Kwa waliopanga Uswazi fumanizi hili linaweza kukufundisha kitu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliopanga Uswazi fumanizi hili linaweza kukufundisha kitu!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Anold, Apr 1, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Nina rafiki yangu mmoja ambaye anaishi wilaya ya kinondoni (eneo na mtaa sitataja kwani ni kisa cha kweli) yeye na mke wake walikuwa wamejaliwa kupata mtoto mmoja. Rafiki yangu huyo siku moja usiku wa manane alishtushwa na makelele yaliyokuwa yanatoka kwenye chumba chao kingine ambacho pia hukitumia kama jiko. Baada ya kushtuka usingizini na kuwasha taa hakumuona mke wake bali mtoto akiwa peke yake kwani chumba wanacholala ameniambia kina vitanda viwili hivyo mtoto na mama yake hulala pamoja, kutokana na kelele zilizokuwa zimepamba moto, alikuwa na uhakika kuwa mke wake itakuwa ametoka kwenda kuhushudia tukio hilo. Hakuamini macho yake baada ya kukuta mke wake amefumaniwa akiwa na mume wa mpangaji mwenzake, mke wake alikuwa na khanga moja tu na vitu Fulani vyeupe vikiwa vinachuruzika miguuni.

  Kilichoelezwa pale ni kuwa kijana huyo aliyefumaniwa na mke wa rafiki yangu alitiliwa mashaka na mke wake baada ya kujifanya amekwenda msalani bila kusikika akifungua mlango wa nje, hivyo baada ya kufuatilia alisikia mguno kutoka chumba cha jikoni ambapo baada ya kuingia alimkuta mumewe akiivunja amri ya sita na mke wa rafiki yangu. Baada ya rafiki yangu huyo kushudia kilichotokea hatua alizochukuwa ni kurudi chumbani na kuanza kumbembeleza mtoto ambaye alikuwa analia, baada ya muda mke wake alirudi chumbani naye akapanda kitandani na kwa maelezo ya rafiki yangu huyo hakumsemesha kitu mapaka asubuhi alipomuaga mkewe kuwa anakwenda kazini.

  Rafiki yangu aliporudi kutoka kazini alikuta mkewe huyo ameacha ujumbe kuwa amehamia magomeni kwani hawezi kuishi tena pale, katika kuhama huko alikuwa ameacha visturi viwili pamoja na kitanda kimoja na vyombo vichache. Kwa kifupi ni kuwa rafiki yangu huyo hakumfuatilia na huo ndiyo ulikuwa mwisho wao. Kwa yule mpangaji aliyefumaniwa yeye na mkewe walizozana vikali na mkewe aliamua kuondoka na kumuacha naye muwewe.

  Kijana yule aliyemfanyia kitu mbaya mke wa rafiki yangu karibu miezi miwili alikuwa akikwepa kukutana na yule rafiki yangu kwani awali walikuwa ni watu wanaoheshimiana sana. Hatua alizochukua rafiki yangu siku moja ya jumapili ni kumuita yule mpangaji na kumwambia kuwa haina haja ya kujificha kwani lililotokea limetokea hivyo waandelee kuishi kwa amani hii inamaanisha kuwa alimsamehe kwa aina hiyo.

  Je umejifunza chochote juu ya kisa hiki?
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...dah, simulizi hii imeniondolea raha Ijumaa ya leo.
  Inasikitisha sana. Dunia!
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  kale kamchezo sio. imewahi kutokea nchini poland padri anadai kamfumania mtawa aliyekuwa akimdo na padri mwenzie wakati wao hawaruhusiwi kuchengana. kila aliyejaribu hako kamchezo anaujua utamu wake,hasa ka kuiba km hao ndugu wa kinindoni.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,jamaa anauelewa mkubwa sana na ni mvumilivu,angekuwa mtu wa kwetu huyo nadhani angekuwa gerezani kwa reaction ambayo angeitoa!

  He is not controlled by situations,he controlls situations
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  uamzi wa maana nsana huo.....life must go on ........hujishughulishi na mtu.....na wala hakuna kulipiza kisas.
   
 6. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Nimejifunza :- kitu kizuri kula na nduguyo.
   
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Nimejifunza kuwa kila kitu kitapita, ila dunia itabaki. Hivyo, hakuna anayeweza kuniambia kuwa hawezi kuishi bila mimi.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  za mwizi arobaini.ukishazoea kuiba mke wa mtu au mke kuibwa inafika siku wanajisahau na kuhisi hakuna mtu atakaejua madhara yake ndio hayo,shetani anapenda sana kudanganya na lazima akuabishe ili kila mtu ajue alikudanganya........tuwe makini kwani bucha ni lile lile
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red walikuwa wameshatengana tayari?
  Ndio chanzo cha mke kwenda kulala kitanda kimoja na jirani nini

  Huyo mume ana moyo wa ziada amefanya jambo la busara
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Anold, I will be back
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kuna msemo huwa unasema kuwa in love life...men/women are like buses(daladala), you miss one, you will find another one coming.!!
   
 12. H

  Hute JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  uswahilini kuna mambo ya ajabu sana. huwezi amini kipindi hicho miaka ya 2000 nilipanga Magomeni mapipa pale, kuna jamaa mmoja yeye ni bonge la mtu, kamke kake ni kadogo kama karanga...kuna rafiki yangu alikuwa anamvizia anapoenda kuoga, mwenye mume akiwa ndani anasubiri mkewe akaoge (kwasababu hawaogi wote), mke mzuri ajabu, sura nzuriiii, ni mchaga wa machame mweupe huwezi amini...lakini akifika bafuni anashika ndoo...yaani anainama kama vile unafua nguo kwenye ndoo ya lita kumi alafu jamaa anapiga ya chapchap kwa nyume kama chuma mboga fulani hivi...na bwanake yuko ndani hajui...

  majuzi nimekutana na yule mama, anasali kanisa la ufufuo na uzima ameshaathirika na Bwanake amekonda kwisha mbaya...mwanamke kamletea na ngoma....uswahilini kuna mambo ya ajabu ajabu...
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huyo kaka mwenye mke ana busara sana!!!
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  una uhakika gani kama hana ajenda ya siri?
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  na vitu Fulani vyeupe vikiwa vinachuruzika miguuni.
  nanukuu hiyo red,vitu vyeupe,ina maana mama alikuwa analiwa pekupeku,bandugu bapenzi,tutasalimika kweli? hata kama kuna babu kwa mtindo huu................
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata akiwa nayoa tayari ameshaonyesha busara zake kwa kutogombania kuku asiyetaka kukaa kwake....kama kuku ndiye aliyeenda kwa jirani kwanini yeye agombane na jirani????v
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Dah!
  Hiki kisa kinahuzunisha sana halafu kinatia aibu.
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kuna binadamu aina flani hasira zao zinapanda gradually kwa kufikiria mambo for a period of time na nazani na huyu ni mmoja wapo, na mara nyingi hawa wakifika break even point basi balaa lao bora ukaishi tripoli.
   
 19. A

  Anold JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  mkuu rudi tu, ila hiki ni kisa cha kweli. huyu jamaa niliyemuelezea hapa ana visa vya mapenzi ambavyo ni watu wachache wanaweza kuhimili. mpaka sasa namshangaa sana.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bora hiyo kuliko kuvunja nyombo vya kila mtu!!!Hata mimi ningeondoka kimya kimya!!

  Ya nini malumbano bwana!
   
Loading...