Walinikataa sasa wamerudi na mimi nilisha kufa moyo

POSHO MAVYEO

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
371
112
kwanza salamu
nianze kwa kusema nilipokuwa kijana nilikuwa na maisha magumu sana kwa upande wa mahusiano/uchumba
nilipokuwa sekondari high nilikuwa na rafiki yangu wakike niliyempenda sana, lakini siku mmoja kwa hali ya mshangao aliniambia mimi na yeye basi kwa sababu wazazi wake wamegundua mahusiano yetu na hawataki yendelee,

nilimsihi tuendelee kwa siri lakini alisema hata tukiendelea hatuta kwenda kokote maana hawana mpango wa kuniona naye milele, kwa kuwa nilikuwa nimepigwa chini na wazazi kwa kutokana na maelezo ya bint mimi niliamua kuendela na mambo yangu
ilinitesa sana kwa miaka miwili yote ya form 5&6 maana hiyo ilikuwa first love na nilimpenda sana sikuweza kujiusisha na mtu kwa wakati huo wa miaka miwili maana nilihisi kuna siku hatarudi.

nilipofika chuoni mwaka kwanza mara waopili nikaona bora kuchukua mtu mwingine na huyo alikuwa dada mmoja ambaye nilimzoea sana kwa karibu miaka miwili hapo chuoni
tuliendelea vizuri mpaka tulipomaliza masomo baada ya hapo yeye alikwenda kusoma ulaya MBA mimi nilianza kazi bongo
aliporudi nilikuwa tayari kuoa lakini kila nikimwambia twende kwa wazazi hataki na akafikia hatua siku moja akiniambia yeye hayupo tayari kuanza maisha ya ndoa mpaka baada ya miaka 5 au zaidi

hiyo ni pamoja na mimi naye kuka kama kaka na dada hali tulikuwa tunafanya kila kitu hapo siku za nyuma

basi mimi nikaona hisiwe shinda nika mwambia dada angu ananitafutia mchumba hiyo ilikuwa ni baada ya dada nikugabda sana kwa karibu miaka mitatu kwa nini sitaki kuoa hali nazeeka.

bas nikapata mtu nilipokuwa kwenye harakati za kuoa na wazazi wa pambe yapili nilisha wajulisha

wale watu wangu wawili wa zamani kwa wakati tofauti wamekuwa wakinitembelea sana kazini,
cha ajabu wananiata majina ya kimapenzi sasa mimi nashindwa kuwaelewa
kwa nini walikuwa wananikata sasa wanarudi?
 
wapige chini mazima, usiwaonee huruma kama wao ambavyo walikatesa ka moyo kako kadogo.
 
kwa kuwa nilikuwa nimepigwa chini na waziza kwa kutokana na maelezo ya bint mimi niliamua kuendela na mambo yangu
ilinitesa sana kwa miaka miwili yote ya form 5&6 maana hiyo ilikuwa first love na nilimpenda sana nasikuweza kujiusisha mtu kwa wakati huo maana nilihisi kuna siku hatarudi

Umeandika kwa fujo au hasira kaka. Kiswahili umekichanganya kiasi chamtesa msomaji.
Kama mikakati ya kuoa ishaanza watutaka sisi tukushauri umuache wa sasa au wataka tujibu kwa niaba ya walokukataa kwanza? Huonekani mwenye msimamo kwani swali lako laashiria kutomthamini mchumba wako wa sasa.
 
weka ushauri shutuma hazina nafasi hapa
hiyo nimeipotezea
 
Tatizo kwa kipindi kile haukua na master card ndo mana ukawa unakimbiwa na hao vidosho wako...so sa hz umezshka na wao ndo wanakuona atleast m2,by the way hao hawakufai tena as hawakupend seriouz ila wako aftr ur money..
 
Km umeshamposa m2 mwingne na hao wamerudi, just tel them the truth kuwa unataka kumuoa m2 mwingne na ikibidi ukate mawasiliano nao cuz later itakuja kukupa matatizo ktk ndoa yako. Uangalie usimwache huyo uliemposa kwani unaweza kuwa mwanzo wa mateso yako ya rohoni kwani utakuja pata likoroma likutesee!
 
mbona haina tatizo hiyo? hao si walishakuacha? au bado una hisia juu yao? natumai unaoa kwa maana uliyempata unampenda na upo serious nae? hao wawili waambie ukweli kwamba una mtu na majina ya kimahaba watafte wa kumwita ebbbo!!!
 
nadhani jamaa bado ana wamiss kwa jinsi milivyomsoma nahisi hata anawatumia sasa kanonewa anashindwa pa kwenda
maana siku hizi dada zetu ni mafundi bana
sio kama zamani
 
old dog cannot learn new skills. hiyo ishakuwa past tense ndugu blaza! endelea na yaliyopo na yajayo. kwanza vibibi hivyo saa hizi vimesha-lost na vishajua kunakuchwa na muda ushawapa mgongo. endelea na mipangilio yako wala wasipoteze muda wako na wewe usitupotezee muda wetu hapa!
 
