Nimepata jamani!!!!!

Wakuchakachua

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
346
9
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.
 
Sasa mbona umevunja makubaliano yetu? Si tulikubaliana usiirushe hii thread?
 
Wakuchakuchua unamaanisha unachokisema?yaani mara hii na umeshafanya decision?

i mean it dear,
Sidhan kama decision will take more than a day!
anaoneka kuwa responsible Men na kama nilivyosema all factors will reman constant na sitoangalia sura!
bali uhalisia wa maisha.........
 
Sasa mbona umevunja makubaliano yetu? Si tulikubaliana usiirushe hii thread?

Jamani i have to say............. it, mbona mshindi sio wewe jamani
maana tulisema tutawaeleza jF member wote
and we agreed upn each other....
 
Mbona unakiuka makubaliano yetu? Hebu omba Mods waifunge hii thread bwana. Ngoja nikupigie naona hatuelewani hapa.
 
Jamani i have to say............. it, mbona mshindi sio wewe jamani
maana tulisema tutawaeleza jF member wote
and we agreed upn each other....

Asante sana kwa kurusha feedback,naona hii itamsaidia sana bibie mmoja hapa kuamiini kuwa hata hapa JF unaweza kupata mwenza aliye serious.
 
hahaha, ndoa za siku hizi kiboko! mnaongea dakika mbili, then accepted! hata muda wa kumuomba Mungu nadhani hukupata. but all the best mai dia
 
Kwani amekwambia aliomba Mungu. Kama huyo Mungu wake amemwambia aje hapa JF atampata mchumba basi hwari. Lakini hii ni biashara.
 
Ama kweli hawakumuamini mpaka alipowaonyesha mikono yake kuwa ni yeye amafufuka kwe.......................
Jamani ths is nt a business, ok tel me now wewe kama hujaoa au hujaolewa utajua ni wapi waweza kutana na mwenza wako???
belive me nimempenda kijana he sent to me his picture i send to him my picture simple like that we agreed echa other,
wapo waliosoma miaka sita na wakaishia kuachana tu .......god is good bana
 
wajemeni mie nimempata ila kaniponyoka,mkimuona mwambieni namtafuta!:A S-confused1::disapointed::embarrassed1::becky::glasses-nerdy::embarrassed::rant::rant::rant:
 
hahaha, ndoa za siku hizi kiboko! mnaongea dakika mbili, then accepted! hata muda wa kumuomba Mungu nadhani hukupata. but all the best mai dia

Judith hebu kaangalie kule nimekugongea nini kwenye hii yuziful posti yako.
 
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.

Ulikuwa unatafuta mwanaume au mwanamke?
 
wajemeni mie nimempata ila kaniponyoka,mkimuona mwambieni namtafuta!:A S-confused1::disapointed::embarrassed1::becky::glasses-nerdy::embarrassed::rant::rant::rant:

mmmm, mbavu sina!!!, ila nenda polisi. amgalia wasije fikiri unaandamana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom