wanna cheat? basi zingatia hili.......

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
Jamani msiniue bure haya maneno ya kwenye signature yangu hapo chini sikuyatunga mie,ni methali ya kihaya, nimezaliwa nikaikuta na maana yake ni kwamba ukiamua kutembea nje ya ndoa/mahusiano basi chagua njemba/demu ambaye kimuonekano ni bora kuliko mwenza wako ili hata kama ukibambwa basi mwenzio angalau pamoja na hasira kimoyo kimoyo ajisemee 'lakini...mmmhh.....mwenzangu aliopoa kifaa.....' sio akukamate na kamjamaa/kasichana kamekaa kaa ka kakuku ka kienyeji!
 
unahamasisha nini kwa mameno yaha. Pitia kwa usahihi msamiati wako wa kihaya. nadhani hii sio tafsiri sahihi ya msemo huu.
 
Bora nikukute na ambaye ana surA
Kama yangu ni kikukukuta na mzuri zaidi yangu yako ngumu ..
 
mmh i bet we una take advantage ya huo msemo ,i do bliv ukikutwa na mzuri zaidi mke ataumia roho
 
Jamani msiniue bure haya maneno ya kwenye signature yangu hapo chini sikuyatunga mie,ni methali ya kihaya, nimezaliwa nikaikuta na maana yake ni kwamba ukiamua kutembea nje ya ndoa/mahusiano basi chagua njemba/demu ambaye kimuonekano ni bora kuliko mwenza wako ili hata kama ukibambwa basi mwenzio angalau pamoja na hasira kimoyo kimoyo ajisemee 'lakini...mmmhh.....mwenzangu aliopoa kifaa.....' sio akukamate na kamjamaa/kasichana kamekaa kaa ka kakuku ka kienyeji!

Bishanga usichezee hapo kwenye red,wala mpaka mfupa,hawa wa maghorofani hamna kitu.
 
Jamani msiniue bure haya maneno ya kwenye signature yangu hapo chini sikuyatunga mie,ni methali ya kihaya, nimezaliwa nikaikuta na maana yake ni kwamba ukiamua kutembea nje ya ndoa/mahusiano basi chagua njemba/demu ambaye kimuonekano ni bora kuliko mwenza wako ili hata kama ukibambwa basi mwenzio angalau pamoja na hasira kimoyo kimoyo ajisemee 'lakini...mmmhh.....mwenzangu aliopoa kifaa.....' sio akukamate na kamjamaa/kasichana kamekaa kaa ka kakuku ka kienyeji!

Usije ukajidanganya mkuu kwamba ukichukua kabinti ka Masaki, Oysterbay au kalikokulia Mamtoni ndo ume-win. Wengi hawana lolote.
wengi wa hawa mabinti ni kama magogo tu, na tena usikute wanaona kinyaa balaa.
 
Back
Top Bottom