Soma hapa unipe Ushauri;Mpenzi ana Majini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma hapa unipe Ushauri;Mpenzi ana Majini!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pasco_jr_ngumi, Mar 31, 2011.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Habari wana MMU,.
  Mwaka mmoja nilikutana na mdada mzuri sana, tukapendana. Uchumba ukatimia, tukavishana pete yetu! Tatizo mdada akawa anakavmba kchwa, nkmpigia cm anagoma...Anafoka!

  Nikawa sielewi, baada ya miez mitano,akanipa mkasa wa maisha yake. Akasema tangu akiwa secondary, ana mpenz jini. Akilala, anafanya nae mapenz, asbuh anajikuta kajpga mabao. Tena kacema ameshazaa na mtoto!

  Mwez wa saba, akaomba hela aende kwa waganga wa kienyeji, nikampa! Bas nikavumilia vjmambo vng na vurugu kbao, IKAFKA HATUA ANAGOMA KUTOA NYAPU, kisa majini! Mimi nikakaa chni na kuwaza,majini gan hayo?

  Mwishowe nikachemsha, nkajtenga, nikamwambia ukweli... Lapa nimechapa! Ni mwaka mmoja tangu niteme!

  Swali; kweli majini yapo?? Kuna m2 ana detail ya haya mambo?!
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Majini kweli yapo na huwasumbua wengi ambao wamewapa, sasa ushauri ni lazima nikuulize wewe kuwa ulitaka kuona au chapa ilale?
  Kama ni kuoa huna haja ya kuhangaika mpeleke aombewe majini yote yatatoweka na utapata mke mwema ila sijui huyo mtoto kama kazaa na huyo jini?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  sasa huyo mtoto walizaaje?....na ni binadamu au ni kitu gani?.....kweli duniani kuna viroja
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Yapo na ninasikia huwa hayapendi mtu aoe/aolewe.
  Wewe sijui ilikuwaje.
  Halafu jiangalie vizuri isije ikawa amekupunguzia.
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  isje ikawa alikuwa anakusudia jini ni wewe? linapokuja suala la matumizi ya grammar kwenye mipasho hawa jinsia ya upinzani wanakuwa vere fluent.
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Ampunguzie imekua vocha?!!
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ukishangaa ya babu loliondo utayaona ya bibi Tabora:disapointed:
   
 8. rom

  rom Senior Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ha ha ha ha ha au dogo janja wa moshi......
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  usibishe mkuu,
  ukibisha we mjeuri.
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  majini yapo na mie ninao marafiki wengi majini
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!!
   
 12. Mkereketwa

  Mkereketwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana hata hapa JF yapo!!!!!
   
 13. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ona Avatar ya Mkereketwa sijui naye ni jini au duh!! inanitisha si mchezo!!

  ila kama kuna wafuasi wa shekhe yahya humu watakupa majibu!!!
   
 14. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hahahhahaahahhahahah huuuuu mbavu zangu
  tutake radhi klorokwini
   
 15. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  duuh hata mie imenitiiisha mwili wote umesisimuka uuwiiii jini jinii
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Join Date : 17th February 2011
  Location : Mars
  Posts : 251
  Thanks 151 Thanked 83 Times in 56 Posts

  Rep Power : 21

  sweetdada uko fasta ile mbaya kupost juzi tu umejoin leo ushakuwa senior expert... ok majini siyaamini kwani hamna YESU NDANI YENU?Kama yapo huyu bwana ampeleke kwa pastor aombewe au kwa padri apakwe mafuta matakatifu,,aache hizo imani za kuogopa yawezekana huyu DADA HAMTAKI KAONA AMKATAE KWA GIA ya kusingizia jini.
   
 17. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  huyo alikuwa hataki kukugaia tu
   
 18. B

  Buke Senior Member

  #18
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nakuunga mkono mkuu,
  Aliukubali vipi uchumba na pete juu! Alitegemea siku wakifunga ndoa walale "mzungu wa nne!"??
   
 19. H

  Hute JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,912
  Trophy Points: 280
  mzee yapo, na yana wivu ajabu, yanaweza kukuua na wewe kama unayalia nyapu yao...kama yakiamua yanakuacha lakini yanasubiria kuharibu mimba au kuua mtoto wako akizaliwa...nakupa pole..nakushauri umwambie uyo mdada aende kwa walokole akaombewe, usimwambie aende kwa waganga wa kienyeji kwasababu anapoenda huko anazidi kuongeza mengine, itafika kipindi yataanza kumla na tigo sasa.....sijui dini yake lakini asiende kwa waganga w akeienyeji tena..mwambie aende kwa walokole...
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hayo mambo yapo-ila ukimpeka kwa kanisa akaombewa itakuwa ndo mwisho wa hayo madude-waganga wa kienyeji hawawez kuyatoa-wao wanayatuliza tu kwa muda
   
Loading...