Sikatai Mama Mkwe Kunipenda Lakini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikatai Mama Mkwe Kunipenda Lakini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Jan 4, 2011.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Katika kufikiria mwanamke Halisi wa Kiafrica dhahili hujua nini mmewe amfanyie au nini nyumba yake inataka, sasa hapa, mie mwenzenu mama mkwe ndo amekuwa na wasiwasi wa ndoa yangu kati yangu na mke wangu zaidi ya mke wangu, sina maana mama mkwe anataka nimchakachue hapana, Baba mkwe yupo na wanapendanan sana, Nilishagawahi kutaka kumuuliza/ au kuwauliza Mbona mwanenu hajui umuhimu wa Mimi? nikaona ni swali la wanaume suruali hili, Nimejaribu kumwezesha ajue nafasi yake kwangu na yangu kwake lakini bado tu, Tunapeana tunda kama kawa lakini hilo si definition la mapenzi tosha, ni nyama katika skeleton, Huyu bibie hajui kabisa maana ya mume hivyo kupelekea Mama Mkwe wangu kuwa na wasiwasi na ndoa yetu kuliko bibie, au ndo UKUBWA DAWA?
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  pole sana. mpeleke kwa makungwi wamfundishe...akinabi chau wapo sana na wanasubiri kazi kama hizo.
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  heheeeeee inabidi eeeeeeeeeeeeeeeee
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bado mtoto wa mama huyo!!!Mwambie akue!!!
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Jaribu kukaa nae na kumuelekeza nini maana ya maisha.Inaonekana bado hajitambui huyo mkeo sasa fanya kazi ya ziada kumshauri na hata kumtafutia watu wamshauri.
  Akijua hayo na kujitambua atajua kwanini aliolewa na wewe na atajua umuhimu wako .Pole sana
   
 6. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  Hata mimi wa mama pia, kwani mtoto wa baba yukoje?
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Naogopa kumtafutia mtu maana atachakachuliwa si unajua mjini shule?
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kvp?
  mwambie unatakaaweje..
  hajui majukumu yake km?kupika,usafi wa nyumba,heshima hana?abehave kimama anabehave km yupo geto?
  kaa nae chn mwelekeze na km ukiona pbm ni usafi w anyumba si mbaya ukimfunda kwa vtendo kwa mwez iv then umsome respond yake
  amka mwandikie leo;
  deki nyumba yote,futa vumbi madirishani na kwenye vt-j3
  leo badirisha mashuka kitandani na udek uvunguni-j4
  leotoa vyombo kabatini na uvipitishe maji vna vumbi sana-j5
  leo fagia kule nyuma pia ambako ufagiagi-alh
  leo panga nguo vzuri kabatini-ijuma
  leo fua nguo zote-j1
  ukimkumbusha ivo au ukamwekea nyuma ya mlango ajue special duty kwa siku husika ukiachana na kaz zngne za kawaida bas atakuelewa
  THEN KAA NAE MWELIMISHE JINS UNAVYOTAKA POLITICS YENU IWE KWA KUMKOSOA NA KUMWELEKEZA KWA MIFANO ALIPOKOSEA

  im sure hajui jins ya kubehave..MSAIDIE2.
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Rose hiyo ya kumuandalia Time table nayo itakuwa noma!
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh sa utafanyaje jaman km yeye HAONI wala hatambui?
  inabd tu kumshutua na kumfanya km mpo boardng skul
  watu wengne HAWATAKI KUTUMIA COMON SENSE ZAO ...so msaada km u ni mwema kwao
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi kale kakikao kenu ka wakati ule Kabeijing mnakasahau au inakuwaje?....Ujue mie wakati tupo gf na bf nilikuwa nafanya almost kila kitu, sasa naona bado anajiona anadeka kwangu na pia mie nililelewa sijui vibaya na mamaaa maana kila kazi napenda kufanya home, nafua, nadeki, nanyooosha nguo yaani sioni hatari....je nilimwendekeza au?? Nikiacha ghafla si inakuwa unyanyasaji tena?
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh apana mwenzangu thats too much
  unamsaidia kila kitu?umeona sasa madhara yake\?wengne ukiwapa msaada bas wanafanya ni jukumu lako kufanya iyo kitu...ahh ungemchek ubongo wake kwanza ni muelewa ?au ndo ukitandka kitanda leo basi ata kesho usipotandka bas atakupigia cm kazin ehh sweetie mbona umesahau kutandka kitanda?
  ongea nae vyema mwambie yampasa kutenda majukumu yake n wewe uta top up tu km kumpa tafu bt asikufanye km haus boy wake

  zungumza nae....we nawe ulizd kumdekeza ahh pole lakin
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi kwenye kikao cha beijing nikuwa nje sikuingia ndani
  naamini biblia bado
  i wl pafom ma duty as woman/wife nayeye pia akinipa tafu ya kuniheshimu na kunitunza km mke wake ILA AKINGEHUKA MAJUKUMU YAKE NDO TUTAANZIA APO...bt km akizngatia ukichwa wa nyumba basi sna bud kuwa mpole na kubehave km SHNGO YA NYUMBA ..kinyume na hapo ..VITA NI VITA MURAAAAAAAAAAAAAH!!!!!!!!
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  mama yangu ndo alinilea vibaya mi naona, maana asingenizoesha kufanya yote hayo kungekuwa vingine, nakumbuka siku moja nilipoanza kumdate bibie alinambia eti mie gentle kila mwanamke atataka kuwa na mimi...
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Unaogopa kutafuniwa endelea kuolewa sasa wewe kwenye hiyo familia
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sure.u mwema kila demu anapenda kuwa na man km wewe
  mama hakukufundsha vbaya ni vyema....m gal alone in da family nina kaka tu na mama yangu aliwapangia zamu za kupika na kufanya usafi kaka zangu as if hakuna haus gal n now wana enjoy na wake zao ILA HAWAFANY KAZI KM WEW wanawasaidia wake zao inapobd km pat ya mahaba cz wan wafanyakaz wa ndan

  pangua iyo formula..mwambie YAMPASAYO KUTENDA KM WIFE
   
 17. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  Nani kakwambia nimeolewa wewe? Sikai kwao na kwangu na wao wana kwao sijui umeitoa wapi hiyo ya kuolewa...nunua miwani kaka au kulaga yale mamboga yetu mzee..
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Asante Rose kesho naingia kambini nageuza kibao....lakini ghafla si atashtuka eti eeeeeeeee.....naanza pole pole kama nabikiri eti eeeeeeeee
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hah haha
  do it
   
 20. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Am on it swit...halafu ni member wa JF ngoja aje aone ushauri wako mimi simo....ukiona ka pm ujue kakurukia hewani....
   
Loading...