Hey.......! Kumbe Mbeya Wanakula Ndizi Na Maganda Yake?.... SIKUJUA HII!

The Analyst

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
464
246
Kwanye taarifa ya habari saa 2 ITV nimeona na kumsikia Daktari mmoja akielezea mipango ya kuwatahiri jamaa mia kadhaa, huko Mbeya ili kupunguza uwezekano wa kutokea maambukizi mapya ya HIV (VVU). Sikuwa najua kama jamaa zangu wa Mbeya hawamenyi ndizi zao hata kama zimefikia wakati wa kuliwa. Imewabidi madaktari kutumia nafasi ya kuwepo VVU ili jamaa wamenye. Bahati mbaya sijajua ni kabila gani hawa jamaa zangu. Just surprised! What is your comment on this?
 
usiwashangae, maana kabla ya kugundulika kuwa kutokumenya ganda kunaweza kuongeza maambukizi ya ukimwi hapakuwa na yeyote aliyewahi kulalamika kukabwa na ndizi za maganda, kwa hiyo 'walaji' wa ndizi hizo wameridhika ndio maana unagundua leo kuwa huwa hawamenyi!
 
tuliopata raha ni sasi tuliomenywa tukiwa wachanga. mi najikumbukia ipo hivi hivi imemenywa na nilidhani ndiyo nilivyozaliwa nayo.
pole kwa wanaochezea kisu huku wanajiona
 
uhusiano wa kuzuia vvu na kumenywa ni asilimia 66 hivi.......hivyo hii siyo kinga ya kutumainiwa sana hasa wakati it is your dear life which is on a fireline....................................................we need 100% firewall and that is zero-grazing via sox or one partner for life...............
 
tuliopata raha ni sasi tuliomenywa tukiwa wachanga. mi najikumbukia ipo hivi hivi imemenywa na nilidhani ndiyo nilivyozaliwa nayo.
pole kwa wanaochezea kisu huku wanajiona

mtihani mkubwa walionao ni kupona kwa kidonda maana kila mabinti wakipita na vimini vyao jamaa akijaribu kusimama dede tu, anashhtua kidonda... mmh sipati picha!!!
 
Kwanye taarifa ya habari saa 2 ITV nimeona na kumsikia Daktari mmoja akielezea mipango ya kuwatahiri jamaa mia kadhaa, huko Mbeya ili kupunguza uwezekano wa kutokea maambukizi mapya ya HIV (VVU). Sikuwa najua kama jamaa zangu wa Mbeya hawamenyi ndizi zao hata kama zimefikia wakati wa kuliwa. Imewabidi madaktari kutumia nafasi ya kuwepo VVU ili jamaa wamenye. Bahati mbaya sijajua ni kabila gani hawa jamaa zangu. Just surprised! What is your comment on this?

Hata yangu bland new mkuu...Mjeshi ndani ya magwanda yake bwana...
 
Ukweli ni kwamba walaji wa ndizi hizo pia wanapaswa kulaumiwa kwanini hawashauriani kuhusu kuzimenya mpaka DR ha ha ha ha.
 
mamaparoko! Uume unakua na nafasi kubwa ya kubeba uchafu mfano,majimaji ya kwenye ukewa wakati wa tendo la ndoa{kama atalalana dry(kavu kavu)} mana uume unakua na nafasi kubwa ya kufyonza majimaji kutoka katika uke.
 
Back
Top Bottom