Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara kadhaa imenitokea na pia nimesikia wenzangu pia wakishuhudia........wakati mwanaume anapokuwa katika harakati za kuomba uhusiano kwa mwanamke hukumbuna na maswali kama....hivi umenipendea...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Hili nijini linalofanya kazi ya kukutenganisha wewe na bosi wako jini hili huhakikisha kwa bosi unaonekana kama choo kikubwa habath hili ni jini msaidizi linakaa chooni bosi wako akienda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili ni jini linalocheza naakili za watoto zetu..yawezekana abako na mama walitumiwa hili ndio maana kila kukicha kwenu chuo kikuu ni hadithi ...sasa basi ifike wakati sema imetosha kama unasoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu. Matokeo kanitukania boss wangu . Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Hiili ni jini linalosumbua sana ndoa za watu ,hupitia kwa watu kupitia vikosi vyake vidogovidogo vya jini mahaba, hili jini moto wake ni kuona aupo kabisa na kama ukikomaa ujasimaa na mungu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hili ni jini la kuharibu watoto, jini hili limekuwa likisumbua sana hospitalini nahuwa linahama hospital moja baada ya mwingine chakula chake ni damu jini hili ukilikemea anza kulitaja jina haswa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili ni jini la kuharibu watoto, jini hili limekuwa likisumbua sana hospitalini nahuwa linahama hospital moja baada ya mwingine chakula chake ni damu jini hili ukilikemea anza kulitaja jina haswa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wataalam, naomba mnijulishe gharama za kufanya harusi yenye wageni waalikwa 300
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu. Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Bwana yesu asifiwe pengine leo unaweza pata soln ya matatizo yako ya miaka nenda rudi hii ni kwa neema ya mungu tu ndugu mpendwa pengine umekuwa na shida mbali mbali za familia ikiwemo matatizo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi kwa muda nimekuwa nikiumizwa na hili jambo. Mama mkwe wangu ni kama mke mwenzangu. Mume wangu anapanga budget na mama, kila kitu ni mama. juz kachukua mkopo bank nusu kampa mama afanye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Yeye Kwanza Mitazamo ni suala muhimu sana inapokuja issue ya kumfanya mume wako ajisikie raha na wewe chumbani.Kuna tofauti kubwa sana na pana sana kati ya mwanaume na mwanamke na tofauti kubwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HABARI WANA JF Naombeni ushauri kwa hili! Nina dada yangu ana rafiki yake mpenzi wameshibana sana na kuaminiana kiasi kwamba amekua kama mwanafamilia mwenzetu au ndugu...... Kutokana na maelewano...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Juzi asubuhi nikiwa nyumbani mke wangu alikuja nyumbani huku ameshika gazeti moja la kampuni maarufu kwa kuchapa magazeti ya udaku. Nilimwomba nilitazame(ingawa mimi sio msomaji wa magazeti ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa mtazamo wangu ni kweli utumiaji kondom inapunguza upendo coz utakuta wasichana wengi wanasema nmepata boy mpya bt natumia nae kondom ukimuuliza atakwambia sijampenda niki2mia nae kondom...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimekua na rafiki yangu ambaye nilimjua kupitia kwa mpenzi wangu ambaye ni rafiki ya mke wake. Shughuli zote za jikoni, kuosha mtoto, kuandaa mtoto shuleni baba lizima lafanya tena mbele ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Men are frustrated with women because they never want sex. Women are frustrated with men because they always want sex. Women blame men they don’t know how to love. Men blame women that they...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu wadau wa JF: sijui mimi ndo nimepitwa na wakati au ni vipi, yaani sielewi inakuwaje mwanaume rijali ( sio shoga) anapaka poda, anachonga nyusi (naskia wanawake wanaita kutinda nyusi)...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nilipokuwa nasoma Kenya kuna kipindi walitoa takwimu kuhusu waume kupigwa na wake zao. Kama sijasahau, it was an alarming 43% in the lake zone! Sasa jana kuna jambo lililotokea; Nikiwa naenda...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom