uchumba kama dozi ya kikombe

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
igweeeeeeeeeeeeee!! jf. kwa muda sasa watu wamekuwa wakiwatafuta wenza kupitia forum hii, sasa nashangaa kwa nini hawaleti mrejesho nyuma(feedback)??. Yaani kama kwa babu watu wanagonga kikombe alafu hawatoi feedback. Mi ningefurahi kama wangetokea tukahudhuria na harusi zao pia. Inapendeza saana unajua. ila tatizo mtu anaandika anataka mwenza hatujui alipata au alikosa au alikutana na vibweka. Kwa nini hamsemi jamaniiiiii ili mtushawishi na wengine?????
 
Kuna msemo huu "Everything is fine if nothing is wrong" kwa hao ambao wametumia forum hii puta wenzi wao, hitilafu zikijitokeza watajitaja wenyewe. kwa sasa tuwape muda.
 
Mapenzi ni ya wawili bwana, we watatu ukaribishwa utaleta kero takecare of your ring.
 
igweeeeeeeeeeeeee!! jf. kwa muda sasa watu wamekuwa wakiwatafuta wenza kupitia forum hii, sasa nashangaa kwa nini hawaleti mrejesho nyuma(feedback)??. Yaani kama kwa babu watu wanagonga kikombe alafu hawatoi feedback. Mi ningefurahi kama wangetokea tukahudhuria na harusi zao pia. Inapendeza saana unajua. ila tatizo mtu anaandika anataka mwenza hatujui alipata au alikosa au alikutana na vibweka. Kwa nini hamsemi jamaniiiiii ili mtushawishi na wengine?????

tatizo huku watu hawachukulii serious sana. Hku sanaa tu
 
mhhh nawewe unataka kusema unataka kutafuta?
bas usipate tabu nipo apa tayar ukituma post jua rose ashakua wako
 
Labda hawataki kufanya hivyo kwa sababu moja au nyingine, labda huko siku za usoni kuna ambao hawataona noma kuja kujitangaza hapa kwamba wamekutana JF na kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na hatimaye kuoana.

Hili la Wapenzi kukutana mtandano na hadi kufikia kuoana si ajabu kabisa limeshatokea katika nchi sana na pia kwa maoni yangu muda si mrefu ujao litakuwa ni jambo la kawaida sana katika nchi yetu.
 
hahah hahh imebd nimsaidie kujitokeza...m hereeeeeeeeeeeeee....mwambie aje namsubiri apa!!!
ha ha ha kama utani vile napata mwenza bila kigezo wala masharti yoyoote. Igweeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!. Rose mpenzi kam vp twenzetu chumbani(pm) hapa sebuleni sequrity camera zipo ON.
 
Embu tuwataje majina woote walioanza kwa kutafuta wachumba halafu wakawa kimya kuleta feedback au tuzifukue thread zao watupe majibu kama ni aje?
 
Mimi natoa amrejesho: Nilifanikiwa kumpata mtu na maandalizi ya harusi tayari yameshaanza!!!Tukijaaliwa mwezi wa kumi tutakua wamoja!
 
Mimi natoa amrejesho: Nilifanikiwa kumpata mtu na maandalizi ya harusi tayari yameshaanza!!!Tukijaaliwa mwezi wa kumi tutakua wamoja!
hongera kwa kumpata wako mwenza! ila kadi za mchango ni muhimu,mi niko interested na kukuchangia il ndoa yenu ifanikiwe.
 
wengine walijua hili ni jukwaa la udaku na kutafuta wachumba, mtu anaingia siku hiyi hiyo post ya kwanza anatafuta mchumba!
 
wengine walijua hili ni jukwaa la udaku na kutafuta wachumba, mtu anaingia siku hiyi hiyo post ya kwanza anatafuta mchumba!

Hizo ni tabia za wadaku. Na unaweza kuta tayari wako "married", halafu kibaya zadi dini zao ni zile zinayoruhusu ke/me mmoja tu sasa mchumba wa nini tena, wakati uliapa kuwa na huyo tu mpaka kifo kiwatenge?.
 
wengine wanafikiri hapa kuna usanii! watu wako kikazi zaidi nilifurahi juzi member mmoja anaomba ushauri kuhusu mtu wake , akaletewa thread zake zoote alizowai kupost na zikaonekana ana waienjoy watu, alitoka nduki vip
 
Back
Top Bottom