Ladies be honest! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ladies be honest!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mbweta, Apr 2, 2011.

 1. m

  mbweta JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kila nikiona post ya m2 anatafuta mchumba nakimbilia jinsia nakuta ni wanaume kwa wasichana nadra sana. Je wakina dada ikitokea umempenda m2 kwel waweza mwambia direct?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mbweta nimekupenda jaman....unasemaje sasa?
  1.m bad n gud gal smtimes i promis u to take care of u n our kids as well
  2.i promise u to b wise wife n good mother two
  3.we wl rise our family in godlish way


  PLS NAOMBA UNIKUBALIE OMBI LANGU....jana nilipata maono na nikaonyeshwa wewe ndye u mume wangu so pls dnt say noooo pls n pl abeg.....
  shera ntanunua mwenyewe usihofu.......!
   
 3. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  sio rahis kwa mdada kumwambia mkaka kuwa anampenda labda mishipa ya aibu iwe ilishaathirika. kingine aliepewa mamlaka ya kuomba uchumba na mungu ninadhani ni mwanaume
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh maty unataka kusemaje sasa?
  una nia ya kuntusi ?
  uoni apo juu mwenzio nimemwomba uchumba sasa wee tena unataka kuharibu...ndo nakula kula kucha apa namsubiri anijibu....
   
 5. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hahaha rose bana, haya mbweta kifaa hicho
   
 6. m

  mbweta JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  aaah we umezidisha unamwambia simple tu jaman sio uanze kumfukuzia kitaa na mineno ming ivo
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mbona km unajitoa?

  thats msg is yrs pls m watng 4jibu
  pls naomba nikubalie mbweta...
   
 8. m

  mbweta JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ubaya wa kusubiri m2 aje hakufwate smty anaweza kuja ambaye humtaki au unamkubali tu kwasababu chaguo lako haliji.
   
 9. m

  mbweta JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Rose if u where boy usinge pata m2 anasema am bad and gud so me ntake average
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ye asi kataka tuwe honest bas ndo ivo km ajawai kutongozwa mi nimemtokea front namsikilia anasemaje...hah hahha hahaa!
  lakin naona anajifanya msg ni ya mtu mwngne na nimemwambia thats yrs nasubiri jibu sa sjui kaenda kuuliza kwanza marafik zake ..washkaji kuna demu kantokea nakwambia uso mkavu km mbuzi ....haha haha mi sjali nataka jibu tu na ole wake aniktae nakwambia naenda kumsemea kwa babu tutamtengeneza mshipa..:love::love::love:!

  maty ukisoma futa mwwaya mwenyewe asiione..:yield:
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo hatujapenda, tukipenda tutasema.
  hawa wachumba wa mitandaoni hawa......mmmh!
   
 12. m

  mbweta JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  aah nimeanza ogopa ni sawa ukamtongoza mwanamke hapo hapo akakubali lazima ushangae utajua anakukejeli
   
 13. m

  mbweta JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Maty hajafuta nimeiona. Bora weye umenitokea live mana wengine ni kelo njia wanazotumia, hata kama ulikuwa unampenda atakuchefua. Ukiwa uswaz utatingishiwa mpaka ukome ila wat 4? Angesema ingekuwa poa.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  unaogopa nini wew?
  kubali tufanye maisha ...A -Z nshakupa sasa unambwelmbwela nin bwna?
  we ulitaka wasichana wawe wanaaproach pia sasa ivi unageuza kibao et unaona km anakukejeli...

  minimekwambia tufanye mambo ya maisha sjakwambia tukafanye mchezo mbaya ...NKUBALI BASI JAMAN WEWE MWEEEEEEE ntajichinja mieee ohho ohooo!!!!
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehh umeiona enhh bas pole mdg wangu aliandika wasnt me..:love::love:

  mi ntakukonyeza tu mpk utakubali na siku tukikutana ntakutikia mgongo cz nyma nimepgwa pas sna ata cha kutikisa jaman na i shepu yangu ya konyagi juu mkubwa chn mdg...nikubali bas wewe!!!!!!
   
 16. m

  mbweta JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  aah aah shepu kama simba dume mie ctaki
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jaman shepu tutenda kwa mchna wala isikupe tabu sweetie..ntaitengeneza tu wal usikonde..
  nkubalie u jaman!!!!
   
 18. m

  mbweta JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Katengeneze kwanza jamani mana yaweza goma kuja ujue
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nipe mwongozo sasa unataka shepu ip

  namba 8 au6 vyovyote vle mi ntatengeneza...m ready 4anythng beb we sema tu mintatenda!!!!:love:
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Inategemea na mwanaume na kiasi gani nimemzoea,mi naweza mwambia kwani hata akinikataa ndo nitaacha kupumua??? kuliko kupoteza muda na resources ukimfanyia kila aina ya njia akuelewe na bado awe hakufeel bora umwambie akupe ukweli maisha yaendelee.....huh!
  Kumwambia anioe ndo tabu,ila kwamba nampenda hakuna neno kabisaaaa!
   
Loading...