ni mda gani unaofaa kukaa na mpenzi wako kabla hamjaoana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni mda gani unaofaa kukaa na mpenzi wako kabla hamjaoana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kashemeire, Jul 1, 2011.

 1. k

  kashemeire New Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba kupata ushauri hasa kwa walioana,,, je nni mda gani muafaka unaweza kukaa na mpenzi wako kabla ya kuoaana? mf miaka 2? 5? miezi6? au? naomba ushauri,,,
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Muda wowote mnaoona unawafaa/watosha!!
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,783
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yenu tu hakuna muda maalum wa kukaa kabla ya kuoana. Kama mmezimikiana na hakuna lalam zozote na kila mtu anaridhika kuwa na mwenzie mpaka ``kifo kiwatenganishe`` basi ni pumzi yenu tu.
   
Loading...