Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

salaam wakuu,habari yenu? natumaini weekend inaenda swadakta kabisa,popote mlipo mpatapo chochoche kitu. Kitu kikubwa kinachonipa hamasa kuandika thread hii ni swala ambalo wengi pia linawakumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wakuu, Siku mbili tatu hizi kuna binti nimekuwa nikichati nae kupitia e.mail, yeye yupo senegal. Katika mazungumzo/kuchati huku kuna hali isiyo ya kawaida anataka kuja nayo kwangu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Siyo siri baadhi ya mademu wa uswazi wananishangaza sana! yaani wakitongozwa na mwanaume mwenye gari ni wepesi sana kumkubali huyo mtu kuliko mwanaume ambae hana gari. Mwenye gari anaweza kubeba...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Wanajamii nawasalimu kwa jina la Mungu aliye hai....mimi kunakitu hua kinanisumbua eti kwa kawaida mnatakiwa kutofautiana kivipi katika umri kati ya mke na mme maana utakuta wengine wanasema oooh...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! Awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Sifa za mdada nimtakaye: = awe ana umri wa 29 backwards =elimu at least form four =Rangi yoyote ya asili yake =dini: mkristo =Kabila: lolote =Tabia njema ana mpenda ndugu zangu na nduguze kwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
wahenga wa jukwaa hili nina shida moja nahitaji msaada wanu. leo nina game moja ya mchangani na nimeikamia sana. nataka kuongeza nguvu kidogo ili nipige round za kutosha. ni wapi naweza pata...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto...
0 Reactions
116 Replies
28K Views
ni kawaida watu wengi hata hapa jf kuzungumzia faida za kuwa na mpenzi na hasara za kutokuwa nae..... pamoja na yote mtu anaweza kuamua kuwa single kwa maana ya kutokuwa na mpenzi lakini mara...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
huu ni utafiti wangu binafsi lakini una nafasi ya kuupinga au kuunga lkwa hoja. watu wengi wanateseka sana na mapenzi na unakuta mtu anampenda sana mtu ambaye hampendi na anaishia tu kuumia na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumepokea Taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.. Iwaje mtu umuue mwenzio tena kinyama na Shoka kisa umepunjwa kitoweo Jamani Tunaenda wapi?.. na kwa mtindo Huu tutafika? Basi Bofya hapa usome...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Changia
0 Reactions
10 Replies
1K Views
A Relationship Without Trust Is Like Pushing A Door That Says Pull. and A real relationship, Has fights. Has trust. Has faith. Has tears. Has smile.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
habari zenu wana-jamvi! Eti unawezaje kumshauri mtu jinsi kupunguza hasira(i mean kukasirika haraka au hasira kali) na kuwa na wivu kupindukia hasa ktk mapenzi??..nawasilisha.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
mapenzi si ya wawili ni udanganyifu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwananchi Jpili 17 Julai 2011. Mwanamke mwenye saloon ya kike na ambaye ni mkali wa judo ambaka mwanaume kwa siku tatu mfufulizo katikia chumba chake. Kwanza alimpiga judo mpaka huyo mwanaume...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake usiwe mpweke usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Can 'friends with benefits' work? First posted: Thursday, July 21, 2011 2:00:00 EDT AM What happens to the friendship when beers with a buddy turns into bedroom fun? As yet another...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom