Tabia ya Kuomba omba hela inaweza kupeperushia ndege??

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Habari ya asubuhi/mchana/jioni wana jf.

Harakati za kutafuta mwezi wa maisha sio kitu rahisi at all,nasema hivyo kwasababu ukimessup hapa bwana utaingia gharama kubwa sana.

Sasa unampenzi wako anadai anakupenda kweli na kusema wewe ndiye chaguo lake.Nawewe unampenda.

Mwenzio huyo sio kwamba anashida sana kivile ila kila kukicha anakuambia mara simu imeingia maji mwongezee hela akanunue nyingine,kuna nguo kaiona atafurahi kama ataipata,Mara nitumie vocha,mara sijui nini.

Swali ni kwamba kuomba hela toka kwa mpenzi wako ni sahihi ua sio sahihi?je tabia hii inaweza kumfanya mpenzi wako akakufikiria vingine?na ni njia ipi sahihi kuelezea tatizo la kifedha kwa mpenzi/mchumba wako?
 
kama una uwezo wa kumpa mpe
kama huna mwambie huna......
kuwa mkweli....
kusuka ama kunyoa ataamua yeye
 
Habari ya asubuhi/mchana/jioni wana jf.Harakati za kutafuta mwezi wa maisha sio kitu rahisi at all,nasema hivyo kwasababu ukimessup hapa bwana utaingia gharama kubwa sana. Sasa unampenzi wako anadai anakupenda kweli na kusema wewe ndiye chaguo lake.Nawewe unampenda.Mwenzio huyo sio kwamba anashida sana kivile ila kila kukicha anakuambia mara simu imeingia maji mwongezee hela akanunue nyingine,kuna nguo kaiona atafurahi kama ataipata,Mara nitumie vocha,mara sijui nini.Swali ni kwamba kuomba hela toka kwa mpenzi wako ni sahihi ua sio sahihi?je tabia hii inaweza kumfanya mpenzi wako akakufikiria vingine?na ni njia ipi sahihi kuelezea tatizo la kifedha kwa mpenzi/mchumba wako?
ndio kuhonga kwenyewe huko chalii.
 
Back
Top Bottom