matumizi ya facebook yanaweza kuvunja ndoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matumizi ya facebook yanaweza kuvunja ndoa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by twenty2, Jun 22, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli matumizi ya facebook yanaweza kuvunja ndoa,kwasababu watu wengi wanaochart kwenye facebook ni wanausisha zaidi mapenzi na sio kingine pia inawafanya watu wanakuwa so free kusema chochote na ata kukufanyia chochote,na usiweze kubisha coz inaonyesha details zako zote.
   
 2. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio ukijiji wa dunia huo.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Hamieni JF mtunze heshima zenu na za ndoa zenu
   
 4. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwelii kabisaaaaaaaaaaaaaaaa,ukijijiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
   
 5. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli bt kwani jf nao watongozani?sema matumizi yake ni tofauti,ipo juu kiasi chake,mjitaidi kuwashawishi waameeeeeeeeee.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  100% ni kweli
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikajiunge FB....kumbe kuna vya bwereree.... madem wa JF wagumu sana...afu unaweza fikiri unatongoza demu kumbe dume....Avatar zinatuponza
   
 8. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unapotembelea mitandao ya kijamii sio FB to ipo mingi sana unatakiwa uwe makini na details zako pia na watu unao-deal nao. Kuna maafa makubwa sana kwa jamii ya leo. Take care.
   
 9. giningi

  giningi Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo umenena,mume wangu kajiunga na fb kwa kujificha sijui anamaanisha nini,au ndo anatumia kutongozea ivo?wana jf mnaonaje nianze mimi kujipendekeza kwake nikitumia jina jingine kwene FB hahaaaaaaaaaaaaa then nione kama atanitongoza
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sio member wa hiyo kitu, in fact sipendi hicho kitabu cha sura! :bange:
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Lazima tuwe tayari na changamoto za TEKNOHAMA,vingivevyo inakula kwako.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kila kitu kina faida na hasara, jinsi utakavyokitumia akili kichwani mwako. pia kuna ma-setting kibao, usiadd watu usiowajua na hata unaowajua unaweza weka restriction, msilundike mapicha yenu huko not safe oooooooh bora kubaki jf tu
   
 13. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ya 95%
  bcz facebook inapelekea ushawishi kwa wengine,
   
 14. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  tatizo ni security features tunazoweka kwenye accounts zetu, ukiwa makini hamna kitachokuzingua na ndoa/mahusiano yake yatakuwa secured
   
 15. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Nilijoin zamani lakini huwa sipendi kuingia, naweza kuathirika vipi? Pili nawezaje kutoka kwenye FB
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Haya wana fesibuku,ndo maana sihangaiki nayo!
   
 17. charger

  charger JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Facebook lakini utakuta ina magari,viatu,jicho,maua,etc kwanini wasingeiita album?
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Babu kwani bado unachomekea ndogondogo?
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Una moyo wa kustahimili yatayotokea pindi atakapokutongoza?
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Hapo unaulizia nywele saluni au meno mdomoni?
   
Loading...