Helloo!

BabyGal

Senior Member
Jun 30, 2011
165
62
Habari yenu wote wahusika wa hapa?

Nawasalimu katika jina la bwana!Naomba mnikaribishe tafadhali.
 
Karibu sana na jisikie huru,uko huru kuchangia,kutoa mada kwa namna unavyoona but soma jamiiforums rules kwanza usije ukaenda nje ya utaratibu,apart from that karibu sana!!
 
Karibu sana na jisikie huru,uko huru kuchangia,kutoa mada kwa namna unavyoona but soma jamiiforums rules kwanza usije ukaenda nje ya utaratibu,apart from that karibu sana!!
Asante kwa mwongozo rafiki!
 
1. bwana yupi huyu unayetusalimu kwa jina lake!??

2. Asante kwa kupigia hodi chumbani, karibu lakini!!!
 
Habari yenu wote wahusika wa hapa?

Nawasalimu katika jina la bwana!Naomba mnikaribishe tafadhali.

karibu binti, pita tu mlango wa chumbani upo wazi,
pita hivyo hivyo ulivyo baby wangu...............................
 
Back
Top Bottom