The beautiful ones exists.

Yahemovich

Senior Member
Jan 20, 2011
170
3
Jamani warembo wazuri wa sura, maumbile, rangi macho, pua, sauti waliokamilika kila idara nawaona wengi tu na kila kona tatizo kila ninaetaka kumtakeover anakuonesha mtoto mgongoni na hana ndoa. Tatizo huwa nini? UMALAYA? KUTOKUJUA JINSI YAKUJITUNZA?, HUKOMOLEWA? UMASIKINI?, TAMAA?, au INTEREST BINAFSI?
Michelle, Lizz, Wiselady, Hussinayo, Pakaz Jimmy na Mweusi, inspire other members of this floor to stand on the stuff above adequatelly.
 
ndio maana na ww ukaamua kila ukizini na mmoja unamuacha? wanaume wenye tabia kama yako ndio wanasababisha mambo kama hayo uliyoyasema.

otherwise, am sorry kama nimekuboa!!!
 
ndio maana na ww ukaamua kila ukizini na mmoja unamuacha? wanaume wenye tabia kama yako ndio wanasababisha mambo kama hayo uliyoyasema.

otherwise, am sorry kama nimekuboa!!!

kumbe unajua kuwa umejibu O.P Afu unapretendi unadhani mi nilipenda wala nisingejiuliza nikagundua si ningeendelea kubang but to the moment no lady on my back till the heal.
 
mi sina tamaa ila nahitaji kujua maana mwishoni lazima nitamtaka mrembo mmoja wakuishi nae kama ndo wote wako kwafashion yakatoto mgongo itakuwaje?

Halafu wewe bana unatafuta nyongo za watu zilipo haya bana kila la heri na ubarikiwe
 
kumbe unajua kuwa umejibu O.P Afu unapretendi unadhani mi nilipenda wala nisingejiuliza nikagundua si ningeendelea kubang but to the moment no lady on my back till the heal.

usinidanganye hiyo ni tabia tu ambayo unaweza kuendelea nayo ama kuiacha, kama uliona unafanya sio vema kwanini usiache? alafu unasema na pritend na pritend kitu gani??

unafikiri tunafurahi tunavyofanywa? unafikiri kila msichana/mwanamke hapendi kuwa na mume wake au familia yake? mnatuharibia maisha alafu unajiuliza kama ana mtoto mgongoni itakuaje??

si umuoea na mtoto wake uwalee wote? kwani kuzaa ni ulemavu?
 
Halafu wewe bana unatafuta nyongo za watu zilipo haya bana kila la heri na ubarikiwe
sio nyongo nahitaji kujua mambo yalivyo.
baraka kwa lipi Dena?
Nahitaji kujua maana baadae kuna thread nitapachika hapa ila bado sijapata solution.
 
usinidanganye hiyo ni tabia tu ambayo unaweza kuendelea nayo ama kuiacha, kama uliona unafanya sio vema kwanini usiache? alafu unasema na pritend na pritend kitu gani??

unafikiri tunafurahi tunavyofanywa? unafikiri kila msichana/mwanamke hapendi kuwa na mume wake au familia yake? mnatuharibia maisha alafu unajiuliza kama ana mtoto mgongoni itakuaje??

si umuoea na mtoto wake uwalee wote? kwani kuzaa ni ulemavu?

taratibu Susy haina haja yakutumia nguvu, mbona mimi sifoki....mmmh!. Naomba mtazamo wako kuwa sababu huwa ni.....labda huwa mnakuwa too much blind kisha mnajisahau, pendekeza nini kifanyike.
 
Kwa baadhi yetu ni matakwa binafsi..wengine wamedanganywa..wengine wameacha/wameachika..wengine hawakua waangalifu.Ila tafadhali hilo neno la ma....ya usije ukawaita watu wenye watoto wao.Ma....ya hawazai watoa mimba ili waendelee na mambo yao.Usije ukarudia kumuita mama wa mtu hivyo tena.
 
Jamani warembo wazuri wa sura, maumbile, rangi macho, pua, sauti waliokamilika kila idara nawaona wengi tu na kila kona tatizo kila ninaetaka kumtakeover anakuonesha mtoto mgongoni na hana ndoa. Tatizo huwa nini? UMALAYA? KUTOKUJUA JINSI YAKUJITUNZA?, HUKOMOLEWA? UMASIKINI?, TAMAA?, au INTEREST BINAFSI?
Michelle, Lizz, Wiselady, Hussinayo, Pakaz Jimmy na Mweusi, inspire other members of this floor to stand on the stuff above adequatelly.

