Naomben ushauri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomben ushauri.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FredKavishe, Apr 2, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mimi ni msichana wa miaka 28!nimekua na mahusiano na mkaka mwaka sasa na hapa nilipo ninaujauzito wake wa miez 9.tatizo ni kwamba jamaa alikua anasumbua sana swala la kuwaambia wazaz wake kuja kwe2 kujitambulisha,nikatumia nguvu atimae wakaja na mahari wametoa!sasa cha ajabu mchumba wangu huyu aniudumii kwa chochote,alisema atanunua pete anivalishe kimya mpaka sasa ukimwambia hakosi sababu mara hana pesa,na hela najua anayo japo c nying,namwambia basi ata cku 1 toa ata hela ya clinic japo elf 10 nayo tatizo!ananichosha sana yan yy anataka 2 mm ndio niwe nampa hela.naomben ushaur nimuache 2baki kuwa 2mezaa tu ila nisifunge nae ndoa?mana wazaz walisema kwetu kwamba harusi ni november mwaka huu.nachanganyikiwa sielew nifanyaje?
   
 2. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mmmmh pagumu hapo. Inavyoonekana umependa sana na mwenzio amekugeuza ATM lakini mapenzi hakuna. Kitendo cha kumlazimisha kuja kwenu kijtambulisha ni kosa ulilofanya, na dalili zilionekana mapema pale alipokuwa hataki kuja kwenu. Ulitakiwa ushituke mapema na kujiuliza maswali mengi kwa nini hataki kujitambulisha kwenu. Ni kweli ndoa utafunga maana pengine ndiyo matarajio yako na ninavyohisi siyo matarajio ya huyo mwenzako. Kitakacho fuata hapo si ndoa bali ndoano. Kama unaweza usiharakishe kufunga ndoa na ikiwezekana waambie wazazi wako ukweli maana hayo ni maisha yako. Usisubiri baadaye upate shida ndiyo uanze kusema ooh hata uchumba alikuwa hivi. Ni ushauri tu na kila rakheli.
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  anaafanya kazi\/
  if yes then iweje umpe ela yeye?


  katika hali iyo ata sh kumi ya klinik atoi?ata ile ya kuzuga?
  vp mwasiliano anapga kukujulia hali au mpk wew umuanze daily?
  doo pole mshkaji bt wat i can c here is POTEZEA NDOA..UYO SI MUME BALI MZIGO apo mbelen utapata mzgo wa kumlea mtoto na babake cz anaonekana HANA SENSE OF RENSPONSIBILITIES...POLE SANA


  zaa mtoto lakin neva usimgande kuhusu pete ....mungu kakuonyesha mapema ..uyo si mume ashakuonyesha kabssaaa na mawazo ya kumganda mtu muoane coz mmezaa achana nazo....ATAKUJA MWINGNE....

  Dah i can fil the way u fill...kimimba juu miznguo kibao na kwa wazaz ushachafua ata jins ya ku un do inakuwa tyt bt tok to maza najua atajua juu ya kuwaweka sawa ndg wengne ili wasikuone kituko

  pole mpnz.


  wanaume makorokocho jaman aaghrrrrrrrrrrr yan mimba ujihudumie na ela umpe mweeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!

  ningemmwagia upupu uyo kwnye makalio yake:love::love::love:!!!!!!!!!!!1
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tuliza mawazo ujifungue kwanza sister!

  From experince:
  Nimezaa na mchaga,(sijui kama wewe ni mchaga lakini) ila hawa watu wanapenda hela ni balaa,...
  Hawa watu wanalazimisha ndoa ni balaaa...
  Hawa watu wanalazimisha mambo ni balaaa....

  Jamani msilazimishe ndoa,subiri kama ana mpango na wewe atakupa pete,sio kumkumbusha kila kitu jama!
  Kwanini unataka sana pete na ndoa?
  Au kuna tabia umeificha mda mrefu sasa umefikia mwisho wa kuificha na unataka ndoa haraka ili uioneshe?

  He,me ukinikomalia kuhusu ndoa ndo ujue sikuoi ng'o au kama nikikuoa hadi nijue kwanini unataka ndoa kwa nguvu hivo!
  Kama unahela kwanini una muomba hela sasa na umeona hana muelekeo wa kutoa hela au ndo kutafuta kumlaumu tu?
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sio kwamba Mungu kamuonesha jamaa kwamba huyo sio mtu wa kumuoa?
  Tusihukumu upande mmoja kisa jamaa hayumo humu JF nae kuleta malalamiko yake kuhusu huyo sister
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Well said,..naogopa sana watu wanao sisitiza au kung'ang'aniza ndoa haraka
   
 7. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Ndugu yangu huyu dada kama ana hela pia ni responsibility ya Mwanaume kutoa matumizi na kutunza mimba yake. Pia Mwanamke anajisikia raha sana unapomjali akiwa mjamzito. Kwa hiyo ni haki yake kabisa kumdai hela ya clinic, hata kama atatoa buku mbili kulingana na uwezo wake, anakuwa amechangia kuliko kupiga kimya mazima.
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  nayeye mwanaume anavyomuomba bnt ela je?
  kwaiyo wew unaona jamaa anaafanya sawa?
  kwenye kulazimisha pete sawa lakin izo mambo ibgne vp?mimba kamtia then kambwaga isnt fear?
  dah yan wewe xperience yako ndo unatumia kumuhukumu dada wa wawatu ..asume km angekuwa dadako kabwagwa ivo ungetapika yote aya?
  ebu kuwa na utu kdg

  km alikuwa amtak asingemdanganya mpk pamimba labda ntakuoa pia zilikuwa nyng na mwshowe ndo ivo no ndoa no husuma zid ya kupigwa vrungu....

  ahh sjui ukoje.
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ni vibaya kulazimisha mambo na hasa kwenye mahusiano jamani,mwanaume akifika wakati wake kama anaona wewe ndo sahihi atafanya analopaswa kufanya...mimi wengi ninao zungumza nao hawapendi pressure na kuwa controlled,sijui kwanini kama hata hela anakuomba ulifanya juu chini wazazi wake wakaja kwenu

  ....umeshamzoeza kumpa hela kashakuona mama yake mzazi ndo maana haoni hata kuwa ana wajibu wa kulea mtoto....wanaitwa sperm donors....wanajua kuziweka sperms wanaume wa aina hiyo kulea hawapo na wewe.....

  Kama umekuwa na uwezo wa kumlea yeye na kumpa hela kila anapohitaji,sasa achana nae mlee huyo malaika asiyekuwa na hatia kwa nguvu zako,akili na moyo wako....huyu kubwa zima hatokufa kwa kukosa hela zako.mwambie akubali kumlea mtoto na kushiriki jukumu la kumlea basi hata kama kukuvalisha pete na kukuoa hataki.....focus on your baby....kubali ulikosea,sasa acha kuumia na kujiuliza maswali mengi mlee mwanao......ikiwezekana quit that relationship with him abaki kuwa baba mtoto tu.
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye hela amesema mwenyewe kwamba jamaa hana hela,still ana muomba hela from nothing!
  Yawezekana yeye ndo alimzoesha kumpa hela toka zamani na sasa jamaa ndo hivo tena yuko addicted akiwa na shida ana kimbilia kwa dadaa!

  Kuhusu mimba labda ilikuwa ni bahati mbaya tu,zinatokea mara nyingi sana sio kila mimba zimepangwa
   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  pole kwa yote unayopitia,,sikulaumu lkn hapo ulipotumia nguvu ili aende kwenu ulikosea!binafsi sioni kama huyo mkaka ana mapenzi na ww ukiolewa nae utakuwa umebeba msalaba,bora uutue kungali mapema!!otherwise i pray for ur safe delivery hope u will be a good mommy
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ni huyo mchaga wako ulimkuta na njaa zake! Co wachaga wte! Tena mwangalie sn hyo kulazmsha ndoa???? Kuna k2 anataka so anatangulza ndoa km silaha yake! 2take radh wachaga bana!
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wewe dada kasema ela anayo lakin si nyng....na kwenye kuonyesha concern au kujua uyu ana akili za kiume na kujua majukukmu yake uwa atuangaliii katoa sh ngap iwe milion au elfu tano wat we luk is IS HE CONCERN?THATS OL.

  jamaa km angetaka japo kutoa buku tano ya daladala dada angerizika lakin si kupiga kimya as he did


  kuna masikin kabsa hana ata sh kumi lakin yale mapenz ya kumsindikza mkewe klinik,kumjulia hali ,kuongea ili na lile na mkewe na maneno mazur ktk kipnd iki mwanamke anafurahi sana

  ni concern tu t doesnt mata sh ngap

  kujitoa kwa hali au mali


  sasa uyu jamaa hana hali wala hatak kutoa mali tumweleweje?
  wewe unasoma i post ukiwa na yako kichwan ebu usiwe bias soma km ilivyo na utoe ukumu nzuri lakin hasira zako za manka kuizitumia kumjaj paulina wa wawatu wala haina tija kwa mungu wala kwa bnadamu.
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Okey,sorry for generalization ingawa huwa sipendi generalization nimejikuta nafanya hivyo leo,...
  Ila ukweli unabaki pale pale wanaotaka ndoa kwa usongo sio watu wa kuoa kabisaaaa
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmhy uyu ni wa kumuhurumia anaonekana ana meng kichwani
  tena meng sana ..i post ndo imemtumbua kipele so anatoa usaha wote
  :love::love:
  mwache atumie nyaraka moja kuhukumu kes zoooooooooooooote
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ok bro! Hapo ss 2ko pa1. Hata mm ckushaur kfnga ndoa ya kulazmishiwa cz lazma kutakuwa na ka k2 nyma yke! Uckubal mwaya ndgu yng!
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah bas pole
  kuna kitu kinakusumbua dzain leo?au hasira tu....pole basi take t easy
  pole bwana t seems imekukwaza sana cz unasafa machungu ya kulazimishwa ndoa....

  tumekusamehe
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Duh,nimegundua nimejibu kwa hasira kweli,...
  Ila point yangu ilikuwa kwamba "Kutoridhika na cash anayotoa,",...ila kama hatoi kabisa jamaa sio fair,...
  Now nime ielewa post yake,.. ila bado hainifanyi kuamini kuwa yuko tayari kuolewa kwa sasa ingawa jamaa inabidi awajibike kwa mtoto
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ameomba Mthamaha! 2mthamehe cz yawezekana alktana na mchaga alyeanza kuchmba mcng wa nyumba so akawa anajchukulia hela za mifuko ya sement na bati!
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haha,na imetokea leo,..yani nimuoe kisa nimezaa nae na sio kwamba nimuoe kwa sababu ana faa kuwa mke na nampenda?

  Ukijitolea kufanya A,analeta list ya matatizo hadi yasiyo nihusu kama vile anahisi nina undugu na Rostam
   
Loading...