Mh!!! Pemba nitarudi aiseeeee!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh!!! Pemba nitarudi aiseeeee!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ligogoma, Jun 30, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 1,937
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF?

  Mwenzenu nilikuwa Pemba nimerudi jana, nilipokuwa huko katika taasisi ile ile ninayofanyia kazi nilitokea kupendana na binti wa Kipemba!! Binti anajua kupenda jamani (Mapenzi in General), nimewatofautisha kabisa na wa bara!!!

  Ni msomi lakini myenyekevu, mtiifu, msikivu na muelewa achilia mbali asili yake ya Kiarabu aliyonayo iliyoongeza nakshi za urembo wake! Kiukweli kwa maisha ya ndani niliyoishi naye kwa kipindi cha wiki tatu ni tofauti na let say Wachaga au Wanyakyusa ambao lugha za command ni nyingi kiasi kwamba na mie nimejigundua kuwa nilikuwa naendana na mazingira yao (nakuwa mkali pia)!

  Mfano: Nilipokuwa na huyu Mpemba nimejikuta nakuwa Mpole isivyo kawaida hivyo nimejigundua nikikaa na binti asiye na lugha za kuplease nami nakuwa hivyo hivyo!!

  Kwa anayejua matatizo ya hawa watu ayashushe hapa jamvini coz nimekaa nao kwa muda mfupi sana kuwajua vyema ningumu but nililokuwa nasikia kwamba ni wavivu hilo si kweli kwa kuona mimi mwenyewe! Lengo ni kuwa na watu unaowafahamu zaidi kuliko kukurupuka!

  Maoni yenu wana JF kabla sijaamua kuvuka tena bahari nikiwa na washenga!!!
   
 2. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa kuchukua mdogo wangu ,then ukajisifia jf,, aa ,wewe bwana ,, hongera,, usiende tenaa kule ,, wapemba sisi sio wavivu n wakarimu sna na unabahti kumtia mkonon mpemba nadhan s bure ,, umepataje mdogo wangu wewe?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,049
  Trophy Points: 280
  naenda kuoa pemba, wazaramo siwataki kabisaaa
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hivi ulikosa makabila mengine ya kulinganisha mpaka uchague Wachagga!!?
   
 5. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,250
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Labda kuna ka ukweli fulani na uhalisia.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Labda???!Well hiyo labda angeilekeza kwingine ingekua poa zaidi!!
   
 7. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata mi nashangaa kabsaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,250
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  pengine alitafuta mfano ulio karibu zaidi na ukweli. Kwani wachaga wana sifa hizo zilizowekwa kwenye mfano?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  We nawe ndo wale wale...hata nikukueleza mpaka mwakani bado hutoelewa!!Endeleeni kujazana ujinga!
   
 10. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,250
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  ah ahh bana! Mi nimeuliza ili nieleweshwe sasa we unataka nijazwe ujinga tena?
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda stori yako lakini natoka Mbeya na kwa totos za Kichagga huniambii kitu hata risasi nipige tu,kwahiyo futa Wanyakyusa na Wachagga kwenye thread yako na kama vipi we hamia huko Pemba tu.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ujazwe mara ngapi sasa?!
   
 13. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,250
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  kinini hicho?
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,518
  Likes Received: 35,139
  Trophy Points: 280
  Hehehehe ushapakwa marashi ya pemba weye! :) Ni kweli wanajua sana kupenda lakini wiki tatu ni chache mno kuweza kufanya maamuzi mazito. Kila la heri.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  U J I N G A!!a
   
Loading...