Endelea na mipango ya kumuoa huyo uliyenae, achana na hao wa zamani.
 
Unayemuoa kweli unampemda kwa mapenzi ya kweli au unaomuoa kwa sababu ndiye aliyetokea mbele yako na muda wa kuoa umefika ......Ni maswali mawili ya kujiuliza wewe binafsi. Usije kuoa baadaye ukaona hakukuwa na mapenzi.
 
hayo mambo ya mapenzi ya kweli mimi siamini
mapenzi huja baada ya kujuana na kushibana
 
old dog cannot learn new skills. hiyo ishakuwa past tense ndugu blaza! endelea na yaliyopo na yajayo. kwanza vibibi hivyo saa hizi vimesha-lost na vishajua kunakuchwa na muda ushawapa mgongo. endelea na mipangilio yako wala wasipoteze muda wako na wewe usitupotezee muda wetu hapa!

mkuu umenena nakusoma
 
nadhani jamaa bado ana wamiss kwa jinsi milivyomsoma nahisi hata anawatumia sasa kanonewa anashindwa pa kwenda
maana siku hizi dada zetu ni mafundi bana
sio kama zamani

hapo unanipiga jungu wanaume wote wako hivyo il kwa sasa niko kwenye mkakati wa kuchukua jiko
 
Mi naona uamuzi wa kuoa mtu mwingine ni sahihi tena wewe mwenyewe ndie uliyeomba utafutiwe. Jitahidi kuridhika na Mke wako mtarajiwa wala usitegeke tena na wale wazamani. Kumbuka mwanaume mwenye msimamo ndiye anayejenga nyumba imara hivyo hakuna tena wakati wa labda labda we songa mbele usirudi nyuma.
kwanza salamu nianze kwa kusema nilipokuwa kijana nilikuwa na maisha magumu sana kwa upande wa mahusiano/uchumbanilipokuwa sekondari high nilikuwa na rafiki yangu wakike niliyempenda sana, lakini siku mmoja kwa hali ya mshangao aliniambia mimi na yeye basi kwa sababu wazazi wake wamegundua mahusiano yetu na hawataki yendelee, nilimsihi tuendelee kwa siri lakini alisema hata tukiendelea hatuta kwenda kokote maana hawana mpango wa kuniona naye milele, kwa kuwa nilikuwa nimepigwa chini na wazazi kwa kutokana na maelezo ya bint mimi niliamua kuendela na mambo yangu ilinitesa sana kwa miaka miwili yote ya form 5&6 maana hiyo ilikuwa first love na nilimpenda sana sikuweza kujiusisha na mtu kwa wakati huo wa miaka miwili maana nilihisi kuna siku hatarudi.nilipofika chuoni mwaka kwanza mara waopili nikaona bora kuchukua mtu mwingine na huyo alikuwa dada mmoja ambaye nilimzoea sana kwa karibu miaka miwili hapo chuonituliendelea vizuri mpaka tulipomaliza masomo baada ya hapo yeye alikwenda kusoma ulaya MBA mimi nilianza kazi bongo aliporudi nilikuwa tayari kuoa lakini kila nikimwambia twende kwa wazazi hataki na akafikia hatua siku moja akiniambia yeye hayupo tayari kuanza maisha ya ndoa mpaka baada ya miaka 5 au zaidihiyo ni pamoja na mimi naye kuka kama kaka na dada hali tulikuwa tunafanya kila kitu hapo siku za nyumabasi mimi nikaona hisiwe shinda nika mwambia dada angu ananitafutia mchumba hiyo ilikuwa ni baada ya dada nikugabda sana kwa karibu miaka mitatu kwa nini sitaki kuoa hali nazeeka.bas nikapata mtu nilipokuwa kwenye harakati za kuoa na wazazi wa pambe yapili nilisha wajulishawale watu wangu wawili wa zamani kwa wakati tofauti wamekuwa wakinitembelea sana kazini, cha ajabu wananiata majina ya kimapenzi sasa mimi nashindwa kuwaelewakwa nini walikuwa wananikata sasa wanarudi?
 
Pole sana ndg,inaonekana huna exprience na wanawake,ila kuwa makini hao wa zamani waogope kama ukoma,wanakudharau,hawakupendi,hawakujali,wanakuchezea na kukupima.Kama wakijipendekeza sana unaweza kuchapa tu ukasepa ila kumbuka kutumia kinga si uajua ukimwi upo.Pia kumbuka si visuri kumsaliti demu iliyenaye sasa.
 
Back
Top Bottom