Mchawi wa love. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchawi wa love.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Yahemovich, Apr 2, 2011.

 1. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Eeehhh
  Kweli umelogwa
  Na umejiloga msada
  wako uko kanisani,msikitini
  au kwenye tempo..

  Maana
  Kwa maelezo
  yako huta kaa u oe..
  Ni kutanga na njia tu..

  Kama hiyo
  Ndio mentality
  Uliyojiwekea kichwani
  then i real fell so sorry for u..
   
 3. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikujiwekea ila nimegundua hali hiyo inanisumbu afrodenz ungejua siifurahii.!
   
 4. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  pole kaka,,,njoo kanisani upate maombi
   
 5. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  utakufa na ukimwi ww??

  unadhani ni sifa??
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Wewe ni malaya tena una tamaa mbaya sana nenda kanisani/msikitini ukaombewe
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  In that case you are missing a lot dude; kama ukishamfunua tu unamuona kero, then hukuwa na mapenzi naye in the first place; what you should note is that mapenzi ni zaidi ya "kufunua" as you term it :disapointed:
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umejiroga mwnyewe! Na inakubd ujiague mwenyewe ndg! Utakuwa unasumbuliwa na pepo wa ngono ww! Wahi kwnye maombi upec kbla hujakutana na virus vya HIV! Pole sn kw kujroga.
   
 9. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umalaya nitaufanya saa ngapi wakati mapenzi yenyewe ya msimu.
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Mapenzi??? Acha umalaya na umeshajigundua na hutaki kuchukua hatua??? Kila mara mwanamke mpya huogopi???
   
 11. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #11
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niandalie sala ya maombi hapahapa Jamvini kabla karamu haijaliwa na uhakikishe udi,ubani na mishumaa vipo vyakutosha mchungaji mkuu usisahau kumwalika Lizzy maana akikemea yeye huyo pepo ulomwona hatabisha, nisindikizwe na Michelle ila baada ya hapo nifungishe ndoa na Dena Ams au Afrodenz akinizingua kimada wangu awe susy labda mshauri wakumsaidia Michele awe Husnayo ila nitapenda wale mapaka wawili Mweusí na Jimmy wawe washenga na best men.
   
 12. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #12
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa wa mwisho kwangu labda nitakupenda kila sekunde, dakika, siku, wiki, mwezi, miezi, mwaka, miaka, na milele. Maana umelijua tatizo japo sijaamin kuwa ndilo.
   
 13. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Babu yupo KKKT!
   
 14. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #14
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufunua i ment after f**cking her.
   
 15. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #15
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikaribia nitakupm maana inanikera sana maana nimewaacha warembo wengi na walikuwa bado wananipa nafasi kubwa mioyoni mwao.
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hiyo ni roho ya giza ya umalaya.
  tumepewa mamlaka yakukemea hata mapepo wachafu hivyo hata kabla hujaenda kanisani kemea kwa imani hiyo roho maana usipokemea mwisho wake ni mauti.
   
 17. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani hapo ndio basi kabisa. Mnavyonitisha badala yakunipa solution sipati picha.
   
 18. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #18
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna solution niliyoipata.
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Umalaya!! wakat ye anasema akishamfunua 2 anakua hana hamu nae tena "Anamfunua 2 wala hali 2ndi"
   
 20. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kw ajinsi nilivyosoma majibu yako wewe unatafuta kupandisha watu hasira tu wikiendi hii
  huna hoja ya ukweli..
  mie thimooooo
   
Loading...