Kuna ugumu gani kuwauliza hili swali hao wanawake unaokutana nao?? mbona wewe mpaka leo hujaoa na una mtoto au kwavile hukubeba mimba na kuonekana mbele ya jamii???..kama unapenda ukutane na ambao hawana watoto kwanini usitawafute?
Unafikiri wewe ulivyotumika utakutana na brand new jamani??
 
ulifanya utafiti ukafikia hilo hitimisho?sample yako ilikuwa wapi na size gani? Sitaki nikuhukumu lkn kwa ile style yako ya ukishamfunua unapotea na kutafuta mwingine inaweza kuwa sababu mojawapo,,hebu fikiri na mwingine anakuwa na style kama yako n the list goes........................just a minute:coffee:
 
Tatizo nyie wanaume maana hao wanawake hawakujibebesha mimba wenyewe.
 
Husninyo fikiria hivi pamoja na media(magazeti, tv na redio station vinaandika na kutangaza), seminars, clubs(ADDRA,FEMA n.k), midahalo kujadili mada za mapenzi, ujauzito na athari zake katika umri mdogo bado hata mwanafunzi wakuanzia kidato cha pili hapati uelewa na kuchukua tahadhari? Haya mitaana hawaoni shida wanazopata wenzao wakajifunza angalau kwakuona nakupitia walioteleza kabla?
 
Sample size Kahama nimeona katika familia zisizopungua 9 tena wengine hadi wanajirudia kuanzia dada na wadogo zake. Mfano familia moja jirani na nilipokuwa nikiishi kunafamilia yenye watoto watatu wakike dada yao aliafukuzwa shule akiwa form1 baada yakukutwa na ujauzito, miezi michache baadae anayemfuata alikuwa darasa la 7 nae akafukuzwa shule kwatatizo hilo hilo. Nilipokuwa nasoma O-level binti mwingine classmate kabisa kidato cha 2 alifukuzwa kwakukutwa nao. Hapohapo kunabinti nilikua nae kama family friend akiwa form2 ujauzito. Nikaenda Mwanza nilipokuwa naishi binti mmoja akapata ujauzito akiwa na umri wa miaka 13. Watoto wa mama yangu mkubwa wa5 wamekatisha masomo wote kwamiaka tofautitofauti sababu hiyohiyo kila wanapoingia kidato cha2. Mtaani sasa nikiona binti mzuri nikamsifia umri miaka 14-20 naambiwa anamtoto achana nae aliacha na shule akiwa labda kidato cha 3 hasa 2. Au nikimuona binti amebeba kitoto nikiuliza naambiwa chake alikipata alipokuwa anasoma shule fulani akaacha kusoma na hata kufukuzwa nyumbani. Chuoni nikakutana na mdada katika stori akawa analalamika kuwa angekuwa kazini sema alizalishwa form2 akalea mwana baadae akarudi shuleni. Na bado mambo yako hivi kila siku mabinti wanakosa misimamo tatizo nini? Hawana masikio? Au hawaoni?
 
Mi sikatai kuhusu wanaume kuwa sababu ya yote but sometimes ladies nao mh!.Kuna gals kibao kwa mtaa nishahuhudia wanakaa wanapania;'fulani si anajifanya mjanja,mi lazima ninase mimba yake na atanioa tu',unafikiri mwisho wa hili ni nini?au anapewa preg na mshkaj mwingine ambaye ana nia ya dhati kumuoa,anamuweka kwenye scale na pedeshee fulani,mwisho wa siku anambambikia pede ujauzito,unafikiri pede akigundua ni nini kitatokea kama si kutoswa na huyo dada kukosa mwana na maji ya moto!.
 
Jamani warembo wazuri wa sura, maumbile, rangi macho, pua, sauti waliokamilika kila idara nawaona wengi tu na kila kona tatizo kila ninaetaka kumtakeover anakuonesha mtoto mgongoni na hana ndoa. Tatizo huwa nini? UMALAYA? KUTOKUJUA JINSI YAKUJITUNZA?, HUKOMOLEWA? UMASIKINI?, TAMAA?, au INTEREST BINAFSI?
Michelle, Lizz, Wiselady, Hussinayo, Pakaz Jimmy na Mweusi, inspire other members of this floor to stand on the stuff above adequatelly.

Wazuri bado hawajazaliwa. Rejea kitabu, "The beatyful Ones are not yet born" by Ayi Kwei Armah wa Ghana
 
Back
Top Bottom