Kwanini huwa tunaficha ukweli???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini huwa tunaficha ukweli????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Jun 23, 2011.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo wana wa JF!!
  Nimejaribu kufikiria sana hili jambo nimeona nililete jamvini tulijadili, tokea nianze kutongoza mabinti sijawahi kusikia Binti anasema nina mpenzi au kijana anasema nina mpenzi mwingine wakati wakiwa wanatongozana!!!

  Hii inatokea mara chache sana neno nina mpenzi mwingine kuonekana lakini huwa linaonekana baada ya mahusiano kukolea na wapenzi wao kuwabana ndo wanaanza kuombana samahan but inakuwa too late.

  Kwanin tusielezane mapema mwanzo wa mahusiano kuwa wote tunaiba penzi ili tusikolezane au kwanini inatokea tunatafuta wapenzi wengine wakati tunajua tupo nao wengine????!!!!
   
 2. s

  shoshte Senior Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tamaa ndo zinatupeleka huko na kutorhika na tulio nao
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Well well Smasha....

  Wakati wewe unatongoza huwa unawaambia una mpenzi / mke?
   
 4. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yap Asprin huwa nasema nina mpenzi coz sijaoa ndo maana huwa wanakimbia??!!!

   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,653
  Trophy Points: 280
  Pia ujinga na kutokujiheshimu na kujitambua!
   
 6. duda

  duda Senior Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kama una mpenzi unatongozea nini?
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  basi wewe hujatongoza sana....

  mimi cha kwanza kabisa huambiwa

  mi mke wa mtu,
  halafu mazungumzo ndo yanaendelea
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama hawana je...?!
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  nimepita hapa.
   
 10. v

  vivimama Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  heeeeeeeeeeeee. bila aibu!! mkeo naye atatongozwa
   
Loading...