Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sasa nakufikirisha hivi vitu vikusaidie, inawezekana kabisa hujafikia umri wa kuoa au kuolewa, lakini ninakuambia weka maombi yako ya akiba, (sijui kwa upande wako, lakini mara nyingine huwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mambo wana wa JF!! Nimejaribu kufikiria sana hili jambo nimeona nililete jamvini tulijadili, tokea nianze kutongoza mabinti sijawahi kusikia Binti anasema nina mpenzi au kijana anasema nina mpenzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo hapa stand ya mabasi Moshi mjini ambapo dada mmoja amepata msaada kutoka kwa konda aliyemwingiza kwenye basi (kosta) ili kumwokoa kutoka kwenye kundi la vijana waliokuma wakimzomea na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari ya asubuhi/mchana/jioni wana jf. Harakati za kutafuta mwezi wa maisha sio kitu rahisi at all,nasema hivyo kwasababu ukimessup hapa bwana utaingia gharama kubwa sana. Sasa unampenzi wako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanye taarifa ya habari saa 2 ITV nimeona na kumsikia Daktari mmoja akielezea mipango ya kuwatahiri jamaa mia kadhaa, huko Mbeya ili kupunguza uwezekano wa kutokea maambukizi mapya ya HIV (VVU)...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu. Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa. Sijawahi kumhisi wala...
4 Reactions
362 Replies
22K Views
Uamuzi wa kuoa au kuolewa ni muhimu uwe mwangalifu nao, kwa sababu utakufanya uwajibike zaidi.Kama hujawa mtu wa kuwajibika, basi, hujawa tayari kuwajibika, kwa hiyo usiingie kwenye ndoa! Kuoa au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
“Je! Uko tayari kuolewa na nani”Wengine hawafikirii namna hiyo, ukiwauliza uko tayari kuolewa na nani, anasema na mtu aliyeokoka. Bwana anawajua walio wake, hakuna mtu kwa jinsi ya nje atakayemjua...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
HILI SWALI NI GUMU LAKINI MUHIMU SANA AIJALISHI NDOA YAKO NI KESHO UNAWEZA BADILISHA MAISHA YAKO YA UCHUNGU MIELELE KWA SEKUNDE MOJA YA UAMUZI Je! Uko tayari kuoa au kuolewa?Ni swali muhimu, uko...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Uamuzi wa kuoa au kuolewa, unaweza ukabadilisha utumishi wako na wito wako kabisaNgoja nikutolee mfano wa kibiblia. Unamkumbuka mtu mmoja aliyeitwa Samson, alimwoa dada mmoja aliyeitwa Delila...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Married men should be careful not to retire before their wives because there will be no one at home to look after them, according to a new study. While wives report that their health begins to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili limenishtua sana baada ya kijana mmoja kule Welsh kukiri ya kuwa alimwua ex-GF kwa sababu ya kuahidiwa kifungua kinywa kwenye mchezo wa kupinga..........bet........................read 4...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je, unapoanzisha sex kabla ya ndoa halafu mwenza wako akakwambia ana ujauzito na mkapima na kuthibitisha na kukuta ni kweli ha'fu baada ya miezi 7 na nusu, kwenda clinic na kupima mimba ina miezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajamvi,natumaini wote wazima kabisa na mnaendelea na shughuli zenu maofisini na nyumbani pia. Napenda tu kuelezea kwa kifupi jinsi Scam/spams za internet zinavyoenea.Ila...
11 Reactions
72 Replies
9K Views
neno tayari ktk uhusiano maana yake ni kwamba mtu amejiandaa na yuko tayari kuingia ktk uhusiano hasa ule wa muda mrefu na mara nyingi husema mtu yuko tayari akiwa ameshakamilisha kujiandaa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ni kweli matumizi ya facebook yanaweza kuvunja ndoa,kwasababu watu wengi wanaochart kwenye facebook ni wanausisha zaidi mapenzi na sio kingine pia inawafanya watu wanakuwa so free kusema chochote...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
jamani mi ninachoamini ni kuwa Mungu kaumba vitu kwa mfano wake, pia kaumba vitu ili mwanadamu atumie na kufurahia. ila katika suala zima la mapenz sijui nini kinatokea na ndo maana naomba msaada...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam aleykhum Tumsifu Yesu Kristu Habari zenu Mabibi na Mabwana.... Its me again mchungaji wenu, today I will talk on sexercise....haloow....Im sure most of you you're aware of many benefits...
14 Reactions
114 Replies
8K Views
Nina best yangu nampenda sana tumekuwa marafiki kwa mda mrefu san kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu,tatizo ni kwamba sikuhiz kabadilika sana yani ananifanyia visa vya maksudi,anamajibu mabaya na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani msiniue bure haya maneno ya kwenye signature yangu hapo chini sikuyatunga mie,ni methali ya kihaya, nimezaliwa nikaikuta na maana yake ni kwamba ukiamua kutembea nje ya ndoa/mahusiano basi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom