Msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mbweta, Apr 3, 2011.

 1. m

  mbweta JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nina rafiki zang walizaliwa mapacha wana asili ya kihindi. Inasemekana mama yao alikuwa na huusiano na mhindi m1 ambaye ni tajiri tu. Lakin kutokana na wahindi hawaruhusiwi kuzaa nnje ivo kuogopa kutengwa na wahindi wenzie akaingia mkataba na yule mama akampatia pesa kias hakikujulikana ila wasijuane tena. Yule mama aliwaonesha watoto wake zile pesa walikuwa wanaish chumba kimoja. Siku si nying wakafwatwa shule wakiwa darasa3 waakimbiwa mama kafariki ile kuwah nyumban wakakuta chumba cheupe na pale pesa zilipokuwa ndo wanadeki. Tang hapo walichulia na rafiki wa mama yao na shida kuweka kambi rasmi kwao. Wao walioneshwa baba yao siku akiwa kamsindikiza rafiki yake akiwa hana hata mia alimwona baba na Rambo la ela. Kifupi mzee hawajuh alijitolea ada tu ya secondary st Goverment(sh F80). Je waweza kumshtaki au ndo ule mkataba unawabana?
   
 2. A

  Annony Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uandishi kazi kweli kweli!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  washitaki ili iweje?
  waendelee na maisha yao tu...

  if god gives u a lemon.u make a lemonade....
   
 4. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Man next time ukiandika jaribu kupitia ulicho andika, umeandika kama vile unaongea!
  Sasa utashitaki vipi mtu usiemjua? Kama unajua anapoishi inamake sense.
   
 5. m

  mbweta JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wao wanamjua na baba yao alikuwa anaoneshwa picha kila wakifikia umri fulan.
   
 6. m

  mbweta JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni fani pale UDSM
   
 7. m

  mbweta JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nilitaka kujua kama wana legal right yoyote. Wamekubali matokeo ila inawaumiza sana
   
 8. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Step ya kwanza, nendeni kwa serikali ya mtaa, halafu afuatwe huyo baba yao, apewe darasa. lazima atasomesha watoto wake. Unajua kuna vitu vingine viko so obvious huwe kuzaa na mwanamke watoto wawili (unlike mapacha) halafu useme ilikuwa bahati mbaya. Kwani baada ya hiyo action (kumlala na huyo mwanamke) hakujua reaction yake? chemistry inayofuata ni obvious and self explanatory. sasa lazima huyo baba wa kihindi awajibike, he can't run away from it.
  Ila pia kuona picha ya baba yao it is not enough, je wanajua anapoishi au kazini kwake?
   
 9. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana haki ya kumshtaki kisheria na akaazibiwa
   
 10. m

  mbweta JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wenyewe baba yao wanamjua physical ila baba yao kwa sababu anaogopa ndo anaombwa aletewe picha tu za hao watoto wake hakisha ziona wanarudi nazo habaki na picha. Pia waliambiwa anamiliki hotel flan ivi na baadh ya maduka.
   
 11. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Man sikiliza, wakati huyo baba yao anajistarehesha na mama yao no one was there. Huyo nirahisi sana kumwekea mtego. Mwombeni e-mail address yake then fanya nae mawasiliano kuhusu hao watoto wake. Sasa lazima atajiloga mwenyewe kutoa cheki (pesa za matumizi) akisha toa cheki,hapo ruka juu shangilia. Hiyo ni ushahidi tosha mahakani. itoe photocopy sasa mgeukeni. anatakiwa kutoa au kujenga nyumba ya watoto wake lasivyo mpelekeni mahakamani. Therefore hizo e-mails na cheki niushahidi tosha mahakamani hata hutoitaji advocate hapo.
   
Loading...