amemuambia hayo ni matatizo ya hormones na yanausiana na psychological problems.
 
false pregnancy is caused due to changes in the endocrine system of the body leadind to the secretion of hormones which translate into physical changes similar to those during pregnancy. The underlying cause is often mental. Desire to become pregnant can create internal conflicts and changes in the endocrine system.

It happens,so hamna mkono wa mtu ni kumpa moyo tu na pia aende kwa gynaecologist.

mi,myself nd i ht cjakuelewa ume2mia sana foreign kile kilichokua kinacheza 2mboni kimepotelea wap? ..... kw kiswaz plz
 
Kuna tofauti ya kuwa na dalili za mimba na kuwa na mimba,alipaswa kwenda kupima mwanzo na si kazi kuna kipimo unanunua tu pharmacy unaangalia,sasa kama yeye aliona haraka ya kwenda shopping bila kupima then ana tatizo pia.Kwenye mwili wa mwanamke kunatokea na mabadiliko mara nyingi kwasababu kama za hormones na pengine kuna kitu kina-develop kwenye tumbo lake la uzazi.... aendelee na uchunguzi.
Kuhusu mume,amuombe Mungu amsaidie mumewe kupokea huu ujumbe,then kwa hekima na unyenyekevu amuambie.....natumai atamuelewa.
Akumbuke next time,dalili za mimba si mimba.Pole sana.
 
mi,myself nd i ht cjakuelewa ume2mia sana foreign kile kilichokua kinacheza 2mboni kimepotelea wap? ..... Kw kiswaz plz

chweche,sor kwa kutokunielewa. Hii hali huwa inatokea kwa wanawake wanaotaka au wenye hamu sana ya kupata mimba. Hali hiyo inasababisha mfumo wa homoni kubadilika hivyo kufanya zile homoni za ujauzito kuwa produced. Mama anapata dalili zote za mimba kama maziwa kujaa,tumbo kuendelea kukua,kutopata menstrual period,quickening of the fetus(mtoto kucheza),na pia hata kuona dalili za uchungu.

Anatakiwa afanyiwe kanseling ili apone na nadhani pia kuna dawa zinazoweza kumsaidia.

Hope umenipata japo kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom