'kisima hiki kisima' - Malenga MMU

Yakuonea

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
601
276
Malenga ninawajia, kisima nakisifiaMachoni kinavutia, nakipa mia kwa miaumbo lake asilia, bado halijafuliaKisima hiki kisima, raha kinanipatiaNdani ninavyo ingia, akili zangu zarukaNabaki kushangilia, machozi yabubujikaSi kama eti nalia, mwenzenu nafurahikakisima hiki kisima, raha kinanipatiaKasoro sijaiona, ya kisima nawambiaNinapotazama kina, walahi nimeridhiaUkija kwenye upana, wala haujazidiakisima hiki kisima, raha kinanipatiaKingo ninapozishika, taratibu natelezasifanyi kupaparika, bingwa wa kucheza chezakiu inapo ondoka, pembeni najisogezakisima hiki kisima, raha kinanipatiaNa leo ninatangaza, miliki najipatiasitaki kuja kuwaza, mbona nilikiachiayeyote nitacharaza, atakae karibiakisima hiki kisima, raha kinanipatiaNa Sindano Mwana wa Ganzi (SMG)
 
Samahanini i encountered a problem on submitting this poetry ndio maana halisomeki, natumia simu sioni vitufe vya kurekebisha
Du sorry................
 
Samahanini i encountered a problem on submitting this poetry ndio maana halisomeki, natumia simu sioni vitufe vya kurekebisha
Du sorry................


duh! pole sana ila nahisi hata maana yake haijaeleweka unakisifia Kisima, umekichimba nyumbani kwako, cha kijiji ( aka, chimbwa na CCM), cha jirani au nini? na kinakupa raha gani? Anyways ukiweza liweka vizuri ntarudi changia, tehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom