je,utajuaje kuwa uko tayari kuwa kwenye uhusiano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je,utajuaje kuwa uko tayari kuwa kwenye uhusiano?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by twenty2, Jun 22, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  neno tayari ktk uhusiano maana yake ni kwamba mtu amejiandaa na yuko tayari kuingia ktk uhusiano hasa ule wa muda mrefu na mara nyingi husema mtu yuko tayari akiwa ameshakamilisha kujiandaa na maisha yake,watu wengi udhani kuwa tayari kuingia kwenye uhusiano ni miaka20,lakini baadae hugundua kuwa wanaitaji maandalizi makubwa kuingia ktk ulimwengu huo na wengine hujikuta wakiwa ktk matatizo makubwa kutokana na kuwahi ktk suala zma la mapenzi.
   
 2. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ya ,umesema kweli kabisa ,kila kitu kina hitaji maandalizi, kwani uhusiano wa umri mdogo hua hauna happyending, kwani inakua bado hawajajua nn wana fanya,na pia kukutana na right pesorn, katika right time, pale ushakua unaweza ku manage yr life , bila ya hapo ndio unajikuta some time unaingia ktk matatizo,:A S cry::A S 12:
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kuingia kwenye uhusiano siyo lazima umejiandaa,unapokuwa kwenye uhusiano unapata mda mkubwa na mrefu wa kumjua mchumba anayekufaa,unajua jinsi atakavyokuvumilia,otherwise kama unasubiri upate kwanza mafanikio makubwa ndo uingie kwenye uhusiano utakuja kuingia pabaya,halafu uhusiano unaanza pale feelings zinapokuja na umempenda mtu flani,kwa hiyo hutaweza kuzuia.
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,646
  Likes Received: 2,033
  Trophy Points: 280
  inategemea unazungumzia kujiandaa kwa jinsi gani. Kama unamaanisha kununua makochi, kabati, tv n.k umekosea, hivi mkitafuta pamoja ndo vizuri zaidi - anzetu kwa kulala chini, kukaa chini n.k. Ndo itakuwa mojawapo ya historia yenu ya ndoa. Ila kama una maanisha kuwa na muda mrefu wa kujuanana tabia nakubaliana na wewe. Lakini pia ujue ukimchunguza sana bata ..........................
   
 5. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kujiandaa kuzuri ili mjuane vizuri maana mapenz yanatesa kama hukumjua mtu vzr
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pengine umemtafisiri vibaya Mkuu
  Nadhani utayari anaousemea ni kifikra/kiakili na sio kiuchumi kama ulivyomtafsiri.
   
 7. A

  Adam waTZ Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kusaka mtasaka wote sasa kujiandaa nn tena
   
Loading...