Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani hiki kisa kimenifanya niwaze sana! Kuna bishost mmoja (tupo nae ofisi moja) yamemkuta makubwa! Bidada alikua na boyfriend hapa ofisini. Mambo yalionekana kuwa sawa baina yao mpaka majuzi...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
wadau, ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi. Kama wewe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
When I Look At You Lyrics Everybody needs inspiration, Everbody needs a song. A beautiful melody, When the night's so long. Cause there is no guarantee, That this life is easy. Yeah when my...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wako ni wa aina gani? Mara nyingi kuna usemi kwamba kwa mwanaume kawaida ana kitu kimoja tu ambacho kinaweza kumfanya apate hamu ya kufanya mapenzi nacho ni “kitu chochote”. Najua hujanielewa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiamua kuoa au kuolewa, wakati mwingine imani yako inaweza ikabadilika.Wasomaji wa biblia wanamfahamu mtu mmoja aliyeitwa mfalme Sulemani (unafahamu ni kwa nini aliandika kitabu cha Mhubiri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu nina kitu sijui niite tatizo ama? nikikutana na mtu mara ya kwanza akawa too nice to me, yaani akinichangamkia najisikia kuwa embarrased sijui kwanini. Najisikia kama sistahili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, alijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku amebadilisha laini. Sijui nimshauri je ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasaimu wote wana Jf Unakuta umekutana na msichana unampenda unamtokea anakukubali na mnakuwa marafiki ila mzazi wake (mama) anafahamu baada ya muda yule binti from no where anakwambia hakufeel...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Unakuta una mtarajiwa wako kwenye mizunguko au mpo kwenye starehe zenu za weekend rafiki yako anakupigia simu kwa ustaarabu unaenda na mchumba wako pale yule rafiki yako mnakaa pale ila anakuwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Are Men Who Flaunt Flashy Cars Not the 'Marrying Kind'? Conspicuous spending often driven by desire to have flings, researchers say -- Mary Elizabeth Dallas SATURDAY, June 18 (HealthDay News)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi nilikuwa maeneo ya Ubungo ambapo nilikutana na dada furani akiwa na watoto wa2 na mizigo kadhaa na baada ya kusalimiana aliniomba nauli ya daladala ili aende Tegeta kwa dada yake kwani...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Steps to overcome masturbation and Porn If you are having problems with masturbation and porn, these prayers are for you. Take the following steps: s 1. Declare a fast. Your flesh must die before...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MWANAMKE KITENGE PALE KINAPOKUKAA
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAE ALIKUWEPO KWENYE BDAY YA JDEE
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unapoamua kuoa au kuolewa, fahamu ya kwamba hiyo ndoa inakuunganisha na kukuingizakatika familia nyingine. Unafahamu watu wengi sana wakioa au kuolewa wanafikiria tu mahusiano ya wao wenyewe tu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuoa au kuolewa kunabadilisha uhusiano wako na wazazi wako.Mwanzo.2:24 anasema, “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili moja”...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA AU KUOLEWAUtanguliziUkifungua kitabu cha Yoeli.3:14 kinasema, “Makutano makubwa, makutano makubwa, wamo katika bonde la kukata maneno! Kwa maana...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Mwl mmja wa jns ya KE aliyeajriwa hivi karibuni amezua kizaza huko Kilimanjaro baada ya kuonekana kubadilisha wanaume wengi bla kujal huku akiacha gumzo kwa wengi kwa wakaz wengi kwa tabia yake ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom