Kwa nini wanawake huongopeana hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanawake huongopeana hivi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NGULI, Jun 30, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hasa mida ya asubuhi ukiingia ofisini utasikia.....hiiiiii mambooo umependeza wigi lako umenunua wapi? Ilihali ukimwangalia hilo wigi ni kama helmet ya pikipiki ambayo no oversize. Na mwenyewe bila kujua anaanza kutoa location ya eneo alilonunua. Au nguo kavaa imembana na mtu mwenyewe ni mnene na umri haukubaliani na hizo nguo lakini anaambiwa leo umetoka bomba ile mbaya anaitikia asante hizi nimezishusa juzi tu!!! Mm natamani niwaambie ukweli umevaa kibody tight huku kitambi kinaanguka na michirizi ya michelini kwenye mbavu inaoneka, vaa kiafrica upendeze mavitenge makubwa yangekupendeza zaidi.....nk.
   
 2. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yaani hiyo avatar kwisha habari yangu
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inawezekana wanapendeza, lakini we unakuwa huoni vizuri labda Nguli. Ila hilo la mawigi hata mimi kwa kuwa siyapendi hasa hayo yakuvaa kama helmet, mtu akipendeza naweza hata nisione kama kapendeza.
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh hakuna asopenda kusifiwa bwana...inaongeza siku za kuishi
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  unafiki na uzandiki ndicho kinachowasumbua
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kweli sikatai mtu kusifiwa ila anasifiwa kwa ukweli au basi tu imekuwa sehemu ya utamaduni wa mwanamke?? Kusifia hata pasipohitaji sifa?
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu sijakuelewa kabisa hapo?
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ujaelewwa nin na wewe?
  aya...ANAKUTAMAN...body km avatar yako zinamsumbua/anazpienda...
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  ata kusifiwa uwongo?
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  akina nan?
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkubwa mtu akipendeza utamuona tu, haitaji kipaji maalumu.
   
 12. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani acha wasifiwe tu!Wale wasiopendezaga hata siku moja unataka wafe hawajasifiwa?
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Akina mama ndo zao,hata iwe vipi kusifiwa jadi yao.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wigi kama helmet? loh!!!
   
 15. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ukimwambia ukweli anakuchukia, so bora umdanganye tuuu msogeze masaa.
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha lohhh
  Umenichekesha kwa kweli..
  Nabaki humu humu migodini
  Staki kufanya kazi na wanawake wa
  hivyo lohhhhh
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahahaha nimecheka mpaka basi!
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,082
  Likes Received: 24,080
  Trophy Points: 280
  Aisee Nguli, ile safari yetu bado iko palepale?

  BTW Avatar yako imekupendeza sana. Bado unapiga tizi pale MayFair?
   
 19. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  That is what women want to hear.......!!!!
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ndio safari iko pale pale, sijabdilika mkuu. Mazoezi ni sehemu ya maisha yangu nikiachaga naugua kabisa na nikienda hospital hawaoni ugonjwa. Ila napiga aerobics zaidi nisije onekana kama mlinzi. Halafu masharti hayo ya kupungua yameshinikizwa zaidi na AFRODENZI
   
Loading...