Aswaibuailadu albuturu

Aswaibuailadu albuturu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Hili ni jini la kuharibu watoto, jini hili limekuwa likisumbua sana hospitalini nahuwa linahama hospital moja baada ya mwingine chakula chake ni damu jini hili ukilikemea anza kulitaja jina haswa mkeo akiwa na mimba kemea sana lisisogelee
mimba ya mkeo..nakuambia hata kukuribia dawa yake ukisali taja jinala yesu kilamara linakimbia linajua ukubwa na umuhimu wa damu ya yesu ndio maana yanakimbilia kula damu za vichanga
 
Pdidy nafikiri ww ni mtaalam wa mambo haya,.....sheikh alikuachia urithi adimu huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom