Mabinti wa Kichaga na Kipare | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabinti wa Kichaga na Kipare

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sumasuma, Jul 3, 2011.

 1. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto hasa wa kiume, wanaume zao wanakufa ghafla!!! ni kwa nini? Pia Kwa nini WAKAKA wengi wa kichaga hawapendi kuwaoa wachaga wenzao? plz nisaidien kwa hili!!
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hadithi za kusadikika hizi
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,112
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  hivi kumbe kumetokea kabila lingine la wapale, hili lipo maeneo gani?
   
 4. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mhhhh wewe una ushahidi? mie naowajua wameolewa na wasukuma na bado wako wanaishi wote hakuna aliyekufa
   
 5. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duh, hii ina sehem mbili kuna ukweli wa uwazi ndo maana wakaka wa kichagga hawataki kuwaoa wachagga wenzao japo kuwa si wote pia.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mimi Kabila langu Mtanganyika sasa haya mambo ya Uchaga sijui nyanda za juu sijui kuuana sijui nini mtaniwia radhi
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  sitakagi kuamini hizi story za ukabila kwenye mahusiano
  nachojua people get maaried because tey love each other
  unles uniconvince vile mioyo ya wadada wa kichaga na 'wapale' iko choosy kikabila,then iyo analysis yako si sahihi
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nani alioa mchaga halafu akafa baada ya mali kupatikana? Acha urongo we na nani kakudanganya hizo habari? Unakuja unaandika tu wachaga wachaga, njoo tukupe mbege unywe maana naona ukiu ya kichaga.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,389
  Trophy Points: 280
  [h=2]wapale ???[/h]
   
 10. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  This is a mythical tale!
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hawa Wapale ni kabila jipya sijawahi kulisikia hahaha!
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wee ld unanivunja mbavu
   
 13. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  si geni kwangu hili! Napita tu...
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuhusu kuwapenda/kuwa/olewa na hao wakaka unaowasema labda kwasababu ni wajanja/wanaendana/shibana n.k.Kuhusu kuua waume hayo ni maneno tu ya watu wasio na kazi za kufanya...kuhusu wakaka wa Kichagga kutowaoa wadada wa Kichagga huo ni uongo tu sijui mnautoa wapi maana wajomba na kaka zangu si chini ya kumi wameoa Uchaggani!

  Hata hivyo kama unayosema yangekua ya kweli especially namba moja na mbili bado sioni tatizo liko wapi.Wewe na wenzio sijui kinawauma nini maana hamna anaeumia.Au kwasababu wewe sio wa sehemu hizo hivyo karoho kanakuuma kwa kudhani una nafasi ndogo?!Jaribu bahati yako....kama wewe ni binadamu usie na kasoro zisizo za kawaida ..mwenye mwelekeo na anaeeleweka waweza pendwa tu kama wengine maana hatuna kitabu cha kutuongoza kujua kabila gani la kupendwa na lipi la kuachwa....
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  'imani yako itakuponya'
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  utafiti ulifanyia chuo gani ?
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  uongo mtupu!

  Tena ukome kuandika vitu visivyokuwa na uhakika...
  Muongo mkubwa wewe...
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hizi nyuzi za makabila hizi yaani kila mtu analeta kisirani chake tu.... Mweeh
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kuhusu kufa hilo sitaki kuamini. Ila kuolewa na hao wa kanda ya ziwa siwezi shangaa. Navyoona ni kuwa wadada wa kichaga wanajua tabia za kaka zao through life experience. Kwa ufupi nimesikia wadada wa kichaga wakiwabonda kaka zao kwa hiyo wana wadisqualify kuwa si wame wazuri sitaki kwenda deep kusema tabia walizo nazo hao makaka zao.

  Ila kuwatetea hao makaka zao naweza sema ni kawaida kuku ukimchunguza huwezi kumla. Hata mimi natokea mkoa mmoja wa kanda ya ziwa na niliapa kuwa sitakaa niolewa na mtu wa kwetu kwa kuwa nawajua vizuri. Kuna mdada ameolewa na mkaka mtu wa kwetu basi ananilalamikia sana wewe kaka zako washenzi. Mimi nawatetea huku kimoyomoyo nasema hujiulizi kwa nini mimi niliwakimbia.

  Kwa hiyo nimeona cases nyingi sana hapa mjini wadada hawapendi kuolewa na watu wa kwao kwa kuwa wanajua weakness zao.
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Ila jamani kizuri kula na mwenzio wanaume wa kisukuma wako juu. Mimi si msukuma ila my life mate is. Wanajua kupenda hawa watu. Kwa wale ambao mko single naomba niwape hiyo siri. Niliwakimbia kaka zangu nikaenda kwa wasukuma basi hata kazini walikuwa wananitania kwa chaguo nililolifanya. Wananambie NK wapenda kupendwa wewe. Wanapenda sana na hawana mapenzi ya siri wako open kama wadhungu vile.
   
Loading...